mapinduzi

  1. Kaka yake shetani

    Kuna mambo mengine mnaweza kusema iran anavyo jitamba kumbe teknolojia ya nyuklia alipewa zamani na marekani kabla ya mapinduzi.

    Nimeshindwa kuweka hapa makala video fupi. Ila wachumbuzi wale wakina zungu hata hii teknolojia ukiuliza ilifikaje iran watabaki na kusema maandiko ya dini. Marekani alikuwa rafiki mkubwa iran mpaka kumpa teknolojia kubwa na kuna mataifa walipewa hii teknolojia kwa lengo la kufua umeme. baada...
  2. kavulata

    Tanzania kuwa na Rais mwanamke ni mapinduzi kwa haki na usawa wa wanawake sio tu nchini bali kwa Afrika na dunia

    Nilikuwa na rafiki yangu wa karibu sana, siku mkewe alipojifungua alikosa furaha sana baada ya kujifungua mtoto wa kike. Eti alikuwa akitaka mtoto wa kiume wa kwenda nae salon kunyoa pamoja kama nilivyokuwa nafanya mimi tukikutana salon. Sababu ya kutaka mtoto wa kiume ilikuwa ya kipumbavu sana...
  3. Yoda

    Hakuna siku kutatokea mapinduzi ya kidaraja duniani?

    Kadri ambavyo watu wachache duniani wanazidi kuwa matajiri wakineemeka na kuishi maisha ya kifahari huku watu wengi zaidi wakiishi maisha ya ufukara na kwa kipato duni cha siku tu je hakuna siku yatatokea yale mapinduzi aliyosema Karl Marx ya darala la watu masikini wavuja jasho kuvamia daraja...
  4. Sifi Leo

    Kwa hiyo Waitara, uko seriously bungeni kuna wabunge *******, wanaotokana na chama cha mapinduzi? Hahahaha wabunge wanapakuliwaaaaa!

    Lingekuwa bunge la vyama vingi ningeumia ila mpo pekee yenu sasa jamani ccm kuna michokoooo?imeingia mpaka bungeni?
  5. kavulata

    Kumpunguzia madaraka Rais ni kumuandalia kifo Rais na mapinduzi ya kila mara

    Katiba inayompunguzia Rais madaraka yake inalenga mambo mabaya sana yamtokee Rais kirahisi kabisa. Kupunguza madaraka ya Rais maana yake Rais atazunguukwa na watu asiowajua na kuwaamini wengi. Kama Mwl. Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wangekuwa na Katiba ambayo hawajui namna...
  6. figganigga

    REF: 29.10.2025, Tanzania bado inahitaji Uchaguzi?

    Salaam, Watawala wana yao moyoni.. Hawatosheki na wanachopata. Wizi wa kura, kuenguliwa wagombea, Waggombea kunyimwa fomu za kuomba kuchaguliwa, wagombea kunyanyaswa na Polisi, Mauaji na Utekaji kwa Wagombea wenza wa vyama mbadala mfano CHADEMA Matumizi ya Bunduki dhidi ya wagombea...
  7. U

    Chama cha Mapinduzi CCM Kahama huyu mwnachama wenu anayejiita Manala Mbumba anayefanya utapeli ilikuaje mkamruhusu agombee ubunge kura za maoni?

    Huyu jamaa alikuwa anafanya real estate, kuuza viwanja ametapeli watu wengi sana hapa Daressalaam. Na pia ana chuo cha udereva kinaitwa Essence Driving School amekuwa akikitumia kutapeli watu kuanzia wafanyakazi wake , Wanafunzi n.k Mpaka Sasa hapa NIT sisi Wanafunzi ametutapeli pesa za...
  8. Slim

    Pongezi nyingi kwa Prof. Eliamani Sedoyeka kwa Mapinduzi ya Maendeleo (IAA Mkuu WA Chuo)

    Leo natamani kutoa pongezi zangu za dhati kwa kaka yangu, Prof. Eliamani Sedoyeka, kwa kazi kubwa na ya mfano anayoifanya kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu. Kumbukumbu zangu zinarudi nyuma mbali sana, wakati ninaingia Kidato cha Kwanza katika shule ya ufundi ya Moshi Technical School (Moshi...
  9. Alexido jz instagram

    CHAMA CHA MAPINDUZI, CCM CHAMPONGEZA JIHAN DIMACK, MISS GRAND KWA USHINDI

    CHAMA CHA MAPINDUZI CCM, kupitia acc yake ya insta wametoa pongezi kwa jihan kwa kuliwakilisha vyema taifa, mbele ya mataifa 79, si mchezo. Mambo Madogo kama haya upinzani wanayadharau lakini yana mana kubwa go tanzania go my country tumejitolea kupambania till last breath. Go forward our...
  10. Alexido jz instagram

    CHAMA CHA MAPINDUZI, CCM CHAMPONGEZA JIHAN DIMACK, MISS GRAND KWA USHINDI

    CHAMA CHA MAPINDUZI CCM, kupitia acc yake ya insta wametoa pongezi kwa jihan kwa kuliwakilisha vyema taifa, mbele ya mataifa 79, si mchezo. Mambo Madogo kama haya upinzani wanayadharau lakini yana mana kubwa go tanzania go my country tumejitolea kupambania till last breath. Go forward our...
  11. Dr Adam Francis

    Rais wa JMT, waziri kiongozi wa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar na waziri mkuu wa Tanganyika, ndio muundo sahihi kwa changamoto za Muungano.

    Swala la Katiba mpya limeendelea kuwa hoja inayojadiliwa zaidi miongoni mwa watanzania. Pamoja na mambo Mengi yanayojadiliwa, swala la muundo wa muungano limeendelea kuwa na umuhimu wa kipekee sana. Nakili kwa uwazi sijafanya utafiti rasmi unaowezesha kuwa na takwimu za kitaifa. Kwahiyo maoni...
  12. K

    NDOTO ILIYOYEYUKA: Shuhuda wa Mapinduzi ya Fikra, Usaliti na Hatari ya Vyama Utitiri Tanzania

    Mwishoni mwa miaka ya 1980 na mapema miaka ya 1990, nikiwa bado kijana mdogo na mwanafunzi, nilitawaliwa na shauku kubwa ya mabadiliko. Tulikuwa kizazi kilichochoshwa na ukiritimba wa mawazo ya chama kimoja. Hewa ya Dar es Salaam nyakati zile ilikuwa imejaa harufu ya mapinduzi ya fikra—mageuzi...
  13. Etwege

    Hayati Mkapa: Makosa yangu yalisababisha mafisadi kujenga ngome ndani ya Chama cha Mapinduzi

    Hayati Benjamin Mkapa Katika kitabu chake "My Life, My Purpose" (2019) Ameeleza maeneo aliyofeli kama kiongozi 1. Kufeli Kukubwa Kuliko kote: Ubinafsishaji (Privatization) Anasema "Nilifanya Haraka Sana" "Tuliamini soko huria litatatua kila kitu. Tuliuza viwanda 400 kwa bei ya hasara...
  14. Dalton Elijah

    SI KWELI Rasmi Freeman Mbowe ametimkia zake Chama cha mapinduzi (CCM)

    Kupitia mitandao ya kijamii, kumekuwepo taarifa inayodai kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, amejiunga rasmi Chama Cha Mapinduzi (CCM). Chapisho hilo linadai: “Rasmi Freeman Mbowe ametimkia Chama Cha Mapinduzi (CCM).” Chapisho lina ujumbe ufuatao:Kwa muda mrefu...
  15. K

    Mtego wa Misaada ya Afya na Mapinduzi ya Kulinda Data: Ndani ya Uamuzi wa Ghana Kuisikitisha Marekani na Mtihani wa Kiutawala wa Tanzania

    Habari Kuu: Ghana Yaupiga Chini Mkataba wa Dola Milioni 109 Serikali ya Ghana, chini ya Rais John Dramani Mahama, ilikataa rasmi mkataba wa afya wa miaka mitano wenye thamani ya dola milioni 109 (zaidi ya bilioni 300 za Kitanzania) uliopendekezwa na serikali ya Marekani. Uamuzi huo...
  16. Yoda

    Kwa nini nchi kupata maendeleo makubwa bila mapinduzi ni vigumu sana ?

    Duniani nchi zilizopata maendeleo makubwa bila mapinduzi ni chache sana, hazizidi tano ambazo ni Canada, Australia, New Zealand na Singapore. Nchi karibia zote zenye maendeleo makubwa ya kutamanisha zilizipitia aina fulani ya mapinduzi. Hata Zanzibar kwa sasa inapiga hatua kubwa sana za maendeleo.
  17. Zack Abdul

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya mabadiliko ya kiutendaji katika ngazi ya Makatibu wa CCM wa mikoa.

  18. Waterloo

    Chacha, ni kweli tunajua Serikali na Vyombo vyake ni Mali ya chama Cha mapinduzi lakini kututamkia hadharani ni dharau kubwa kwa watanzania

    Hivi kwa matamshi haya tutegemee Kuna siku CCM itatoka madarakani? Je tutegemee Tundu Lissu atatendewa Haki? Je tutegemee watanzania kupata mabadiliko ya katiba? Huko CCM mkiwa mnachagua viongozi muangalie na watu wa kuwateua sasa imagine Huyu hajui hata mipaka ya Serikali na Vyombo vyake...
  19. Roving Journalist

    Serikali yaitaka Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi (NBAA) kubuni Mitaala kuendana na AI

    Serikali imeitaka Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) kuharakisha maboresho ya mitaala na mafunzo ya uhasibu ili kuendana na kasi ya maendeleo ya teknolojia, hususan matumizi ya akili unde (AI), kwa kuwa baadhi ya kazi zinazofanywa na wahasibu hivi sasa zinaweza kubadilika au...
  20. Wizara ya Ardhi

    Mfumo wa e-Ardhi Mtwara wafanya mapinduzi makubwa: Masijala za ardhi zenye majarida sasa zahamia kidijiti

    MTWARA Mkoa wa Mtwara umeanza kushuhudia mabadiliko makubwa katika usimamizi na uhifadhi wa taarifa za ardhi kupitia Mfumo wa e-Ardhi, ambapo masijala za ardhi zilizokuwa zikihifadhiwa kwa kutumia majarida sasa taarifa hizo zinaendelea kuhamishiwa katika mfumo wa kidijiti. Hatua hiyo ni sehemu...
Back
Top Bottom