marekani

  1. JamiiForums Tanzania Marekani ambayo imekosolewa kwa kuhodhi chanjo itagawa dozi Milioni 60 za AstraZeneca na nchi nyingine

    Marekani itagawana dozi za Chanjo ya AstraZeneca zipatazo Milioni 60 na Mataifa mengine. Licha ya kuwa Mamlaka hazijatoa idhini ya AstraZeneca kutumika kwa Umma, Marekani imekuwa na akiba ya Chanjo hizo. Wakosoaji wamekuwa wakiishutumu Marekani kuhodhi Chanjo wakati Nchi nyingine zina uhitaji...
  2. JamiiForums Tanzania Ubalozi Marekani watahadharisha raia wake nchini Tanzania kuhusu kimbunga Jobo

    Ubalozi wa Marekani jijini Dar es salaam umetoa tahadhari ya kiusalama kwa wafanyikazi wake walioko nchini Tanzania kuhusu hatari ya Kimbunga Jobo kinachoeleka katika pwani ya nchi hiyo na kitaufikia pia mji wa Dar es Salaam. Kupitia tahadhari kwa wafanyikazi wa ubalozi wake , afisa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kadari Singo aliyeteuliwa na Rais Samia ni Raia wa Marekani?

    Katika uteuzi wa Tarehe 21/04/2021 Mhe. Rais amemteua Kadari Singo ambaye anadaiwa kuwa Raia wa Marekani. Je, huyu bwana ameteuliwa kimakosa au huko Marekani yupo special mission? Kama siyo special mission kateuliwa kwa sheria gani inayoruhusu wageni kusimamia taasisi za umma? Jalada au jina...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hii kasi ya Marekani kujisogeza kwetu baada ya kifo cha Rais Magufuli inatia shaka

    Kama nimekosea nisahihisheni. Serikali ya Marekani haijatoa rambirambi rasmi kwetu kufuatia kifo Cha Rais Magufuli. Lakini Marekani inajisogeza Sana kwa mama wakidai kutaka kutupa 'misaada' ya kupambanana korona. Tusiwaonee aibu! Tuwaambie hatuhitaji msaada wa kupambana na korona! Kama Wana Nia...
  5. JamiiForums Tanzania Walter Mondale, aliyekuwa Makamu wa Rais wa Marekani, afariki dunia

    Makamu wa Rais wa zamani wa Marekani Walter F. Mondale, Mliberali ambaye alishindwa uchaguzi wa urais uliopuuzwa baada ya kuwaambia wazi wapiga kura kwamba watarajie ongezeko la alifariki dunia siku ya Jumatatu. Alikuwa na miaka 93. Mondale alihudumu katika jimbo la Minnesota kama mwanasheria...
  6. JamiiForums Tanzania Tukio la kihistoria: Wanasayansi Marekani wafanikiwa kurusha helikopta ndogo kwenye sayari ya MARS

    The American space agency has successfully flown a small helicopter on Mars. The drone, called Ingenuity, was airborne for less than a minute, but Nasa is celebrating what represents the first powered, controlled flight by an aircraft on another world. Confirmation came via a satellite at Mars...
  7. JamiiForums Tanzania Marekani: Wanaojitokeza kupata chanjo wapungua, wadai wanataka kuona madhara

    Mamalaka za Marekani zimesema wanaojitokeza kupata chanjo ya #COVID19 wamepungua sababu ikitajwa kuwa wengi wanasubiri kuona madhara ya chanjo hizo. Kaunti ya Mercer iliyoko jimbo la Ohio imetolewa mfano kuwa mwezi Januari watu zaidi ya 500 walipokea chanjo ndani ya siku moja, idadi hiyo...
  8. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Marekani yaiwekea Uganda vikwazo vya kusafiri, yasema uchaguzi ulichakachuliwa

    Marekani imesema inawawekea vikwazo vya viza watu wanaoaminika kuhusika au kushirikia katika kudhoofisha mchakato wa demokrasia nchini Uganda, ikiwemo wakati wa uchaguzi wa Januari na kipindi cha kampeni. Waziri wa mambo ya nje Antony Blinken amesema katika taarifa kuwa vitendo vya serikali ya...
  9. JamiiForums Tanzania Urusi yaijibu Marekani kwa kuwatimua wanadiplomasia wake

    Urusi imewataka wanadiplomasia 10 wa Marekani kuondoka nchini humo katika hatua ya kulipiza kisasi baada ya Marekani kuwafukuza wanadiplomasia 10 wa Urusi kwa madai ya udukuzi na kuingilia kati uchaguzi wa Marekani wa mwaka uliopita. Wizara ya mambo ya nje ya Urusi imesema John Sullivan, ambaye...
  10. JamiiForums Tanzania Marekani mbioni kuweka vikwazo vipya dhidi ya Urusi

    Imeripotiwa kuwa Serikali ya Marekani inatarajia kuweka vikwazo dhidi ya Urusi, hatua ambayo imetajwa kuwa majibu dhidi ya mashambulio ya kimtandao yaliyolenga Marekani ikiwemo madai ya kuingilia Uchaguzi wa Urais 2020. Vikwazo hivyo vinavyotarajiwa kutangazwa hivi karibuni vinalenga zaidi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Marekani: CDC na FDA zashauri utoaji chanjo ya Johnson & Johnson kusimamishwa

    Mamlaka za Afya Nchini Marekani zimetoa rai ya kusimamishwa kwa matumizi ya Chanjo ya Virusi vya Corona ya Johnson & Johnson, baada ya ripoti za ugandaji damu. Mamlaka ya Chakula na Dawa (FDA) na Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa (CDC) zimesema zinachunguza visa 6 vya ugandaji damu kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Utafiti: Watu weusi wanachukiwa zaidi Marekani wanaongoza kuuawa na polisi, hizi sababu tatu

    Nimefanya utafiti wa takwimu za rangi na matabaka ya kijamii na ambavyo wanaathirika na mfumo wa utoaji haki na kuzuia uhalifu nchini Marekani 1. Wamarekani Weusi wako hatarini zaidi kuuawa na polisi Takwimu ambazo zipo wazi kwa matukio ambayo polisi wameua raia kwa risasi zinaonesha kuwa kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Endapo Serikali itaacha kutumia mabavu kukusanya kodi, wafanyabiashara wapo tayari kulipa kodi bila kudanganya na kofoji "documents"?

    Wote ni mashahidi kwa namna ambavyo watanzania wengi ni wagumu kufuata utaratibu pamoja na sharia halali zilizowekwa. Wengi wetu tunapenda sana kupata mali kirahisi na kwa njia ya udanganyifu ama rushwa. Sasa je, serikali ikaamua kutumia upole na njia laini kukusanya kodi Watanzania wangapi...
  14. JamiiForums Tanzania Kitambaa cheusi ndani ya Bunge la Marekani, Spika wa kwanza afariki akiwa ofisini

    Marekani, August 19, 1876, Michael C. Kerr alikuwa spika wa kwanza wa baraza la Congress kufariki akiwa madarakani. Alifariki kwa ugonjwa wa consumption (TB). Huyu alitokea jimbo la Indiana. Mpaka sasa wamefariki watano wakiwa katika hiyo nafasi. Alifariki ikiwa ni mara yake ya pili kuchaguliwa...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Lockdown yasabibisha uhalifu kuongezeka, Marekani yatahadharisha raia wake

    Marekani imetahadharisha Raia wake wasisafiri kipindi hichi cha #COVID19 kuingia Kenya kwa kuwa matukio ya kihalifu yameongezeka mara dufu. Onyo limetolewa kuwa kuna ongezeko la ugaidi, utekaji watu, na utekaji magari pia masuala ya afya na ujambazi ambayo ni pamoja na kuvunjiwa nyumba. Maeneo...
  16. JamiiForums Tanzania Je, wajua? Marekani waliwahi kupiga marufuku pombe

    Kuanzia mwaka 1920 -1933 pombe zilipigwa marufuku nchini Marekani. Ilikua ni kinyume cha sheria kuzalisha, kusafirisha au kuuza pombe nchini humo. Lengo lilikua ni kupunguza matatizo yaliyokua yanatokana na ulevi kama uhalifu, rushwa, matatizo ya kijamii, mporomoko wa maadili, afya duni nk pia...
  17. JamiiForums Tanzania Kaka wa Rais wa Honduras ahukumiwa kifungo cha maisha nchini Marekani

    Rais wa Honduras Juan Orlando Hernandez atoa ujumbe baada ya kaka yake Juan Antonio "Tony" Hernandez kupatikana na hatia ya ulanguzi wa madawa ya kulevya nchini Marekania, huko Tegucigalpa, Honduras Oktoba 18, 2019. Tony Hernandez, kaka wa rais wa sasa wa Honduras na mbunge wa zamani nchini...
  18. JamiiForums Tanzania George Stinney, mtoto wa kwanza kuwahi kuhukumiwa kifo na kunyongwa nchini Marekani

    Video hii hapo chini inaonyesha namna mtoto mweusi mwenye miaka 14 kwa jina George Stinney alivyo nyongwa. Mtoto huyu alinyongwa mnamo mwaka 1944 huko South Carolina akituhumiwa kuwaua watoto wawili wasichana wa kizungu, Betty June Binnicker (11) na Marry Emma...
  19. JamiiForums Tanzania Barack Obama kawaangusha watu weusi wa Marekani na Waafrika

    Barack Obama aliingia madarakani akibeba matumaini makubwa sana ya watu weusi wa Marekani na waafrika wengi kwa ujumla. Watu walifurahi sana na nyimbo nyingi zikaimbwa kusherehekea ujio wa nabii na shujaa huyu mweusi. Huku kwa mataifa yetu tulitembea kifua mbele tukijua we have a Big brother...
  20. JamiiForums Tanzania Nikiwa ninatokea Kariakoo/Ubalozi wa Marekani nishuke kituo gani?

    Nimeambiwa niende Mikocheni kwa Rizwan (Senga Road) near St Florence School. Nikiwa ninatokea kariakoo/ubalozi wa Marekani nishukie kituo gani? Mimi nimeishi saaana Iringa na Tabora hivyo ni mgeni/mshamba wa jiji. Wenyeji wa Dar ninaomba msaada wenu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…