marekani

  1. T

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vya Marekani na Ulaya ni wanafiki sana

    Nawaza, hivi ingekua Taliban wamechukua nchi kipindi cha Trump sijui ingekuaje, hiyo bado image ambayo Trump angepewa haina mfano. Lakini kwa kuwa alieko madarakani ni kibaraka wao, wanajitahidi kwa kila namna kuficha udhaifu huu mkubwa aliouleta na kuitia aibu Marekani kwa kuachia nchi kwa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kuna anayejua Marekani imefanya nini nchini Afghanistan?

    Hivi karibuni dunia imeshangazwa baada ya kusikia Rais Ashraf Ghan wa Afghanistan amekimbia mji mkuu wa nchi hiyo Kabul, baada ya mji huo kuzingirwa na wapiganaji wa kundi la Taliban. Kukimbia Kabul kwa Rais Ghani kuna maana kuwa ni wazi kuwa kundi la Taliban sasa limetwaa madaraka ya uongozi wa...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Marekani kutuma kikosi maalumu cha jeshi Congo DRC kupambana na wanamgambo

    Utawala wa Rais Joe Biden wa Marekani unajiandaa kutuma kikosi maalumu cha jeshi Congo DRC kupambana na wanamgambo wa ADF na ISIS waliopo mashariki. Balozi wa Marekani Congo DRC amesema kwa sasa vita vya Congo vitafikia ukingoni. Hatua hiyo ya Marekani unakuja wiki moja baada ya Kenya nayo...
  4. JamiiForums Tanzania Wataliban wamewawaaibisha Wamarekani

    Marekani na washirika wake pamoja na kutumia takribani dola bilioni 89 ($89 billions) kwa kuvifundisha na kuvipa silaha vikosi vya jeshi la Afghanistan kwa takribani miaka 20 hivi, iliwachukua mwezi mmoja tuu kwa Taliban kuvi fyekelea mbali na kuvisambaratisha vikosi vya jeshi la Afghanistan...
  5. JamiiForums Tanzania Taliban waichukua Kabul, Je Waarabu kuomba msamaha Marekani na kuwaomba warudi kuikomboa nchi

    Haya yanatokea wakati wanamgambo wa Taliban leo wakiuteka mji mwengine mkuu wa mkoa wa Ghazni ulioko kilomita 130 kusinimagharibi mwa Kabul, huu ukiwa ni mji wa kumi uliotekwa na waasi hao katika kipindi cha mashambulizi ya wiki nzima kote Afghanistan. Kutekwa kwa mji wa Ghazni ni pigo jengine...
  6. JamiiForums Tanzania Je, unafahamu Alaska ipo Marekani lakini ipo sehemu ya Canada

    Historia fupi ya alaska inaonyesha kuwa kipindi cha Urusi miaka mingi iliyopita ilikuwa sehemu ya miliki yao. Baada mfumo mbovu wa utawala kwenye madaraka ilikuja kuuza alaska kwa Marekani na ndio mpaka leo Alaska ipo Marekani. Miaka ya zamani kumbe watu waliuza sehemu.
  7. JamiiForums Tanzania Kisutu: Maafisa wa EU, UN na Mabalozi wa Marekani, Sweden na Ujerumani wahudhuria Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe

    Hivyo ndivyo ilivyokuwa leo Mahakamani, ambapo Wadau wa Maendeleo wa Tanzania kutoka kwenye Taasisi za Kimataifa wameshiriki kesi hiyo ya Ugaidi kwa lengo la kujua kinachoendelea, Maofisa hao wengi wao wamefika ili kujiridhisha na mwenendo wa kesi hiyo. Ugaidi katika nchi ni jambo baya...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kutoka Afghanistan, hadi Lithuania, ni nchi gani zinazopenda kuendelea kutumiwa na Marekani kama ni karata ya kutupwa baadaye?

    Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na mwendelezo wa mivutano kati ya China na Marekani ambayo imeripotiwa mara kwa mara na vyombo vya habari. Marekani imekuwa ikitumia ujanja wa kutumia upande wa tatu kujaribu kuiyumbisha China au kuingilia mambo ya ndani ya China, na China imekuwa ikifichua...
  9. JamiiForums Tanzania Marekani: FDA yaidhinisha utoaji wa dozi ya tatu ya chanjo kwa kundi maalum

    Kutokana na kuwepo Kirusi cha Delta kinachosambaa kwa kasi zaidi, Mamlaka ya Chakula na Dawa (FDA) imeidhinisha utoaji wa Chanjo za ziada za Pfizer na Moderna kwa watu ambao kinga yao ya mwili imeathiriwa. Mbali na Marekani, Nchi nyingine ambazo zimepanga kutoa au zimeshatoa dozi ya tatu ya...
  10. JamiiForums Tanzania Marekani: CDC yapendekeza wajawazito kupata chanjo ya Covid-19

    Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimesema Wanawake Wajawazito wanaweza kupata Chanjo dhidi ya COVID19 ikisema hakuna hofu yoyote ya usalama wao katika Uchambuzi mpya uliofanyika. CDC imesema inatambua kauli kuhusu uzazi ambazo zimekuwa zikisambaa, lakini maneno hayo hayana ushahidi...
  11. T

    JamiiForums Tanzania FDA ya Marekani yaidhinisha dozi ya tatu ya chanjo ama booster vaccine kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19

    Taasisi ya Chakula na Dawa ama FDA ambayo ndio huithinisha matumizi ya madawa kwa binadamu nchini Marekani inatarajia kuidhinisha matumizi ya dozi ya pili ya chanjo ama booster vaccine shots (kwa waliopata Chanjo ya Johnson and Johnson) ama ya tatu kwa waliopata chanjo nyingine kama Moderna ama...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mgogoro iliozusha Marekani si kati yake na China, bali ni kati ya ubinadamu na umwamba

    Hivi karibuni, maandamano ya kupinga serikali yalitokea nchini Cuba. Wakati jamii ya kimataifa ilipotia wasiwasi na kuwa tayari kutoa msaada, Marekani nayo ilitumia maandamano hayo kama ni fursa. Rais Joe Biden alisema, “Marekani iko pamoja na watu wa Cuba”, na kutangaza vikwazo vipya dhidi ya...
  13. JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma ya Taliban? Miaka karibu 20 ya vikosi vya Marekani na washirika wake Afghanistan ni Bure?

    Inaitwa Afghanistan the graveyard of Empires USSR walikuwepo miaka ya 80 wakashindwa na Mujahdeen (wakisaidiwa na USA) Taliban wakaingia mwishoni mwa miaka ya 90 ikawa rasmi sasa ni Unstable, Rogue state, safe heaven for radical, extremist terror group kama Alqaeda wakajitanua mpk maeneo ya...
  14. JamiiForums Tanzania Hali tete thamani ya Shilingi ya Tanzania ukilinganisha na Dola ya Marekani kwa kipindi linganifu cha mwaka mmoja uliopita (2020)

    Wanajamvi, salaam Naenda moja kwa moja kwenye point Hali halisi ya thamani ya pesa yetu inazidi kushuka kwa kasi sanaa ukilinganisha na miaka kadhaa iliopita, ukichukua takwimu za Benki kuu (BOT) kwa haraka tu utaona na kudhibitisha hayo, ukiangalia kwa mwezi July mpaka August 2020 utagundua...
  15. JamiiForums Tanzania Marekani: Gavana wa New York ajiuluzu kufuatia skendo ya unyanyasaji wa kijinsia

    Gavana wa Jiji la New York, Andrew Cuomo, ametangaza kujiuzulu ndani ya siku 14 baada ya Uchunguzi kubaini aliwanyanyasa kijinsia Wanawake kadhaa Wanademocrat wenzake akiwemo Rais Joe Biden wamekuwa wakishinikiza Cuomo aachie madaraka. Gavana Kathy Hachul atachukua nafasi yake na kuwa Mwanamke...
  16. JamiiForums Tanzania Kazi unazoweza kupata haraka ukifika Marekani

    Ukifika marekani sikiliza kazi unazoweza pata haraka
  17. JamiiForums Tanzania Harmony OS haijaisadia Huawei, mapato yashuka kwa 30%

    Katika kujitutumua na vikwazo vya USA Huawei walikuja na Os Yao ya Harmony Kwa ajili ya simu. Huawei waliisifia OS Yao kuwa iko fasta kuliko android na baadhi ya wachambuzi waliona OS ya Huawei ni mshindani wa android. Mpaka sasa Huawei imetangaza Hasara ya Pauni za Uingereza bilioni 35, Sawa...
  18. JamiiForums Tanzania Tokyo Olympics: Marekani yabeba tena medali ya dhahabu mpira wa kikapu

    Ikiwa imeaanza kwa kusuasua kwenye michezo wa Olympic, Marekani imetwaa kwa mara ya nne mfululizo medali ya dhahabu kwenye michezo ya Olympic kwa kuifunga Ufaransa 87 kwa 82. ====== Team USA secured a fourth straight Olympic gold medal as they beat France 87-82 in Tokyo. It was the second time...
  19. JamiiForums Tanzania Global Fund yatoa Dola za Marekani Milioni 112 kusaidia Tanzania kupambana na UVIKO-19

    Bodi ya Mfuko wa Kimataifa wa Kusaidia wa Kusaidia Mapambano dhidi ya UKIMWI, Kifua Kikuu na Malaria (Global Fund) imeidhinisha Dola Milioni 112 kusaidia Tanzania kupambana na Ugonjwa wa COVID-19 Mkurugenzi Mtendaji wa Global Fund, Peter Sands amesema Fedha zitatumika kununua PPE, mitungi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi China "ilivyoangukia pua" mbele ya Marekani huko Ethiopia

    .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…