mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    Cylinder head gasket kungua kila mara kwenye vitz

    Wadau habari, Nina kagari kangu ka vitz old model. Kumbukeni mimi ni kabwela nimejichanga changa tu japo na mimi nipate kausafiri. Sasa kalikuwa na leakage, fundi akafungua cylinder head akatibu leakage akafunga.Baada ya hapo kakawa kanazima zima mguu usipokuwa kwenye accelerator...
  2. Kwa mara ya kwanza nimemkumbuka Hayati Magufuli tokea afariki dunia

    Sikuwahi kumkubali huyu mwamba kipindi chake chote Cha utawala mpaka anakufa. Akili imenikaa sawa sawa, kama binadamu ni kweli alikuwa na mapungufu yake hakuna mkamilifu. Nakubali huyu mwamba alikuwa na nia ya dhati ya kulipigania hili taifa. Nahisi labda njia tu ndo zilitukwaza baadhi yetu...
  3. Rais Samia kwani una 'Tatizo' lolote lile hadi kila mara ujitokeze 'Matamasha' ya Kukuombea?

    Mtume wao Mwamposa alivyotonywa na Watu wa Mfumo wasio na Vifua vya Kutunza Siri kutokana na Viapo vyao kuwa ataondolewa Tanganyika Packers Kawe haraka sana akaandaa Tamasha la Kujipendekeza kwa Rais Samia kwa Kusema ni la Kumuombea akiwa na Mategemeo kuwa 'atalainishiwa' na hatoondolewa...
  4. L

    Vikwazo dhidi ya Zimbabwe vyapaswa kuondolewa mara moja

    Tarehe 25 Oktoba ni “Siku ya Kupinga Vikwazo” iliyoanzishwa na Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC). Katika maadhimisho ya Siku hiyo, viongozi wa nchi nyingi kwa mara nyingine tena wametoa wito wa kuondolewa kwa vikwazo dhidi ya Zimbabwe. China pia imesisitiza kuwa, Marekani...
  5. Nyie wanawake mnadhani sisi wanaume pesa tunaokota? Huyu mwanamke kwa siku 1 ananipigia zaidi ya mara 30 sipokei simu yake

    Hi! Niliwahi kuleta Uzi nikasema wanawake maskini hasa wa mjini hawana mapenzi ya dhati kwa wanaume wapenzi wao. Wengi ni kama wapo na wanaume ili watatue shida zao za kiuchumi. Watakuigizia kukuita baby mara dear ili ujisikie unapendwa lakini kwa kweli ukifulia au yeye akipata mwanaume...
  6. Mlima Kilimanjaro unawaka tena moto usiku huu ikiwa ni mara ya tatu kwa mwezi Oktoba 2022

    Mlima kilimanjaro unawaka tena moto usiku huu. KINAPA NA TANAPA AMKENI .
  7. 4

    Eti deep state , Mara Tss twende Sasa isieshindwa Sasa ameingia

    Mtapigwa Kama ngoma, mtaishi maisha magum Kama wachawi, inchi hii ya Watu wote mda utaongea , Linda taifa na sio vyama Mungu atapunguza adhabu zenu ,kamwe usipate laana KWA ajili ya Watu wengine Wanatambelea v8 wewe pikipiki Kama sio baiskeli, jitambue na chukua HATUA na Mungu atawabariki
  8. Unaikumbuka mara yako ya kwanza?

    Unamkumbuka mpenzi wako wa kwanza? Ladies and gentlemen, how y'all doing? I have some true story to tell. I hope you cherish thee. kwanza naanza na disclaimer: I was 14 at the time Sasa tuweke kimalkia pembeni twende mojakwamoja kwenye story Nakumbuka mpaka nilipofika form 2 nlkuwa bado...
  9. Kwa mara ya kwanza Tsh Milioni 350 imeingia kwenye account

    .hgjk
  10. D

    Ila Nyiee Yanga raha, mara ya mwisho umeona wapi mua kama ule wa Aziz Ki?

  11. Ulikuwa katika hali gani mara tu ulipoanza kutumia kilevi?

    Nakumbuka ndo siku ya kwanza jamaa yangu ndo anaanza kutumia kilevi, alipita anaimba njia nzima. Kwa upande wako ilikuwaje?
  12. Picha: Rais wa JMT akiwa na mgeni wake Rais wa DRC mara baada ya kuwasili Ikulu Dar es Salaam

  13. Nilimtongoza mara mbili akanikataa kwakuwa ni shemeji yangu lakini haachi kuniomba pesa

    Haka kabinti nilikatongoza mara mbili, kalikataa kabisa kwakuwa mimi ni shemeji yake. Sasa naona tabia yake ile ya kuniomba nimnunue hiki mara nimtolee pesa ya mchezo, mara ya kula naona bado hajaiacha. Vipi nimchane live kuwa akiwa na shida amwombe dada yake kisha dada yake ndiye afikishe...
  14. Musoma: Ahukumiwa miaka 30 kwa kumbaka mara kwa mara binti yake wa kufikia

    Mahakama mkoani Mara imemhukumu Paschal Anatory mkazi wa Musoma miaka 30 gerezani baada kutiwa hatiani kwa kosa la kubaka mara kwa mara binti yake wa kufikia anayesoma shule ya msingi. Akitoa jumuisho, hakimu wa Serikali aliomba mahakama itoe adhabu kali ili iwe fundisho kwa wengine.
  15. Fikiria mara mbili kabla ya kuweka picha ya mtoto wako mtandaoni

    Wazazi au walezi wanapenda sana kuweka taarifa au picha na video nyingi sana kuhusu watoto wao mtandaoni. Wengine huko Instagram, wanachapisha video na picha za watoto wao wakiwa nusu uchi wakipigania chakula, midoli au kucheza mziki. Huko Twitter, wanashare picha za watoto wao wakiogelea...
  16. Ndani ya miaka mitatu Al Hilal imeingia hatua ya makundi mara tatu, Simba mara moja tu!

    Mwaka 2019/20 Al Hilal waliingia hatua ya makundi wakati Simba iliondoshwa mapema na Ud Songo. Mwaka 2020/21 wote Simba na Al Hilal waliingia hatua ya makundi. Mwaka 2021/22 Al Hilal walitinga hatua ya makundi na Simba iliondoshwa mapema na Jwaneng Galaxy. Kumbe ndiyo maana Al Hilal...
  17. Nilitaka kupigwa Kalynda ila nikastukia

    Hii ishu niliisikia kwa aunt,toka mwezi wa 6 hivi, nikajiunga vinzuri ila ishu ilikuja pale nilipotaka kuweka pesa, kila nikisema ngoja nikaweke pesa nakuwa bize napotezea. Nikaipotezea kama miezi 2, mwezi wa 8 aunt akanionyesha ela zake kwenye account duuh account imeshiba kinoma inakama...
  18. Nimenisurika mara nyingi kupigwa na utapeli wa mitandaoni kwa kutumia mbinu hii

    Habari za muda huu wana JF Nimesikia vilio watu kupigwa kwenye Kalyinda nimeamua kuwaletea mbinu yangu niliyopata mwaka wa mwisho wakati namaliza kozi za Uwabata nchini Cuba (joking) Mimi siamini kabisa katika pesa za kudownload yaani umekaa kiboya pesa zije kirahisi bila kutolea jasho naona...
  19. B

    Kwanini mara nyingi mwanaume ukimhudumia sana mwanamke lazima upigwe na kitu kizito?

    Utakuta mwanaume uko vizuri kipesa, unamuona mdada unampenda, ila amepauka kwa umaskini. Unajitoa kumhudumia kipesa kwa hali na mali, hadi mdada ananawiri, ila atakachokuja kukulipa huyo binti, ni heri tu angekuambia tuachane. Niliona makala YouTube, mdada mmoja wa Kifilipino alimuua mume wake...
  20. 5

    Jeshi la Ukraine sasa waingia Luhansky kwa mara kwanza tokea Urusi avamie

    Hizi ndio miongoni mwa habari za leo Majeshi ya Ukrean waingia Luhansk kukomboa kwa mara ya kwanza toka Urusi ivamie nchi hiyo. Itakumbukwa juzi Jumamosi walichukua Mji wa Lyman ambao ndio Hub ya usafiri Russia walikuwa wanautumia kupitisha vifaa vyao mbali mbali kwa ajili ya vita, silaha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…