mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwa mara ya kwanza Watoto Wenye Vichwa vikubwa wafanyiwa upasuaji Tabora

    Historia imeandikwa mkoani Tabora na mikoa jirani ambapo kwa mara ya kwanza watoto wawili wenye vichwa vikubwa wamefanyiwa upasuaji kupitia kambi maalum ya matibabu ya kibigwa na bobezi inayoendesha na Madaktari bingwa, Wauguzi, Mtaalam wa usingizi kutoka Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) kwa...
  2. Vitu Vya Kuepuka Mnapotoka Na Mwanamke Mara Ya Kwanza (First Date)

    Maana ya date na mwanamke ni kukutana naye ili kutengeneza mazingira rahisi ya kufanya naye mapenzi, na mkiendana kuwa wapenzi. Ila ukiharibu unapokutana na mwanamke, maana yake unakosa penzi na nafasi ya kufanya mapenzi. Hivyo ni muhimu kuepuka haya ili kuongeza nafasi yako ya kupata penzi...
  3. Rais Samia: Waliopokea ongezeko la gharama za ununuzi wa ndege ya mizigo waachie nafasi zao watupishe

    Kuna watu wameongeza 110% kwenye gharama za Ununuzi wa Ndege ya Mizigo. Nadhani Sasa Mh. Rais ameanza kuwafahamu Watanzania. Hawa watu msiishie kuwafuta kazi waende mahakamani. Hii Nchi watu Kuiba ni sehemu ya maisha Yao so kuwasimamia Kwa kuwabembeleza watakutafuna Hadi ukome. Watanzania...
  4. Makabila ya Mara mnatia aibu: Wanaume kutahiriwa bila ganzi sio ushujaa, Heshima ya Mwanaume ipo kwenye Pesa na Power

    Dunia imepuga hatua kwenye nyenzo za utabibu kwenye kutahiri na hakuna mantiki ya kutumia mbinu za zamani zenye maumivu makali bila ganzi. kuahiri kwa kisu kwa zama hizi ni kama kuhangaika kutafutana majumbani wakati yupo zama za simu za mikononi. Hayo mambo ya kutahiriwa bila ganzi yaachwe na...
  5. Mara yako ya mwisho kusoma Biblia au Quran ilikuwa lini?

    Amani ya Bwana iwe nanyi nyote, Ndugu zangu, Pamoja na pilikapilika na mihangaiko ya kutafuta mkate wa kila siku, inatupasa kuendelea kumtumikia Mungu mwenyezi aliyeziumba mbingu na nchi na vitu vyote tuvionavyo na tusivyo viona, Simu zetu zimekuwa karibu zaidi kuliko vitabu vitakatifu vya...
  6. M

    Kwa namna Serikali ya Rais Samia ilivyoshindwa kuwatumikia Watanzania maandamano kama ya Kenya yalipaswa kuitishwa mara moja

    Watu wanalalama uraiani tu kwenye vijiwe vya kahawa kuwa maisha yapo juu. Mchele umetoka kwenye bei ya Tsh. 1300 mpaka 3800 baada ya Rais Samia kuingia madarakani. Huu ni mfano tu. Sasa hivi tunaambiwa pesa za umma hasa huko serikalini zinatafunwa kama peremende. Watanzania wanatakiwa kujua...
  7. Mambo unayopaswa kufanya mwanaume pale ndoa au mahusiano yako yanapovunjika

    Nasema na wanaume kwa sababu nimesikitika kuona wanaume wakiwa wanarudia makosa yaleyale mara pale mahusiano au ndoa zao zinapovunjika na kujikuta wanapoteza muelekeo wa Maisha yao. Listen; 1. Mwanaume hutakiwi kurukia mahusiano mapya kabla hujaacha 100% yale yaliyopita. Ukisha achana nayo jipe...
  8. J

    Tundu Lissu aache kumkebehi Rais Samia

    Tundu Lissu kwa maneno yake mwenyewe na kwa kujiamini alisema Magufuli ndiye aliyeagiza apigwe risasi kwa madai kuwa alikua msaliti bahati nzuri akapona. Lissu alidai tena aliponea kuuawa mara ya pili baada ya uchaguzi kumalizika na akaokolewa na ubalozi wa Ujerumani. Rais Samia ambaye ndiye...
  9. J

    Ukweli kuhusu kifo cha mfanyakazi mgodi wa Barrick North Mara

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime Rorya, Geofrey Sarakikya, amesema mfanyakazi wa mgodi wa Barrick North Mara Emmanuel Chacha, aliyefariki dunia Machi 11, mwaka huu hakupigwa risasi. Aliyasema hayomkoani Mara, wakati akitoa ufafanuzi kuhusu kifo cha Chacha, ambapo alisema alifariki...
  10. B

    Maandamano Kenya sasa mara 2 kwa wiki

    Kimenuka! Kama Ampiclox vile doze kamili 2 x 1. Kwa kinachoitwa kuitikia shinikizo la waliochoshwa na ya bwana Ruto, sasa Tahrir mara mbili kwa wiki. Kwamba si Jumatatu peke yake ila rasmi na Alhamisi pia. Mola amsimamie Raila Amolo Odinga kuendelea kutoa masomo ya uzalendo kwa pande za...
  11. O

    Tatizo la kukojoa mara kwa mara usiku

    Wakuu salamaa, Nina swali dogo hapa naomba msaada wenu, nimepatwa na hali inanipa mashaka kidogo!ninaenda sana haja ndogo wakati wa usiku ili hali nimekunywa glass moja tu ya maji na kulala! Je, ni kawaida au ni kutakua na shida mahali katika mwili wangu? Muwe na asubuhi njema.
  12. G

    Je, Tanzania itaanza lini kutumia barabara za nanotechnology?

    Barabara za Nanotechnology zimeanza kutumiwa na nchi nyingi; 1. Inachukua muda mfupi kujenga. 2. Ni environmental friendly (inaweza kujengwa hata Serengeti na mbuga zetu zote). 3. Naamini wataalamu wetu kama Ibra Construction wanazimudu. Maida Waziri alionekana South Africa akizionyesha kwenye...
  13. Mara: Zitta Samson Magige auliwa na watu wasiojulikana

    Mkazi wa Dar es Salaam, Zitta Samson Magige, amekuta amekufa huku akiwa na jeraha linalodaiwa ni la risasi. Mwili wake ulitelekezwa Barabarani huko Nyamongo Alienda Kwao Nyamongo Tarime kwaajili ya Harusi ya Mdogo wake. Ameolewa na alikuwa na duka la Pombe kali Mkoani Dar. Mwili wake...
  14. Jinsi ya kuanzisha mazungumzo na mwanamke uliyekutana naye mara ya kwanza

    Mwanamke ambaye hamtakutana tena usipoongea naye kwa muda huo. Umemuona mwanamke na amekuvutia, sasa unajiuliza nini ukaongee naye ili muanze mazungumzo. Lengo lako lisiwe kupata namba. Lengo lako uweke ni kumfanya ajisikie hisia za raha kuwa na wewe. Hivyo, hata akikupa namba inakua rahisi...
  15. Daktari: Mtu mmoja anatakiwa kufanya ngono mara tatu kwa wiki - Swahili Times

    Wanaume wanaopenda kufanya ngono mara kwa mara wanadaiwa kuwa kwenye hatari ya kufariki mapema tofauti na wanaume ambao hawafanyi kitendo hicho mara kwa mara. Hayo yamesemwa na daktari bingwa wa afya ya uzazi kutoka Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar, Dkt. Ummukulthum Omar wakati akitoa mafunzo...
  16. Wanawake acheni hii tabia mara moja

    Morng guys Hua sijawai kuwaelewa wanawake ambao wanaenda pub kama vile juliana ana agiza serengeti lite moja kuanzia saa nne mpaka saa tano huwa mnatafuta nini? Ninyi ni omba omba pauperism kwa kiingereza. Ila pongezi kwenu wanawake ambao mkifika mnajaza savana kwenye meza ninyi pesa sio shida...
  17. Mbunge Agnes Marwa alipongeza Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara

    Nguvu zilizotumika kulinda wanawake zielekezwe pia kwa watoto wa kiume Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Agnes Marwa amelipongeza jeshi la polisi Mkoa wa Mara kwa kazi nzuri na ushirikiano mkubwa kwa jamii katika kutokomeza Ukatili wa kijinsia kwa Wanawake na watoto Mkoani Mara. Ameyasema...
  18. K

    Wale wanaotamba "Najua kuacha sijui kuachwa" mara nyingi baadae huwa wasumbufu kwa wapenzi waliowaacha

    Kuna wale wanajionaga mafundi wa mapenzi sababu ya mionekano yao,uzuri au fedha zao wanajiamini kwamba wanajua kuacha hawajui kuacha,ila baadae hujaga kuwa wasumbufu. Nakumbuka nilikuwa na demu mmoja mzuri, ki ukweli huyu demu alikuwa mzuri Black beauty bonge la figure, halafu mara nyingi...
  19. Kuweka appointment Ubalozi wa Ujerumani kwa mara ya pili (Rebooking appointment)

    Habari! Naombeni mawazo ya nini nifanye kuweza kubook appointment ubalozi wa ujerumani kwa mara pili. Niliweka appointment ya kwanza wakasema kuna document ya muhimu sina (blocked account) nifungue alafu nibook appointment tena. Nikijaribu kubook appointment inaniletea huu ujumbe 👇🏽👇🏽 "the...
  20. Wakazi wa mkoa wa Mara walalamika kuingiliwa kimwili na washirikina

    Taharuki imetanda kwa wakazi wa kijiji cha Nyamuswa wilaya ya Bunda mkoani Mara, baada ya kuibuka kwa watu ambao wanawaingilia kimwili usiku wanawake na wanaume pamoja na watoto wakike kwa njia za kishirikina.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…