mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. Nimeliona hili mara Mbili karibu na Jengo la VIP Mortuary ya Lugalo Hospital hasa wakifa Viongozi je, lina maana au 'tunakompliketi' tu mambo?

    Alipokufa Hayati Rais Dkt. Magufuli na Kuhifadhiwa hapo kwa Siku kama Mbili au Tatu hivi barabara ambayo si tu hutumiwa na Wanajeshi lakini hata Raia ( akina GENTAMYCINE ) ilifungwa huku 'Makomandoo' wakirandaranda japo baadhi yao mida ya Usiku tulikuwa tukipishana nao mno tu katika 'Korido' za...
  2. Mnaofikiria kufanya kazi na Manara baada ya haya mjiulize mara mbili. Anachowafanyia Simba nanyi atawafanyia

    Waswahili wana usemi '"Jasiri haachi asili" hivyo wanachopitia Simba kwa sasa kupitia aliyekuwa anafanya kazi hapo ni fundisho tosha kuwa mkae nae kwa tahadhari kwani si Mtu wa staha. Mtu aliye tayari mpoteze yote mliyofikia kwa kuwa tu maslahi yake yamevurugika ni Mtu Mbaya na Msaliti. Manara...
  3. Kukatika kwa Umeme ni Dar es Salaam yote au baadhi ya maeneo tu?

    Leo umeme umekatika majira ya saa nne hivi asubuhi, mi niko Kariakoo Jiji la Ilala mkoa wa Dar es Salaam, kwa style ulivyokatika umeme sikuona kama kuna tumaini la umeme huu kurejea mapema. Nikaamua kuuliza maeneo mengine kama Tabata nk nako hakuna Umeme pia. Nambie we uko wapi? Kwako kuna umeme?
  4. UG Mining Manager at Barrick - North Mara Gold Mine LTD

    Overview WHAT WE CAN OFFER YOU: A comprehensive compensation package including bonuses, benefits, and where applicable. Ability to make a difference and lasting impact. Work in a dynamic, collaborative, progressive, and high-performing team. Opportunities to grow and learn with the industry...
  5. Yanga SC mkimaliza na hizi 'mbwembwe' zenu za Usajili ambazo mara nyingi huwa zinawaponza mnitaarifu ili nije na Uchambuzi wangu Kwenu

    Kwa Kuanzia tu ni kwamba Daktari wa Timu ya Taifa ya Congo DR amewashangaa Yanga SC Kumsajili Beki Shabaan Djuma ambaye ni 'proin injury Player' wakati aliwashauri Wasimsajili. Pili baada ya Kocha Nabi kurejea Likizoni sasa amezozana na Uongozi wa Yanga SC kwa Kumsajili Mshambuliajj Herritier...
  6. M

    Kuna madhara kuchoma chanjo ya Corona mara mbili?

    KUNA MADHARA KUCHOMA CHANJO YA CORONA MARA MBILI..? Wandugu habari za majukumu? naamini tu salama na walio wagonjwa na hofu ya yajayo kma mimi basi mwenye ezi mungu atufanyie wepesi! Mashaka yangu ni upinzani wa hzi chanjo za korona kwa mataifa yenye nguvu! Vipi pale unafanya entry nchi...
  7. M

    Kuanzia Jana kutumia code ya simbanking tigo ni sh 100 kwa Mara moja, *150*03#

    Kuanzia Jana tigo wameanzisha tozo ya kuweza kuingia sim banking kwa kutumia mtandao wao, kwahivo kula ukitaka kuangalia salio, kutuma salio kwa simu banking lazma utoe 100 ndo uingie ndani. Sasa sisi waalimu unakuta zamani unaangalia hata salio Mara 30 kucheki salary sijui itakuaje, kila...
  8. Kwa mara ya kwanza, tumeonyeshwa jinsi Majengo marefu ya GTC yanavyofanana kutoka ndani

    Hii video inaonyesha jinsi Majengo ya GTC ni ya kisasa na yanavutia kweli. Halafu upeo kutoka juu la jengo ni nzuri sana. Mtu anaweza kutazama Nairobi yote bila tatizo
  9. R

    Nataka kununua gari kwa mara ya kwanza kutoka Sbt japan. Msaada wa procedures.

    Habari za kazi wanandugu. Kazi iendelee ila irekebishwe kidogo maana tozo na ugaidi vimezidi. Twende kwenye mada. Mimi nina uzoefu kidogo kununua magari kutoka Beforward, kwa mara ya kwnza nilitumia wakala, ya pili nikazama mwenyewe mtandaoni nikachagua ninayotaka process zote za malipo hadi...
  10. Simba SC Mabingwa wa Kombe la shirikisho kwa mara ya pili mfululizo

    Wasalaaaam wakuu Mimi ni mdau na shabiki wa Yanga mkubwa sana ila kwa ndoto nilizopata usiku wa kuamkia leo ni taswira halisi ya kitakacho enda kutokea huko Kigoma katika fainali ya kombe la shirikisho Tanzania baina ya mahasimu wakubwa na watani jadi Yanga na Simba Ndoto ya kwanza nilianza...
  11. S

    Fatma Karume: Kwa mara ya kwanza naona aibu kuwa Mzanzibari

    Mama hata wanawake wenzake wanamshangaa
  12. Kuajiriwa 1991 kupandishwa cheo mara moja tu. Anastaafu kwa uchungu

    Habari! Juzi wakati nimetoka zangu night shift narudi home Chanika nikawapa lift watu 2 . Mmoja nilimwacha Gongolamboto mwingine nikaambatana naye mpaka Chanika Mwisho kwa Ngwale. Tuliongea mengi ila kwa ufupi ni kwamba huyu baba kalitumikia taifa miaka 30 kama polisi, kastaafu mwaka huu kwa...
  13. Rwanda gives nod to KCB to buy bank from Atlas Mara

    Rwandese authorities have approved the KCB Group deal to buy Banque Populaire du Rwanda (BPR) from London-listed financial services firm Atlas Mara Limited. Atlas Mara made regulatory disclosures that it had obtained approvals to sell its banks in Rwanda and Botswana. The firm said it was...
  14. Mara: Jafo asimamisha shughuli za uchenjuaji mtambo wa Double F

    WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Selemani Jafo amesitisha shughuli za uchenjuaji dhahabu katika mtambo wa Double F katika kijiji cha Nyakisya, wilayani Tarime kutokana na uchafuzi wa mazingira. Alitoa agizo hilo jana mkoani Mara baada ya kupokea malalamiko ya...
  15. Tatizo la kuishiwa damu mara kwa mara

    Rejea kichwa cha habari hapo juu,hili tatizo la kuishiwa damu lilinianza 2017 mwanzon kabisa hilivofika mwez wa sita hali ikawa mbaya sana nikaenda hospital nikapimwa wingi wa damu na vipimo vilionesha damu ipo g/dl 2.1 nikapew kitanda nikaongezewa damu nyingine nilikaa kam siku tatu...
  16. P

    SPIKA; Kwa mara ya kwanza bajeti kupita bila kupingwa. Wananchi kwa mara yakwanza wanaandamana kwenye mitandao kukupinga

    Kelele ni nyingi kuhusu kodi za mafuta na tozo za matumizi ya simu. Mwananchi analalamika. Mbunge anaipongeza kwa asilimia 100%. Je mbunge anamsimamia mwananchi aumie nakumsifu serikali amuumize mwananchi? Bado miaka 4 tuendelee kwenye mitandao kulalamika? Au Kijiji/kata umwite mbunge eneo...
  17. Kha! Mara Kuna Wanyonge?

    Duh sijui ni ugeugeu au ni ufyatu... hazikupita siku nyingi watu walisema lugha ya "wanyonge" haipo. Na kuwa ni lugha mbaya... mara hii watu wameanza kusema kuna wanyonge? kha!! Watu walikuwa wanatakiwa kuwa wazalendo na waoneshe uzalendo; sasa wanalipishwa kodi ya "uzalendo" wanang'aka...
  18. Technical and Capital Officer at North Mara Gold Mine Limited

    POSITION DESCRIPTION: North Mara Gold Mine Limited is seeking to recruit one Technical and Capital Officer to join Supply Chain team. The Successful candidate for this position will ensure that all mine purchases meet the necessary technical specifications and quality, identify, recommend source...
  19. S

    Mmiliki wa jogoo aliyewika mara 3 wakati Petro anamkana Yesu ni nani?

    Naomba kujua. Nani alikuwa mmiliki wa jogoo aliyewika mara tatu siku Petro anamkana Yesu?
  20. Naomba kujua Faida ambazo Wananchi wanapata kwa kila mara kuangalia Picha za Rais akitoka Dom kuja Dar na Dar kwenda Dom kwa Ndege

    Binafsi nitafaidika zaidi nikiona Picha za Rais yypo maeneo mbalimbali ya nchi yenye Changamoto mbalimbali akionana na Wananchi wake na kutatua Matatizo yao ya Kimsingi. Mpaka hivi sasa GENTAMYCINE naitafuta Tija ya kila mara tu Mitandaoni tunaonyesha Picha za Rais akipunga mkono akipanda Ndege...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…