mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. Haya wale Wazee wa Ramani njia gani ni rahisi ukiwa Kampala Uganda na unataka kwenda Mara Tanzania kati ya kupitia Kenya Migori na Mutukula Kagera?

    Na je, ni ipi ambayo nitatumia muda mfupi na ipi ambayo nitatumia muda mrefu? Na ipi ina Mabasi yaliyo Luxury tu? Sitani Mtani wangu Arovera uchangie huu Uzi wangu kwani kwa Ushamba wako wala hujawahi Kusafiri popote sawa?
  2. I

    Jaji aliyemhukumu IGP Masengeli kifungo jela apokonywa walinzi; Jaji Mkuu Koome ataka warejeshwe mara moja

    Jaji wa Mahakama ya Juu Lawrence Mugambi amepokonywa walinzi wake siku tatu tu baada ya kumhukumu kifungo cha miezi 6 jela Kaimu Inspekta Jenerali Mkuu Gilbert Masengeli, kwa kosa la kudharau mahakama. Kufuatia kitendo hicho Tume ya Huduma za Mahakama(JSC) ikiongozwa na Jaji Mkuu Martha Koome...
  3. Simba ndiyo timu ya Tanzania iliyofanyiwa vurugu na magumashi mara nyingi katika mashindano ya CAF

    Kuna timu inajitapa eti imehusika kuleta uhuru wa Tanzania ila haijawahi kuvuja jasho na kucheza katika mazingira magumu ambayo unaweza hata kuwaza kama baada ya mechi utabaki na uhai wako. Simba ndiyo timu pekee Tanzania ambayo imepitia mazingira hayo mara nyingi kuliko timu yoyote ile...
  4. Je, inawezekana lugha moja kujirudia mara mbili?

    Kila nchi ina lugha ya Taifa, lakini pia ina lugha za Makabila. Mfano kama Tanzania unakuta kunamakabila zaidi ya 100 na China hivyo hivyo. swali linakuja je, kunauwezekeno wa kisukuma ukakuta kinazungunzwa ndani ndani sana huko Japan? Usikute nakosa connections za Wafipa wenzangu waliopo...
  5. Mara nyingi vita huwa ni mbinu ya kumrejesha nyuma adui yako

    Ni vigumu sana binadamu kukwazana mpaka kufikia hatua ya kupigana hasa katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia, sishangai Marekeani na washirika wake wanaweka vizuizi kuzalisha VILIPUZI kwa IRAQ, IRANI na mataifa mengine huku wao wakiendeleza kutengeneza mabomu haya. Kawaida kila taasisi...
  6. K

    Wafanyakazi Mgodi wa CATA Mining Mara waandamana, wakidai Mishahara, NSSF, wamwangukia Rais Samia

    Waliokuwa wafanyakazi wa mgodi wa dhahabu wa CATA MINE uliopo kijiji cha Kyabakari, Wilayani Butiama Mkoani Mara, jana wameandamana kwa mara nyingine kuelekea katika Ofisi za mgodi huo, kushinikiza mwekezaji kuwalipa malimbikizo ya mishahara yao pamoja na NSSF. Wakiwa na mabango yenye jumbe...
  7. Unajisikiaje pindi unapopiga simu ya mpenzi wako na kukuta inatumika zaidi ya mara 5?

    Kwa upande wangu mimi naanzaga kuwaza negative.... sijui kwenu nyie wadau
  8. Putin, ameanza kuona gharama za ya Vita. Mara ya kwanza alikuwa anasoma sana Threads za JF akapotoshwa?

    Akina Ritz Webabu ChoiceVariable FaizaFoxy walikuwa wanampotosha sana Putin. Akajikuta yeye ni Mwaaaaaaamba. Akasema ana operation ya siku chache kumwondoa Rais wa Ukraine. Mwaka wa pili sasa.... Nashindwa kuelewa. Putin ni Jasusi mbobevu alidanganywa vipi? Alichemka wapi? Anyway kuanza upya...
  9. Movie au Series gani unaweza kuiangalia mara nyingi na haikuchoshi?

    Movie au Series gani unaweza kuiangalia mara nyingi na haikuchoshi? Kuna baadhi ya filamu na tamthilia ambazo, hata baada ya kuzitazama mara kadhaa, bado zina nguvu ya kutuvuta tena na tena. Zina uwezo wa kuamsha hisia, kutufurahisha, na kutufanya tuzihusudu kwa kila mara tunapozitazama...
  10. T

    Nilikuwa na mahusiano na mfanyakazi mwenzake, kajua naona kabadilika

    Nilikua Na Mahusiano Na Mfanyakazi Mwenzake, Kajua Naona Kama Kabadilika! Mwezi wa 3 mwaka jana nilianzisha mahusiano ambayo hadi sasa ninajutia kwanini niliyaanzisha. Ni mahusiano ambayo hayakudumu, tuliachana mwezi 8 mwishoni. Mwezi wa tatu mwaka huu nikakutana na mtu mwingine. Mimi ni...
  11. T

    Nimemfumania zaidi ya mara tatu na kusamehe, nimemuambia kumuoa anakataa

    Nimemfumania zaidi ya mara 3 na kumsamehe. Tuna mtoto mmoja, lakini bado hataki nimuoe. Nina miaka 37 na niko kwenye mahusiano na huyu dada kwa miaka 12 sasa. Yeye ana miaka 35, ni mwanamke ambaye nampenda sana, lakini katika kipindi chote cha mahusiano nimepitia mambo mengi sana kiasi kwamba...
  12. Tabia ya kupiga simu zaidi ya mara mbili inakera sana

    Upo kwenye shughuli yeyote inayokunyima uhuru wa kupokea simu Upo kazini busy na kazi kiasi cha kuepuka kupokea simu binafsi kwa sababu ni muda wa kumtumikia mwajiri ukihudumia wateja wake Umeamua kuchukua muda wa kupumzika, umechagua kutokusikiliza yeyote ili uache akili yako ipate utulivu...
  13. U

    Kwa mara nyingine leo ijumaa kiongozi mwingine wa Hezbollah Saeed Mahmoud Diab auawa kwa drone ya IDF, akiendesha gari

    Wadau hamjamboni nyote? IDF wameamua na wamedhamiria kuhakikisha kuwa Viongozi white wa magaidi wanatangulia mbele za haki Nia wanayo, sababu wanayo na uwezo wanao! Leo kwa mara nyingine tena wamefanikiwa kuliua kubwa lingine la magaidi likiwa ndani ya gari lake huko Lebanon ya Kusini IDF...
  14. S

    Kila nikienda hospitali naambiwa nina Infection, Infection ni nini? na kwanini kila mara naambiwa nina infection?

    Kila nikienda hospitali naambiwa nina Infection, Infection ni nini? na kwanini kila mara naambiwa nina infection? Ili kuelewa maana ya Infection na kwanini mara kwa mara unaambiwa una Infection ukienda hospitali, ni muhimu kwanza kufahamu japo kidogo jinsi mwili wa mwanadamu unavyofanya kazi...
  15. M

    Nataka kusafiri na ndege kwa mara yakwanza dar-bukoba

    Habar wakuu nataka kusafiri na ndege kwa mara ya kwanza ktk maisha yangu ..safar yangu nikutoka dar-bukoba..nin kinatakiwa kuwa nacho na kipi hakitakiwi na pia nin chakuzingatia ili kufanikisha safar niweze safiri...Sina uelewa wowote na nauli nishingap one way
  16. 2025 atatoboa kweli!?

    Chawa na walamba asali kwa kupitia yeye wanampa moyo eti atatoboa 2025 ki ulaini kuliko wote walio mtangulia. Wapo walio anza kuwa na mashaka ya jinsia yake ki uongozi na huku wakienda mbali zaidi kwa wao kuonyesha kujutia kuongozwa naye. Atatoboa kweli ki siasa 2025? Binafsi naliona giza ki...
  17. Mgodi wa North Mara wasema umetoa Vijiji vitano vimepewa Tsh. Bilioni 2 za mrabaha Nyamongo-Tarime

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ataka fedha zinazotolewa kama sehemu ya gawio la mrabaha kutoka katika mgodi zitumike katika miradi iliyoibuliwa na Wananchi katika sehemu husika kwa ajili ya kuendeleza mipango ya maendeleo kwa wananchi . Hayo yamebainishwa leo Agosti 20, 2024 na Waziri wa...
  18. M

    Utakuwa unakatiwa simu mara nyingi, usipozingatia haya unapopiga simu kwa wateja (kwenye sales)

    Imekuwa kawaida kwa watu wa call center Kutoka taasisi mbali mbali kupiga simu kwa wateja Hasa pale taasisi inapoamua kufanya sales kupitia kupiga simu. Tunajua sales is a game of number sio? How many calls you make per day, give you reflections to your sales volume. Kama hujui haya mambo...
  19. E

    Nimetumia dawa za PEP mara nne kwa vipindi tofauti tofauti, nina wasiwasi nimetumia mara nyingi sana

    Kutokana na mtindo wa maisha niliokua nao (ulevi) nilijikuta kwenye hatari ya kupata maambukizi ya VVU mara nne baada ya kufanya ngono zembe au kupata ajali ya kinga kupasuka etc. Kila baada ya kupata ajali nilikua nakimbilia dawa za PEP, sasa mara ya mwisho kuna mhudumu aliniambia dawa za PEP...
  20. Wanaume kama unajua akikupa huwezi kuichapa ni mara mia uache kuwasumbua wanawake

    Ndugu zangu Wanaume ni kweli tunapitia magumu ila kamwe tusikubali hizi dharau kutoka kwa hawa wanawake. Ni mara mia kama unajua huwezi kuichapa uache kusumbua wanawake .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…