marafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ukija mjini kutafuta usipende kuendekeza kujuana na marafiki mliotoka Kijiji kimoja. Itakuwia vigumu kufanikiwa

    Nimegundua jambo hili dogo sana ila lina effects nyingi katika utafutaji mjini hasa Dar es salaam. Kwa mara ya kwanza nachongesha kitanda Dar nilimpa tender classmate wangu wa primary, akanifanyia madudu. Kitanda nilikipata baada ya miezi kama 5 hivi huku ameniwekea chaga feki. Mara ya pili...
  2. Nimekaa kwenye mahusiano miezi 7 na mtu ambaye sikudhania

    Mwaka 2018 nlienda kumsalimia dogo wangu wa kiume shuleni kwao boarding. Kipindi hicho nipo chuo mwaka wa pili. Tulipiga story sanaa na kuzunguka mazingira ya shule, akanitambulisha kwa marafiki zake wengi wakiume na wakike pia. Kwa kweli ni mtu wa watu. Kwa hili: , Dogo popote ulipo kaka yako...
  3. Q-Net na Forever Living zimenipotezea marafiki zangu wa karibu

    Mara ya kwanza nasikia kuhusu Forever Living ilikuwa mwaka 2005 kipindi hicho imepamba moto sana. Kulikuwa na mtoto mmoja mkali sana chuo nlikuwa namfukuzia. Naye akaona atumie nafasi hiyo kuniunganisha Forever Living nikamkubalia ili kwanza nimle halafu tutajuana mbele kwa mbele, kweli...
  4. Kwa mliowahi kuishi na marafiki chumba kimoja hebu nipeni uzoefu wenu

    Ni hivi, wewe una chumba chako umepanga ungependa uishi na rafiki au mwenyewe. Kwa mliowahi kuishi na marafiki chumba kimoja hebu nipeni uzoefu wenu. Kipi bora, maisha ya kuishi mwenyewe au na rafiki?
  5. Simple Friends and Real Friends

    Simple Friends and Real Friends Anyone can stand by you when you are right, but a Friend will stand by you even when you are wrong. A simple friend identifies himself when he calls. A real friend doesn't have to. A simple friend opens a conversation with a full news bulletin on his life...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…