mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. Hodi hodi

    Hodi hodi! Wenye mji, kwa mara ya kwanza kuwa member wa Jamiiforums, ingawa nilikuwa msomaji mzuri wa mahubiri yenu. Naomba mnikaribishe
  2. Nakuja Dar es Salaam kwa mara ya kwanza, nipeni muongozo huu

    Wakuu habari! Mimi ni mtanzania kijana nilie graduate chuo mwaka huu nikitokea mkoani kanda ya ziwa, kwanza niweke wazi kutokana na trend ya ajira ilivyo nchini nimeamua kupambana na kuhangaika mwenyewe katika nyanja ya kujiajiri maana nikitegemea ajira ya serikali naweza kufa njaa na ndoto...
  3. T

    Rais Samia: Mara baada ya sisi kuanzisha tozo ya mitandao ya simu, Serikali ya Uingereza nayo ikaanzisha

    Akihutubia wananchi mkoani Kilimanjaro mheshimiwa Rais amesema mara baada ya sisi kuanzisha tozo ya kwenye mitandao ya simu ambayo ilipigiwa kelele na wananchi wengi, na Serikali ya Uingereza nayo imeanzisha tozo kama hii. Kumbe mama anafanya vitu Hadi mataifa yaliyoendelea yanavikubali hadi...
  4. Hongereni Simba SC kwa 'Kutuheshimisha' Watanzania na Biashara United FC kwa 'Kutung'arisha' wana Mkoa wa Mara (Musoma)

    Hamjatutangaza vibaya Watanzania na Tanzania ya sasa ya Rais Samia kama 'Wendawazimu' wengine ambao Furaha yao na Ubingwa pekee walionao ni Kukusanya Waganga wa Kienyeji nchi nzima, Kukata Kiganja cha Mtoto Mkoani Tanga na kwenda Kuroga eneo hatari la Nungwi kwa Msaada wa Boti ya Taasisi Moja...
  5. Wale tulioachana na Ma- X kwa ugomvi, ulimuonaje ulipokutana naye tena?

    Kuna wale ambao tuliachana na ma-Ex zetu na kuwafanya marafiki na kuishi nao vyema kwa kubadilishana nao Ideas tofauti za maisha Na kuna wale ambao tuliachana nao kwa Visa, Usaliti, Chuki, Fumanizi,chuki ,uhasama na Ugomvi mkubwa kifupi ni makando kando tele Mimi ninaye mmoja , nadhani katika...
  6. Mara: Mzazi ampiga mwalimu na kumjeruhi baada ya kumuadhibu mwanae

    Mwananchi mmoja aliyejulikana kwa jina la Nyimano Ghati mkazi wa kata ya Nkende Halmashauri ya mji wa Tarime Mkoani Mara amedaiwa kumpiga na kumjeruhi mwalimu wa shule ya msingi Nkende Mwl. Edina John kwa madai ya kuwa mtoto wake anayesoma shule hiyo alipewa adhabu na mwalimu. Kufuatia tukio la...
  7. Jinsi ya kupata chakula bure zaidi ya Mara 10 kila mwaka

    :):):):):):):) Funny Facts! Ukiingia kwenye soko la hisa la dar es salaam, idadi ndogo ya hisa za kununua ni hisa 10, thamani ya hisa moja kwa makampuni kwa report ya jana ni kama ifuatavyo Sasa Njia za kupata msosi ziko hivi, kwa sheria ya soko la hisa la Dar es salaam, kila mwaka kila...
  8. Kalemani: Mwenge haujawahi kuzimiwa kwenye wilaya hii ni mara ya kwanza Chato

    Huwashwa Mkoani na kuzimwa mkoani. Amesema Kalemani na kudai kuwa hii ni fursa kubwa kwa Chato. Hivyo Chato kama wilaya imepata fursa kubwa sana kwa mwenge kuzimwa hapa wilayani Chato.
  9. Bajeti ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21

    Ifikapo mwaka 2030 Shida ya maji safi na salama Tanzania huenda ikasalia kuwa historia tu | Bajeti mpya ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21. Rais Samia Suluhu Hassan kwenye bajeti yake ya maji ya kwanza tu alitenga jumla ya TZS 589.4BL Fedha hii ni kwaajili ya...
  10. Bajeti moja ya barabara ya Rais Samia inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita

    Bajeti moja ya barabara,madaraja na viwanja vya ndege ya Rais Samia FY2021|22 inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita, "Hakuna kama Samia " Kasi ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea maendeleo endelevu Watanzania hawa masikini...
  11. S

    North Korea yatesti hypersonic missile, kombora linalosafiri na spidi kubwa zaidi ambayo ni mara ishirini ya ile spidi ya sauti

    Picha ya Hwasong-8, kombora la hypersonic liliorushwa na North Korea North Korea imesema kuwa imefanikiwa kufanya jaribio la hypersonic missile, kombora linalosafiri maradufu kuliko sauti. Wataalamu wa mambo ya silaha wanasema kuwa kombora hilo ni miongoni mwa makombora yanayotembea kwa spidi...
  12. Jinsi unavyoweza kuagiza mabelo ya mtumba kutoka China na Dubai kwa bei chee na kupata faida mara 2 au 3 zaidi

    Hello wana bodi, natumai wote mko poa karibuni kwenye hii thread ambayo kwa namna 1 au nyingine inaweza kukupa idea ya kufanya biashara ya kuuza mtumba: A. SIFA ZA MTUMBA WA CHINA Belo za mtumba wa China uko vzuri na unatofautiana Kati ya supplier na supplier na wao wana chukua nguo Asia...
  13. Rais Samia, Mimi kama mwananchi wako nakushauri kwa mara ya mwisho juu ya polisi, nanawa mikono juu yao

    Mh Rais Samia Mimi kama mwananchi wako nakushauri kwa mara nyingine tena ili kusiwe na hatia juu yako Ila ni wazi kabisa polisi wetu wanakuchafulia na kukutia doa utawala wako. Mpumzushe Sirro msaidie apumzike kwa heshima jeshi la polisi chini yake limechafuka Sana na Askari wengi wanaumizwa...
  14. Mara ya kwanza kukutana na CEO Barbara alikuwa na chupa ya Mo Energy

    Barbara Gonzalez, alizaliwa jijini Dar es Salaam miaka kadhaa iliyopita, baba yake akiwa ni raia wa Colombia na Mama Mtanzania. Mbali na kuwa msaidizi wa Mohamed Dewji, pia alikuwa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Mohamed Foundation aliyojiunga nayo Aprili, 2016 ambayo hutoa misaada ya huduma za...
  15. Kama Patrick Phiri alivyorudi Simba Mara Mbili, Je Cedric Kaze hastahili kurudi?

    Kuhusu Ujio wa Cedrick Kazelona. Kuna maoni na mtazamo wa kiduwanzi sana baada ya kuona Prof Nabi anapata Msaidizi mwenye viwango vya juu kabisa vya CAF. Ni watu ambao juzi juzi tu kocha wao mkuu alipokea barua kutoka CAF kuwa anatakiwa kurudi MEMKWA akatafute cheti. Cha kushangaza zaidi...
  16. Miezi sita ya kwanza ya Rais Samia uwekezaji Tanzania ulikua mara sita zaidi katika kipindi kama hicho FY2020|21

    Nijambo la kujivunia, miezi sita ya kwanza ya Rais Samia uwekezaji ulikua kwa 400% Ukafikia US$3BL toka US$510M | Nikaribu mara sita zaidi ya ule wa mtangulizi wake katika kipindi kama hicho "Hakuna kama Samia " Jumla ya miradi 133 yenye thamani ya US$ 2.98 ilisajiliwa kati ya mwezi March na...
  17. Hivi Simba wamechukua ubingwa wa Africa mara ngapi?

    Majamaa wa Simba wamenikosesha raha sana jana, wananiambia eti jana vigogo wa soka afrika wamekutana, mabingwa wanapimana nguvu, nafahamu kuwa TP Mazembe ni bingwa wa africa mara tano. Pia nnafahamu kwamba kombe kuuuubwa ambalo Yanga kachukua ni Klabu bingwa africa mashariki na kati (Kagame)...
  18. S

    Korea Kaskazini yarusha makombora mawili ya balistiki toka kwenye treni kwa mara ya kwanza

    North Korea kwa mara ya kwanza imefanikiwa kurusha makombora mawili ya balistiki toka kwenye treni. Makombora hayo yalishambulia tageti iliyokuwa baharini umbali wa kilomita 800 toka sehemu iliyorushiwa. Wachambuzi wa mambo wanasema jaribio hilo laonesha kuwa Kim Jong Un anaendelea kuboresha...
  19. Maasai Mara hotel named top in the world

    A Maasai Mara tented camp, Mahali Mzuri, owned by British tycoon Sir Richard Branson has been ranked as the number one hotel in the world. The Travel + Leisure World’s Best Awards released on Monday shows that people love the hotel for its rooms, location, service, food, and value. The...
  20. J

    Utafiti: Asiyechanja hatarini kufa kwa COVID-19 mara 11 zaidi ya aliyechanjwa

    Utafiti mpya uliofanywa na Kituo Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Marekani (CDC) unaeleza kuwa chanjo ya Covid-19 bado ina umuhimu mkubwa katika kudhibiti homa kali na vifo vinavyotokana na Covid-19. Aidha, inaelezwa utafiti huo ulichunguza visa 600,000 kutoka katika Majimbo 13...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…