mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. Speaker akerwa na mwendo wa kurudisha makao makuu dar kwa viongozi kurejea dar kila mara

    Mwendo wa kurudisha shughuli za makao makuu dar umeonekana mara baada ya kuaga dunia magufuli na mama samia kua rais. Swala la kuhamia dodoma limekua gumu kwa miaka zaidi ya arobaini hadi alipoingia magufuli. Kitendo cha rais samia kuonekana kwa kupenda au kushauriwa kufanya shughuli za...
  2. ERT Officer at North Mara Gold Mine/Barrick

    North Mara Gold Mine Limited is seeking to recruit one (01) ERT Officer to join ERT Team. The successful candidate for this position will carry out assigned ERT tasks within the guidelines of Company Standard Operating Procedures and tradesman Best Practice as well as other assigned tasks within...
  3. Dalai Lama kiongozi wa Tibet aliyekufa na kurudi mara 14

    Dunia inamfahamu kama Dalai Lama wa 14 kiongozi mkuu wa nchi iitwayo Tibet lakini pia Kiongozi huyu ni kiongozi mashuhuri zaidi wa imani ya kibuddha kama ilivyo Baba Mtakatifu (Papa) kwa wakristo au Ayatollah Khomeini kwa waislamu. Dalai Lama pia ni mtaalam wa maswala ya electronics Hata hivyo...
  4. Nampeleka RPC mkoa wa Mara Mahakamani

    Kufuatia tamko lake la juzi kuwa makomando ya katiba ni kinyume na sheria kwamba ni haramu, ninapenda kusema sasa tutakutana mahakamani ili aje kutoa kutoa tafsiri hiyo mahakamani mbele ya wanasheria pamoja na hakimu. Hii tabia ikiachwa ikaendelea kwa viongozi wa aina ya huyu RPC kuendelea...
  5. Kwa mara ya kwanza mwaka huu nimeingia Ikulu ya Magogoni

    Habari wadau..! Mwaka huu nimepata bahati ya kutinga moja kwa moja white house mjengoni pale Magogoni, asikwambie mtu ikulu patamu. Wapo wanaosema 2025 mama hatagombea mimi nawaambia ni uongo, yaani hata ningekuwa mimi nisingekubali kuondoka kirahisi mjengoni kuna raha. Mama atagombea na...
  6. Bavicha kushiriki Kampeni ya usafi iliyoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mara tarehe 4/9/2021

    Baada ya kusikia Bavicha wanafanya kongamano la Katiba mpya mkoani Mara , Mkuu wa Mkoa huo ameleta siasa za kishamba za kutangaza kuwa kesho ni siku ya usafi mkoani humo , na kwamba usafi huo utafanywa na vyombo vya ulinzi na usalama . Hata hivyo Bavicha imetangaza kuunga mkono juhudi za usafi...
  7. Rorya, Mara: Mgogoro wa ardhi wasababisha marehemu kutozikwa tangu Januari 20, 2021 mpaka leo

    Linaweza kuwa tukio la kushtua na kushangaza, lakini ndio hivyo limeshatokea. Familia ya Mzee Wilson Ogeta (89) hadi sasa imeshindwa kufanya mazishi ya baba yao aliyefariki dunia Januari 10, mwaka huu. Kwa siku 234, mwili wa Mzee Ogeta umehifadhiwa katika Hospitali ya Wilaya ya Utegi wilayani...
  8. TBC acheni tamaa hamuwezi kurusha vipindi viwili live kwa mara moja TV moja

    Benki ya NBC imedhamini live miaka 40 ya shririka la World Vision Tanzania, Mhe Rais yupo Bagamoyo wanarusha live pia, sasa najiuliza kwann hawa TBC wasingesema kwa muda huo hawataweza kurusha kipindi cha World vision live, sasa inakuwa wakate huku waunganishe huku watuonyeshe badae wakate huku...
  9. K

    Tanesco Morogoro kila mara ni kuomba radhi tu?

    SHIKRIKA LA UMEME TANZANIA TANESCO MKOA WA MOROGORO. TAARIFA YA KUOMBA RADHI KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME BAADHI YA MAENEO YA MKOA WA MOROGORO. Shirika la umeme Tanesco linaomba radhi wateja wetu wanaotumia laini ya Tungia,Mzinga,Kilosa,Mikese kwa kukosa huduma ya Umeme usiku wa kuamkia leo...
  10. Nilinusurika kubakwa mara mbili na wake za watu

    Strange though might sound, ila wabakaji wanawake wapo, nakubaliana na Biblia kua mke mwema anatoka kwa bwana, mimi binafsi nina wivu sana na naamini karma ipo hivyo endapo nitatembeana mke wa mtu possibly wangu nae pia watapita nae , ingawa sio ulinzi tosha kwani naweza nisipite na wake za...
  11. Punguza gharama za kutumia mafuta kwenye gari lako. Sasa unaweza kutembea kilomita 180 kwa gharama ya Tsh.15,000 tu

    Kwa wale wamiliki wa magari ikiwa umekuwa ukiwaza ni namna gani utapunguza gharama za matumizi ya mafuta kwenye gari lako BASI UJUMBE HUU UNAKUHUSU. Tumekuwa tukilalamikia juu ya gharama za mafuta katika kuhudumia magari yetu ila kwa sasa mkombozi amewasili. Gharama za maisha zinapanda kila...
  12. Kwa mara ya kwanza nimetuma pesa Ufaransa

    Kama mada isemavyo hapo juu, ni kama mwenzi mmoja sasa tangu nikutane na mwana unajimu kutoka Ufaransa nilikuwa nasoma utabiri wa maisha yangu kama 90% kwa njia ya barua pepe nimejifunza mambo mengi ya kiroho ambayo yanahusu 90% ya maisha yangu hadi pale niliposhawishika kununua . e-book...
  13. D

    Nimejiwekea msimamo; Sipandi bodaboda za hivi mimi, mara mia nitembee

    Ni misimamo yangu kwamba; Sipandi bodaboda isiyo kuwa na kioo (side mirror), maana mambo ya kugeuziwa shingo kila muda ujinga huo sitaki, Mara ageuke nyuma akosee tuelekee mtaroni spendi kabisa! Sipandi bodaboda ya bonge au mtu mwenye kitambi; Haiwezekani mi nilipe buku halafu siti yote akalie...
  14. Crane Mechanic at North Mara Gold Mine / Barrick

    POSITION DESCRIPTION: North Mara Gold Mine Limited is seeking to recruit two Crane Mechanics to join the Engineering Team. The successful candidate for this position will carry out assigned tasks within the guidelines of Company Standard Operating Procedures and Best Practice as well as other...
  15. J

    Mkurugenzi atoa Ushuhuda jinsi TBS ilivyomuhudumia kwa mara ya Kwanza

    Dkt.Marcus Alban Mkurugenzi wa Kusoma African Limited akitoa ushuhuda na uzoefu jinsi alivyopatiwa huduma na Shirika la Viwango (TBS) katika sherehe za kutoa leseni za kutumia alama ya ubora kwa wafanyabiashara hivi karibuni.
  16. IGP Sirro kinachofanywa leo na TBC ndicho kitakachofanywa na CHADEMA siku ya 4/09 huko Mara hivyo huna haja ya kuzuia

    Leo 18/09 TBC wapo mubashara wakijadiri katiba mpya katika kipindi chao cha MIZANI. Tena wameita watu mbalimbali wakiwepo,Prof. Mahalu,Prof.Lipumba,mhe.Hamad Rashid na Dkt.Kinunda wakiongozwa Dkt.Rioba. Sasa na CHADEMA nao watajadiri hivyo hivyo katiba mpya siku ya tarehe 04/09 huko Mara...
  17. Makongamano ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kuendelea kuvurumishwa nchi nzima. Kituo kinachofuata ni Mkoa wa Mara

    Taasisi bora kabisa ya vijana barani Africa , na ambayo taarifa zinaonyesha kwamba pia inashika nafasi ya 3 kwa ubora wa Taasisi za Vijana duniani , BAVICHA , imetangaza kuendelea tena kwa Makongamano ya ndani ya kuhamamisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi Kwa mujibu wa...
  18. Inakuwaje kila RC anayepangiwa Ruvuma agenda ni ukosefu wa soko la mahindi? Kuna haja gani kuwanadili kila mara?

    Leo TBC 1 Tv,nimeona Mkuu mpya wa Mkoa wa Ruvuma amezungukwa na magunia ya mahindi,hakuna soko. Hii inaashiria nini endapo aliyekuwepo mambo yalikuwa hayohayo? Ukienda mkoa wangu wa Rukwa ni yaleyale. Tunakosaje sera endelevu ya soko la mahindi Kitaifa?
  19. Never give up, Haikainde Hichilema amegombea Urais mara 5 na kushindwa. Sasa ni mara ya 6

    Mgombea Urais anayeongoza nchini Zambia wa Chama cha UPNDP Hichilema, alishashindwa uchaguzi wa Urais mara 5 nchini humo lakini hakukata tamaa, hii anayoongoza sasa ni mara ya 6. Ni Mwanasiasa aliyeongoza kwa kunyanyaswa na Mamlaka wakisaidiwa na Polisi wa nchini Zambia, Taarifa zinaonyesha...
  20. Kenya sasa inanunua mahindi kutoka Tanzania mara sita zaidi ya kiwango ilichokuwa ikinunua hapo awali

    Kuna wale Malazy waliopinga safari ya rais Samia Suluhu kuja Kenya. Walisema kwamba rais Samia hapaswi kuja Kenya na alistahili kuendeleza roho mbaya na mikwaruzano aliyoanzisha mwendazake ambaye sitamtaja hapa. Lakini cha kushangaza ni kwamba baada ya rais Suluhu kutembea Kenya, sasa Kenya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…