mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. Je, kama kila ukijaribu myamalize ila mpenzi wako haoneshi kutaka yaishe je kuachana hapo ni uamuzi mzuri?

    Habari zenu bila shaka hamjambo em tupeane fikra hapa kidogo Je mwanaume kuomba samahani kwa mpenzi wako hua mwisho mara ngapi? Je suluhu pia isipofanya kazi kuachana ni uamuzi sahihi ? Tumeishi kwa furaha kwa mda mrefu ila vikombe kugongana lazima kabatini ila huyu mwenzangu kila nikitaka...
  2. Mbunge Agnes Marwa: Wananchi wa Mkoa wa Mara walipwe fidia ya ardhi yao

    MHE. AGNES MARWA AISHAURI WIZARA YA MADINI, WANANCHI WALIPWE FIDIA ZAO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Agnes Marwa amechangia bajeti ya Wizara ya Madini kwa mwaka wa fedha 2023/2024 katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku akisisitiza sana wananchi wa Mkoa wa Mara walipwe...
  3. Wakati Idara za ulinzi na Usalama za Tanzania zinafuatilia ya mchungaji Mackenzie wa Kenya, tusisahau mchungaji anayejiita Mbarikiwa, yuko hapa kwetu

    Kimsingi, huyu mchungaji, waziwazi, anaandika na kuchochea chuki huko YouTube. Anaporomosha matusi na hakuna anayechukua hatua. Ofisi ya msajili wa taasisi za dini nadhani kwa Sasa inatakiwa iamke usingizini kabla taifa halijapata janga. Hatukatai kwamba ana Uhuru wa kuabudu, lakini kufurumusha...
  4. Uliwahi kuwaza kuua mtu? Hii ndiyo mara yangu ya kwanza kupata wazo la kuua mtu

    Waovu hawazaliwi wakiwa hivyo bali ni matokeo ya uminywaji wa haki na Uonevu katika Jamii. Hata magaidi au wanaotekeleza mauaji ya kinyama, lazima Kuna sababu nyuma yao. Miaka ya nyuma nilienda shuleni kuchukua cheti Cha O-level. Nilfunga bahasha kwenye baiskeli nikawa nikiendesha speed. Kuna...
  5. M

    Master Nabi anabaki kuwa mmoja tu, arudii makosa mara mbili, kawaonyesha Rivers leo

    Kocha Nasridine Nabi ni kocha wa viwango, ni kocha asiyetabirika, ni kocha master sana wa kuusoma mchezo na kumalizia kazi yake kwa uweledi mkubwa, Leo kaingia uwanja wa Uyo na back 3 akijua rivers watakuja kwa kasi sana kwenye goli la yanga kutafuta mabao hivyo akaweka viungo wa shoka, baada ya...
  6. K

    Rais Samia kwa siku anabadilisha nguo mara ngapi?

    Huyu mheshimiwa naona kila akiingia ndani anatoka kavaa nguo nyingine. Hivi hizo nguo anazobadili kila sekunde ni sisi walipa kodi tunagharamia?
  7. Musoma: Mtoto afariki na kugeuka jiwe

    Hii dunia ni ngumu kuielewa na kila siku kuna jipya, mtoto amekufa na kugeuka kuwa jiwe, huyu mama alizaa watoto mapacha mtoto mmoja amefariki na mwingine bado yupo. Tukio limetokea ukweni na tayari ndugu wa mke wameamua kuondoka na ndugu yao (mama mfiwa) na mtoto wake aliyebakia hai. Chanzo...
  8. Napata maneno haya mara kwa mara ninapoperuzi Facebook. Tatizo Nini?

    Salaam wanajukwaa. Kama kichwa Cha habari kinavyosomeka hapo juu. Nimekuwa naletewa ukurasa huu ufuatao Kila ninapoperuzi Facebook. Tatizo nini?
  9. Ndoto hii imekuwa ikijirudia mara kwa mara lakini sijui maana yake

    Morng African. Kuna ndoto imekuwa inanijia mara kwa mara lakini sijui maana yake naomba msaada kwa anaejua. Jana nimeota narudi kazini pale ambapo niliacha mweenyewe na ujio wangu wa kurudi pale boss anaonekana kufurahia wafanya kazi wezangu nao wanafurahi sana lakini sijawaelewa. Mara...
  10. Mara ya kwanza kumjua mtu aliyejiua kwa sababu ya Mapenzi

    Hii tukio nimelikumbuka baada ya kutumiwa picha yangu ya zamani na mmoja wa watu tuliokuwa tukiishi mtaa mmoja. Nakumbuka nikiwa kidato cha tatu; asubuhi moja ya Februari 14, majira ya saa nne asubuhi, kilio kilisikika kutoka katika nyumba moja. Ilikuwa sauti ya kilio kikubwa kutoka kwa mama...
  11. B

    Kijana afariki dunia mgodini Mara

    MARA: Kijana aliyefahamika kwa jina la Masasa Tungulilo, amefariki dunia kwa kuangukiwa na kifusi katika machimbo ya mgodi mdogo wa dhahabu wa Nyarufu uliopo Halmashauri ya Musoma mkoani Mara wakati akijaribu kuingia katika mduara huo. Mashuhuda wa tukio hilo ambao ni wachimbaji wadogo katika...
  12. Hivi ndo ilivyokuwa kwa mara ya kwanza nacheza GTA 5 kwenye PS5

    Hii video inaonyesha jinsi nilivyocheza mission za kwanza ambazo ni Prologue, Franklin and Lamar, Repossession Complicatio, Stolen Boat and Father Son ila mission ya stolen boat ndo ambayo imenitesa zaidi.
  13. K

    Ni hali ya kawaida mwanaume kupenda kumuona mkewe akilia lia kila mara

    Waswahili wanasema mficha maradhi kifo humuumbua.Kuna kipindi hapo nyuma nilimpiga mke wangu vimatukio tukio akawa mtu wa kulia na kutoa machozi kila Mara Mbaya zaidi ameanza kuneneepa kufikia hatua ya ndani ya miezi miwili mitatu naye aanze kuitwa bonge Niwe muwazi wife wangu si mtu wa...
  14. Tumechoka kumuona Baleke akifunga sana tunamwomba na Musonda nae afunge mara kwa mara

    Haiwezekani Mchezaji wetu Yanga SC Kennedy Musonda tuliyemsajili kwa Mbwembwe zote huku tukiwacheka Simba SC kwa Kumsajili Mchezaji tuliyeona ni Garasa (Kapi) Jean Baleke hafungi na anakimbiakimbia tu Uwanjani kama Mlevi wa Togwa huku yule tuliyemdharau (Baleke) akiwa anafunga tu Magoli na...
  15. Lakini si tulikubaliana kuwa tukiwachokoza kwa mara ya pili ndipo mtutukane?

    Sasa shida ni nini mpaka mnakiuka utaratibu? The storyteller wenu nimefall in love kwa kabinti kadogo dogo ka QT. Kutokana na mitego kaliyokuwa kakinielekezea, ya kufunga khanga vibaya mbele yangu, kujikwaa huku akitoa mgugumio wa maumivu ya ukuni, vibodi vyake vya v pana, bila kusahau mbususu...
  16. Kipi hupelekea kabila la wamasai, mkoa wa mara na baadhi ya wachaga kuwa na ndevu chache

    Licha ya watu hawa wengi kubarikiwa urefu, miili yenye nguvu na ujasiri lakini kwenye suala la kuwa na ndevu kuna kipengere wapo wenye chache, wengine wanazo kwa mbali, wengine hawana kabisa. Hali hii huenda inatokea kwajili gani?
  17. W

    Sitaki kuwa mnafiki, kabla ya kuisikia hii 'Mahaba' ya AliKiba nilijua mziki mzuri umeisha

    Kijana ni fundi, nimeacha ubishi......case closed! Nikisema tofauti nafsi yangu itanisuta. 'Asili ya jambo lile, kama chakula lazima nile'....ujumbe umefikishwa kikubwa kabisa hapa, watoto hata wakiwa macho haina shida kwani hawawezi kuelewa chochote kile. Alichokera ni ufupi wa wimbo tu, kwa...
  18. Jinsi ya kumvutia Mwanamke unapokutana naye mara ya kwanza (First Date)

    Wanawake wanachukua muda kupenda. Hivyo ni muhimu kwa kila muda unaopata pamoja naye uongeze mvuto wake kwako. Aone kwamba we ndo ‘wa kipekee’. Aone kwamba kwenye maisha yake yanahitaji awe na mwanaume kama wewe. Sasa unapokutana naye, mpatie muda mzuri mfanye ajisikie furaha. Mfanye aone...
  19. Songea: Wanafunzi waliopatiwa dawa za meno za msaada watakiwa kurudisha mara moja

    Baada ya wadau wasiofahamika bado kuwa ni kutoka taasisi ipi kugawa dawa za meno na miswaki kwa shule za.msingi Songea. Leo imetoka taarifa kwa walimu wakuu kuwataka kuwaambia wanafunz hao warudishe vitu hivyo mara moja. Bado haijajulikana zaidi kwann hili limekua hivi hadi sasa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…