mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. Tabia ya kuwasema Watu Kwa ukanda haipendezi, kuna viongozi walikuwa wakiwasema Wachaga kila mara!

    Wakubwa kwema! Sitasema mengi! Kuna viongozi sijui ni wivu, sijui ni kutokujiamini, sijui ni Jambo gani, yaani kila mara wakisimama huropoka vitu ambavyo kimsingi havipendezi masikioni. Wachaga wezi! Wale ndugu zetu ni wezi! Mfano ikitokea wizi umetokea, kiongozi atasema wewe ni mtu wa wapi...
  2. Napendekeza stika za Wiki ya Nenda kwa Usalama zilipiwe kwenye bima, ukikata bima ukague na gari kabisa na vyote ulipie kwa mara moja

    Wiki hii kumeanza tena ule usumbufu wa kijinga na wa kila mwaka wa kusimamisha watu barabarani ili kuwakagua sticker za wiki ya nenda kwa usalama barabarani. Sasa kama ilivyo kawaida yetu hapa jukwaani, pakitokea kero basi tunatoa mawazo walau ya kuondoa au kupunguza kero hiyo. Sasa basi...
  3. Inawezekanaje bajeti ya Kenya ikawa kubwa mara mbili ya ile ya Tanzania?

    Hakuna neno lingine zaidi ya haya ni maajabu? Kenya ina watu milion 53 huku Tanzania ikiwa na watu takribani milion 60. Ukubwa wa Tanzania ni kilomita za mraba laki 9++ huku kenya wakiwa na eneo lenye ukubwa wa kilomita za mraba laki 5++. Nchi ya Tanzania iko mbele mara elf moja dhidi ya...
  4. Inawezekanaje bajeti ya Kenya ikawa kubwa mara mbili zaidi ya Tanzania?

    Hakuna neno lingine zaidi ya haya ni maajabu? Kenya ina watu milion 53 huku Tanzania ikiwa na watu takribani milion 60. Ukubwa wa Tanzania ni kilomita za mraba laki 9++ huku kenya wakiwa na eneo lenye ukubwa wa kilomita za mraba laki 5++. Nchi ya Tanzania iko mbele mara elf moja dhidi ya...
  5. M

    Rostam kanunua tiGO kwa Tzs Bil 230, wakati thamani ya 25% ya kampuni ya Voda ni TZS Bil 470, so thamani ya Voda ni mara 20 ya tiGO?

    Hivi ina maana thamani ya Voda ni mara 20 ya thamani ya tiGO, haya manunuzi kafanya bilionea Rostam. Mimi sijaelewa kabisa Bei ya manunuzi haya, wataalamu mtufungue. Au ndo Hawa wamefake thamani ya Voda kuwa ni trilioni 2 watu wamenunua hisa 25% kwa bilioni 480, halafu Hisa zenyewe haziuziki...
  6. Q

    Wabunge waikataa ripoti ya Tume ya Mto Mara. Wataka iundwe tume huru

    Baada ya kuwasilishwa bungeni leo ripoti ya Uchafuzi wa Mto Mara, wabunge wameikataa na kutaka kuundwe tume huru ya uchunguzi. "Ripoti ya Kamati ya Kitaifa kuhusu Uchafuzi wa Mto Mara ina upotoshaji. Isiwekwe hata kwenye tovuti ya wizara. Hakuna mafuta Ziwa Victoria. Ikiwekwa kwenye tovuti...
  7. Infield Tractor Driver 10 Posts at Bagamoyo Sugar Ltd

    Bagamoyo Sugar Ltd was incorporated on 01 December 2016 as a sugarcane production and processing subsidiary of the Bakhresa Group, following the acceptance of the land offered by the Government. Bagamoyo Sugar Ltd aims to alleviate the shortfall in domestic sugar supply by developing a sugar...
  8. Metallurgical Data Administrator at North Mara Gold Mine Limited

    North Mara Gold Mine Limited is seeking to recruit a Metallurgical Data Administrator to join North Mara team. The successful candidate for this position will provide support to North Mara Team to ensure that Metallurgical Data Management Objectives are met and are associated with the business...
  9. Light Vehicle Tire Fitter at North Mara Gold Mine Limited

    North Mara Gold Mine Limited is seeking to recruit a Light Vehicle Tire Fitter to join North Mara team. The successful candidate for this position will be responsible for carrying out assigned quality tire works as per shift assignment works activities at the Mine Surface and Underground Light...
  10. Vifo vya Samaki Mto Mara: Mgodi wa Dhahabu wa North Mara wakanusha kuhusika na uchafuzi wa maji

    Baada ya kuwepo kwa tetesi juu ya uwepo wa kemikali za sumu kwenye maji ya Mto Mara ambapo imesababisha samaki kufa na maji kuwa meusi, Mgodi wa Dhahabu wa North Mara umekanusha kuhusika katika uchafuzi wa maji ya mto huo. Hili hapa tamko kamili... **** Mgodi hauhusiki na uchafuzi wa maji ya...
  11. Wizara ya Nishati igawanywe mara mbili ili kuongeza ufanisi

    Wizara ya nishati ina mambo mengi makubwa, Kuna mafuta yanayo endesha uchumi wetu. Kuna gesi, sekta iliyo na matrillioni ya gesi ambayo ikiiuzwa mapema hatuta hangaika pesa za kuendeshea nchi. Mwisho kuna umeme, unaoimulika Tanzania. Napendekeza hii wizara ili kuharakisha haya mambo tuigawe...
  12. B

    Tume ya kinyesi cha ng'ombe mto Mara yatoka kivingine

    Tulikuwa kwenye vinyesi 25kg na mkojo wa lita 21 kwa ng'ombe kwa siku, kana kwamba mtoni ndiko chooni kwao. Sasa hivi tuko kwenye uozo: Tuko kimya siyo kuwa hatuoni. Tuelewane: "Vikwazo katiba mpya inatukera zaidi."
  13. Tarime: Wasimulia kuwashwa, kuharisha, kutapika, kuhara damu, mifugo kufa kisa maji ya Mto Mara

    Baada ya tetesi na hatimaye matamko rasmi kutolewa mara kadhaa kuhusu madhila yanayotokana na maji ya Mto Mara, ripoti zaidi zimeendelea kutolewa kupitia vyombo mbalimbali vya habari kuhusu kinachoendelea katika mto huo. Awali ilidaiwa kuwa kuna kimikali zenye sumu katika Mto Mara ambazo nyingi...
  14. Safety & training Superintendent at North Mara Gold Mine Limited

    North Mara Gold Mine Limited is seeking to recruit an Underground Safety & training Superintendent to join, our team. The successful candidate for this position is expected to align to the Barrick DNA and drive a change within his team and on a practical note will require to demonstrate...
  15. Nani Alisema Tule mara Tatu(3) Kwa Siku?

    Tangu utoto mpaka sasa ni mtu mzima kutwa mara tatu Hii ilianzia wapi, Nani alianzisha Je nikila mara 2 au 1 kwa siku au nikiamua kula mara 5 kuna madhara bila kukariri chakula ni wali au Ugali n.k...Na ni Wazungu walituletea hii itakuwa ni kututia umaskini tu na Maradhi mbona wao hawakuli kama...
  16. US hotel chain Marriott to open luxury safari lodge in Maasai Mara

    An artistic impression of JW Marriott Masai Mara Lodge’s junior suite tent bedroom. PHOTO | COURTESY | MARIOTT INTERNATIONAL Global hotel chain Marriott International has signed an agreement with Baraka Lodges Limited to open its first luxury safari lodge in Masai Mara, Narok County. The JW...
  17. Tanzania: Mikoa inayoongoza kwa Ukeketaji ni Manyara, Dodoma, Arusha, Mara na Singida

    Salaam Wakuu, UKEKETAJI NI NINI? Ukeketaji ni ukataji wa sehemu za siri za mwanamke. Ukataji huo unahusisha maeneo nyeti. Au ni kitendo chochote kinachojeruhi uke kutokana na sababu ambazo sio za kimatibabu. Ukeketaji unaumiza wanawake na wasichana kimaungo na kiakili na hakuna faida yoyote...
  18. Naibu Waziri Abdallah Sagini: Mto Mara hauna sumu, endeleeni kutumia maji

    Mbunge wa Jimbo la Butiama (MB), Jumanne Abdallah Sagini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi amewataka wananchi wa jimbo lake la Butiama kuondoa hofu kuhusu Mto Mara uliokuwa unasadikika kuwa na sumu. Akizungumza na Wananchi wa jimbo lake la Butiama aliwaomba kuamini taarifa...
  19. Hapa sampuli za maji ya mto Mara zipelekwe baadhi TBS, GCLA, NEMC, SGS, Intertek na zingine kwenye maabara za vyuo zikapimwe upya

    Kwakua majibu ya ripoti yamekua na utata kidogo, ni vyema sampuli za maji ya mto mara zifanyiwe uchunguzi wa maabara upya. Sidhani kama swala la kuchunguza maji lilihitaji kuunda tume. Analysis za maji ni kitu kidogo sana. Anyway ningekua ni mimi ningechukua sampuli za maji na kuzipeleka kwenye...
  20. Daktari: Muhimu kupima figo angalau mara moja kwa mwaka

    Wananchi wanashauriwa kufanya vipimo vya magonjwa ya figo angalau mara moja kwa mwaka, ili kupunguza hatari ya utambuzi wa magonjwa hayo katika hatua za hatari. Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Figo wa Hospitali ya Saifee Tanzania iliyopo Kinondoni, Dk Mercy Mwamunyi amesema hayo alipokuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…