mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. Hofu ya maji yenye sumu tena yatanda mkoani Mara

    Jipatie nakala yako
  2. Urusi kwa mara nyingine yatoa onyo kwa Mataifa makubwa kutoingilia mipango yake Ukraine

    Rais mzee baba Vladimir Putin ameonya vikosi vya nje dhidi ya kuingilia mzozo wa Ukraine, na kuahidi jibu la "kasi ya umeme" kwa vitendo kama hivyo, huku akiahidi kutumia siraha zenye matumizi ya juu zaidi za Moscow. "Iwapo mtu ataamua kuingilia kati matukio yanayoendelea kutoka nje na kuunda...
  3. Makamu Rais wa Marekani, Kamala akutwa na maambukizi ya Uviko-19 licha ya kuchanja mara mbili

    Makamu wa Rais wa USA Kamala Harris tests positive with Corona virus … ======= (CNN)Vice President Kamala Harris tested positive for Covid-19 on Tuesday after returning from a weeklong trip to California. "Today I tested positive for COVID-19. I have no symptoms, and I will continue to...
  4. D

    Rostam Aziz yumo kwenye ziara ya Rais Marekani, nawapa taarifa tu wale mliomwona kwa mara ya mwisho ziara ya Mwendazake Morogoro.

    Nimekutana na heading kwenye gazeti la The Citizen akiitaka AfDB kuisaidia Tanzania kwenye sekta ya kilimo hususani kilimo cha umwagiliaji. Mwamba huyu yupo.Ni hayo tu.
  5. K

    Ushauri kwa Mkuu wa Mkoa wa Mara kuhusu fedha zilizotolewa na Mgodi wa North Mara kwa ajili ya miradi ya Kijamii

    Mkuu wa Mkoa wa Mara amezuia takriban Tshs.5 billioni zinazotolewa na mgodi wa North Mara kwa ajili ya miradi ya kijamii na hii imetokana na matumizi mabaya ya fedha zinazotolewa na mgodi wa North Mara. Binafsi nakubaliana na uamuzi wa Mkuu wa Mkoa. Kama fedha zinatolewa na vifaa vya ujenzi...
  6. Kwa mara ya kwanza katika historia: Sherehe za muungano zafanyika Rais akiwa nje ya nchi

    Kwa mara yakwanza katika historia, tarehe 26/04/2022 Tanzania ina adhimisha miaka 58 ya muungano huku mkuu wa nchi akiwa nchini Marekani. Haijawahi kutokea kabla, mama anaandika historia nyingine. Uzi huu hauhusiani na nyuzi nyingine, huu ni uzi wa kumbukumbu ya kihistoria.
  7. Mwaka 1989 ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kutapeliwa jijini Dar es Salaam

    Mwaka 1989 wakati huo nikiwa na umri mdogo tu (chini ya miaka 10), niliwahi kutapeliwa na mtu ambae mpaka leo sikuwahi kumuona tena machoni kwangu. Iko hivi... Siku hiyo nilikuwa nimepewa Tsh 200 na shangazi yangu niende nikanunue sukari. Thaman ya Tsh 200 kwa kipindi kile ilikuwa kubwa sana...
  8. D

    Serikali (NEMC na TCRA) kuna pesa za bure hapa wala msijiulize mara mbili

    Kila idara ya serikali siku hizi ina vyanzo vya mapato! Ndungu zangu NEMC naona bado wamelala usingizi wa pono wakati kuna pesa kibao za kuokota! 1. Sheria na kanuni za mazingira ziko wazi kabisa! Hivyo basi! Nashauri NEMC ianze kutoza kodi ya spika na miziki mikubwa katika kumbi na taasisi...
  9. Umuhimu wa kujenga utaratibu wa kupima Afya mara kwa mara

    - Huwezesha kujua hali yako kiafya: Vipimo vya mara kwa mara hupelekea mtu kuwa na taarifa muhimu zitakazomsaidia kufanya maamuzi sahihi kuhakikisha ustawi wa Afya yake - Husaidia kubaini Magonjwa mapema: Utaratibu wa kwenda kupima Afya yako mara kwa mara unaruhusu Madaktari kubaini viashiria...
  10. Hivi msg za mitandao sijui offer gani mara sijui bet ganj kina mo GSM kina SSB wanatumiwa kweli

    Mie nachukia sana hizi msg mara sijui kuna offer gani mara sijui bet ganj mara sijui shinda nini mara sijui simubima sijui mara sijui chagua mwito sijui unapigiwa simu imesimama kwa daladala mara sijui simu bima sijui nachukiaga sasa nikawaza hivi kina moo au GSM au ssb au boss unga azania au...
  11. Marais wa kiume picha zao ziko kwenye noti na kwenye sarafu, hebu tuwape wanawake sarafu moja ya Mama Samia, hii ni historia ya taifa

    Kila taifa huwa Lina historia na tunu zake, tuna Rais wa kwanza mwanamama. Tumpe kumbukumbu moja mujarabu ya hata sarafu yenye picha yake! Ni sisi tu afrika mashariki na kati
  12. Putin; Maadui zetu mjifikirie mara mbili kwa hili bomu

    Russia successfully tested the Sarmat intercontinental ballistic missile (ICBM) with President Vladimir Putin boasting the nuclear-capable projectile will make Moscow’s enemies “think twice”.
  13. Adhabu ya Viboko: Upi ni umri sahihi, sehemu sahihi na kwa makosa yapi?

    Mtoto aanze kupewa adhabu ya viboko akifikia miaka mingapi? Ni umri upi wa kuacha kumtandika? Makosa yapi yanahitaji maonyo na yapi yanahitaji bakora hata kama ni mara ya kwanza? Atandikwe kwa bakora, mkanda, n.k wa aina ipi? Idadi ya viboko? Ni sehemu zipi katika mwili za kumchapa?
  14. M

    Kampuni ya Africell inadai ukiweka hela ndani ya siku 3 unapata Mara mbili yake. Je, imesajiliwa TRA, BRELA?

    Kuna Kampuni inadai wao wanajishughulisha na biashara mbalimbali, ikiwemo kuuza na kununua Mafuta oil diesel duniani, kuuza bizaa mbalimbali, kununua Madini, usafirishaji wa meli. Wao wanadai wanesajiliwa TRA, Brella, staili yao ni Moja tu, ukiwekeza kuanzia laki moja Hadi milioni 50 ndani ya...
  15. K

    Je, mtoto wako angekuwa na umri gani endapo ungepata mimba wakati ukishiriki ngono kwa mara ya kwaza?

    Kuwa muwazi wewe dada endapo ingetokea ukapata mimba mara yako ya kwanza kugegedwa ungekuwa na mtoto mwenye umri gani mpaka sasa?
  16. Viwanda na kampuni zinazopatikans Mara

    Habari wakuu samahan naomba kujua je Mara Kuna viwanda gan au kampuni gani na majina Yao nipo na shida nayo Asanteni
  17. B

    Kama upo hapa, please tuwasiliane mara moja

    Nipo Las Vegas hapa USA kama kuna mtu yupo karibu please tuwasiliane maana nipo tu bored. kulikuwa na kikao tumemaliza toka Jumamosi so nikaona nikae kae kidogo kuonana na jamaa zangu. bahati mbaya nao ratiba zao zimebana so tumeonana kwa muda mfupi tu wakati wa Breakfast na Lunch. nina muda...
  18. Nguruwe wangu anatatizo la kukojoa mfululizo mara tu baada ya kunywa maji hayakai tumboni anayakojoa yote papo hapo

    Wanajukwaa wenzangu kama yupo mwenye majibu ya tatizo naomba maelekezo, Ukweli tanzania tunasafari ndefu kwani ukosefu wa maabara za mifugo umewafanya ma afisa mifugo kuwa wapiga ramli chonganishi kwenye matibabu ya mifugo yetu. Natanguliza shukrani!
  19. WHO: Walioambukizwa Uviko-19 Afrika ni mara 97 ya takwimu zilizopo

    Inaelezwa kuwa mbili ya tatu ya watu waliopo Afrika wameambukizwa Ugonjwa wa Uviko-19 ndani ya miaka miwili, ikiwa ni mara 97 ya takwimu zilizoripotiwa na mamlaka husika. Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO). Taarifa hiyo iliyotoka wiki hii inaonyesha kuwa maambukizi...
  20. Tabia ya kuwasema Watu Kwa ukanda haipendezi, kuna viongozi walikuwa wakiwasema Wachaga kila mara!

    Wakubwa kwema! Sitasema mengi! Kuna viongozi sijui ni wivu, sijui ni kutokujiamini, sijui ni Jambo gani, yaani kila mara wakisimama huropoka vitu ambavyo kimsingi havipendezi masikioni. Wachaga wezi! Wale ndugu zetu ni wezi! Mfano ikitokea wizi umetokea, kiongozi atasema wewe ni mtu wa wapi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…