marekani

  1. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yailaumu China kwa kutotoa fursa za ajira kwa Afrika? Takwimu hazidanganyi

    Hivi karibuni, waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken alitoa kauli inayokwenda kinyume na ukweli, akizilaumu kampuni za China kupeleka wafanyakazi wake wengi barani Afrika na kunyima fursa za ajira wanazoweza kupata wenyeji wa Afrika. Alipozungumza na wahitimu wa “Mpango wa Viongozi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mtanzania aingiza kitabu chake soko la WALMART Marekani

    Kutoka kwa Yericko Habari njema kwangu na kwa Watanzania nikuwa Kitabu chetu pendwa cha Ujasusi baada ya kuingia makubaliano na kampuni ya Kindle Publishers ili wauze kitabu kupitia amazon.com miaka mitano iliyopita, Sasa kimekubalika na kuingizwa kwenye soko la makampuni makubwa sita ya...
  3. JamiiForums Tanzania Huawei kuzindua mfumo wake wa uendeshaji simu janja mbadala wa Android

    Kampuni ya Teknolojia ya China, Huawei inaanzisha mfumo wake mpya wa uendeshaji wa simu za janja (smartphones) unaojulikana kama HarmonyOS baada ya Marekani kuizuia kufanya kazi na kampuni ya Google. Huawei inatarajiwa kuzindua mfumo huo leo kwa baadhi ya vifaa kama simu za janja, vishkwambi...
  4. JamiiForums Tanzania China imepinga juhudi za Marekani kuchunguza zaidi iwapo Covid 19 ilitoka katika maabara moja ya China

    Rais wa Marekani Joe Biden amesema anatarajia matokeo kuhusu ripoti ya upelelezi wa chanzo cha virusi hivyo. Wizara ya kigeni nchini China iliishutumu Marekani kwa kufanya siasa na kuirushia lawama. Imepinga uhusiano wowote kati ya Covid 19 na maabara moja ya virusi katika mji wa China wa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Wakati China ikijitahidi kujenga jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja, Marekani inadhuru maslahi ya nchi nyingine ili kujiendeleza

    Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) limetoa tahariri ikisema, wakati China inapohimiza ujenzi wa jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja, Marekani inanyakua nafasi ya maendeleo ya nchi nyingine ili kujiendeleza zaidi. Hivi karibuni, Waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi alihudhuria...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji Tanzania, lisaidieni Taifa kuhusu Yusuf Manji. Ni raia wa Tanzania au Marekani?

    Naandika hoja hii hapa kufuatia mijadala inayoendelea mitandaoni kuhusu tafsiri ya uraia wa Bw. Manji. Naamini amekuja nchini kuendeleza miradi yake lakini pia ameletwa na mfumo kwa ajili yakurejesha imani ya wageni waweze kurejea nchini baada ya miaka kadhaa diplomasia yetu kimataifa kuwa na...
  7. JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Kidiplomasi kati ya Tanzania na Ubalozi wa Marekani. Tanzania imejifunza Nini?

  8. JamiiForums Tanzania Je, kinachoendelea sasa katika nchi tajiri ya Marekani ni uthibitisho kwamba pesa sio kila kitu (Money can't buy everything)?

    Good evening jamiiforums Je, kinachoendelea sasa katika nchi tajiri ya Marekani ni uthibitisho kwamba pesa sio kila kitu (Money can't buy everything)? Marekani ana-sign peace deal na wanamgambo? How comes? Americans have enough cash, fully equipped military/intelligence machinery plus...
  9. JamiiForums Tanzania Korea Kusini yaondolewa vizuizi vya makombora. Ruksa sasa kuunda makombora yenye uwezo mkubwa zaidi!

    Habari! Marekani imeiondolea Korea Kusini vizuizi ama ukipenda waweza kuita vikwazo vya muda mrefu (miaka 42) juu ya uwezo wake wa kutengeneza makombora. Rais wa Korea Kusini Moon Jae-in alitangaza uamuzi huo Ijumaa kufuatia mkutano wake na Rais wa Marekani Joe Biden hivi karibuni jijini...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Polisi Marekani wamejiwa juu baada ya kupiga picha na jambazi na kuposti kwenye mitandao ya jamii

    Inakuwaje wanajamvi! Wananch Marekani wamewalalamikia Polisi kwenda kinyume na miiko ya kazi kwa kupiga picha na jambazi waliomkamata na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii. Jambazi hilo lilijaribu kuiba benki likashindwa na kutokomea vichakani ambapo polisi walimfukuzia hadi kumkamata.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini mke wangu arudi?

    Mimi ni kijana mwenzio. Nimeoa ila kwa sasa ndoa yangu aipo tena, yaani sipo tena na mke wangu. Sasa tatizo lilikuja vipi Mimi nili safiri kwenda zangu USA ndugu zangu wali nifanyia visit invitation nikamuacha mke wangu Dar es Salaam. Sasa nilivyokuwa kule nikawa naongea naye kama kawaida tu...
  12. JamiiForums Tanzania Marekani yataka uchunguzi wa asili ya Virusi vya Corona kuwa wazi

    Marekani imelitaka Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhakikisha awamu inayofuata katika Uchunguzi wa asili ya Virusi vya Corona inazingatia uwazi. Imesema awamu ya pili ya Utafiti huo lazima uzinduliwe ukizingatia uwazi, misingi ya kisayansi na vilevile uwape Wataalamu wa Kimataifa Uhuru wa...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Jerusalem: Benjamin Netanyahu Akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken

    Waziri Mkuu wa Israel Mheshimiwa Benjamin Netanyau amekutana kwa mazungumzo na Waziri wa Masuala ya Kigeni wa Marekani Antony Blinken. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu leo Mei 25, 2021 Benjamin Netsnyau alimshukuru Bwana Blinken na Rais Joe Biden kwa kuendelea...
  14. JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani naweza kupata kazi za Afya nchi za Ulaya?

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu zangu wa Tanzania naomba kuuliza kwa wenye uzoefu juu ya kupata kazi za afya (uuguzi) katika nchi za ulaya Mimi nina degree ya Uuguzi (bachelor of Nursing) sasa nataka kwenda kufanya kazi nje ya nchi hususani ulaya, marekani na...
  15. JamiiForums Tanzania Marekani yaweka vizuizi dhidi ya Ethiopia na Eritrea

    Marekani imetangaza vizuizi vya Visa dhidi ya Maafisa wa Ethiopia na Eritrea wanaoshukiwa kwa vita katika Mkoa wa Tigray, ikisema waliohusika hawakuchukua hatua stahiki kumaliza uhasama. Maelfu waliuawa na wengine kulazimika kukimbia makazi yao tangu Novemba baada ya Waziri Mkuu, Abiy Ahmed...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Dola bandia kutoka Korea Kaskazini zilivyosambaa duniani na kutumika kwa zaidi ya 20 bila kujulikana.

    Dola bandia zilizotumika kwa miongo miwili na kupumbaza dunia Noti hiyo ya dola bandia haikuwa na makosa yoyote na hata maafisa wa kitengo cha ujasusi hawakuweza kubaini iwapo ilikuwa dola bandia ama nakala mbele yao. Ni baada ya kipindi kirefu cha uchunguzi ndiposa waliweza kuthibitisha...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Waraka wa siri wavujishwa: Marekani ilikusudia kuishambulia China kwa silaha za nyuklia

    Daniel Ellsberg Waraka wa siri uliotoroshwa kutoka Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) umefichua kwamba, jeshi la Marekani lilitoa pendekezo la kufanya mashambulizi ya anga ya silaha za nyuklia dhidi ya China hapo mwaka 1958 ili kuihami Taiwan mbele ya majeshi ya utawala wa kikomunisti wa...
  18. JamiiForums Tanzania Kampuni ya aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump, kufanyiwa uchunguzi wa jinai

    Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa New York imeanza uchunguzi wa jinai kwa Kampuni ya aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Donald Trump. Mwanasheria Mkuu, Letitia James, amekuwa akichunguza kama uongo uliripotiwa kwenye thamani ya mali ili Kampuni ipate mikopo na faida za kiuchumi na kodi. Trump ambaye...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais wa Tanzania akienda nchi kama Marekani, magari husimamishwa kupisha msafara wake?

    Viongozi wa nataifa mbalimbali wakitembelea nchi yetu, magari husimamishwa kupisha msafara na Rais wa Taifa kama Marekani ndio kabisa mji mzima unaweza kusimama (nakumbuka kufuru ya msafara wa George W. Bush kutoka KIA kwenda Arusha miaka ya 2000 mwanzoni). Miaka ya nyuma bila shaka walikuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Miaka 20 baada ya tukio la kigaidi (home-grown terrorism) la September 11 huko Marekani. Tanzania imejifunza nini?

    Habari zenu waungwana wa JamiiForums. Itakapofika tarehe 11 mwezi wa September mwaka huu wa 2021, itakuwa imetimia miaka 20 kamili tangu siku majengo pacha ya kibiashara katika jiji la New York nchini Marekani yalipuliwe na magaidi (kulingana na taarifa kamili ya serikali yao) kwa kutumia ndege...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…