mangungu

Māngungu Mission was the second mission station established in New Zealand by the Wesleyan Missionary Society. Located near Horeke, in the Hokianga Harbour, it was founded in 1828 by the missionaries John Hobbs and James Stack after the first WMS mission station in the country had been sacked the previous year. Māngungu Mission was abandoned in 1855 when Hobbs, the sole missionary at the site, relocated to Auckland. The residence that Hobbs built and lived in at the mission has been preserved by Heritage New Zealand and is now a museum.

View More On Wikipedia.org
  1. Z

    Kati ya viongozi wa hovyo kuwahi kutokea simba mangungu anaongoza.

    Wadau wa sports,kiukweli kinachoendelea kwenye timu ya simba kinasikitisha,kwa maoni tatizo lipo kwa mwenyekiti wa simba bwana murtaza mangungu. Kama alikuwa naona kuna mambo hayapo sawa, Kwanini hakuwaambia wanachama,sasa hivi mda wake umeisha anakuja na ngojera kibao,binafsi namuona kama mtu...
  2. Ponjoro wa Kinondoni

    Hii nchi inahitaji Rais hodari kama Murtaza Mangungu Kiboko ya Mafisadi

    Huyu mwamba anajua sana, anafaa kuongoza hii nchi ili apambane na mafisadi. Mheshimiwa Professor Dr. Jenerali Murtaza Mangungu shikilia hapohapo. Simba nguvu moja.
  3. kavulata

    Simba kuifunga Yanga mara moja tu kusitumike kumfukuza Mangungu. Serikali inusurini Simba.

    Eti baada ya Simba kuifunga Yanga ndio mumfunge mikono, miguu na mdomo mangungu asiseme wala kuiongoza Simba kama mwenyekiti kwa mujibu wa Katiba ya Simba sports club. Kuna haja ya kuchunguza na kumulika kwanini familia ya Dewji inaitaka Simba kwa hali na mali (do or die) hata ikibidi kumuua...
  4. R

    Nukuu za mkutano wa Mangungu

    Hizi ni baadhi ya nukuu za mwenyekiti wa Simba Simba day imegeuka kampuni day. Mlishawahi kumwuliza mo aliposema ameinunua Simba pesa kampa nani? Hata ibaki dakika moja mimi bado mwenyekiti Mtu anatafsiri katiba kama kitabu cha paukwa pakawa Bodi haina kigezo cha kuendelea kuwepo baada ya...
  5. Frank Wanjiru

    Mangungu: Utavimba,utapasuka,Mimi ndio Mwenyekiti wa Simba SC

    Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu akizungumza na waandishi wa habari ameeleza kuwa lazima utaratibu wa uchaguzi ndani ya Simba lazima ufatwe Aidha Mangungu ameeleza kuwa hata kama haunipendi utavimba, utapasuka utachanika lakini yeye ndio Mwenyekiti.
  6. papag

    Mangungu anaunguruma

    Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Mangnungu akiongea na waandishi wa habari Oktoba 29, 2026 na kugusia masuala mbalimbali yanayoendelea ndani ya timu hiyo.
  7. Frank Wanjiru

    Mangungu: Uchaguzi uliotangazwa Simba ni batili

    Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC, Murtaza Mangungu amesema mchakato wa uchaguzi, Tume ya Uchaguzi pamoja na Mkutano Mkuu wa klabu hiyo uliotangazwa kufanyika Januari 3, 2027, ni batili na haramu. Mangungu ametoa kauli hiyo leo, Oktoba 29, 2026, wakati akizungumza na Waandishi wa habari Jijini...
  8. Frank Wanjiru

    Mangungu: Simba SC haina Mtendaji Mkuu

    Mwenyekiti wa Klabu ya Simba Murtaza Mangungu, amesema klabu hiyo haina Mtendaji Mkuu, akieleza kuwa nafasi hiyo ipo katika kampuni ya Simba Sports Club Company, ambayo ina Mtendaji Mkuu wake. Akizungumza leo na Waandishi wa Habari Jijini Dar es salaam, Mangungu amesema kuna Mtu mmoja...
  9. Kipenzi Changu

    Nafikiri Mangungu yupo kwenye payroll ya Yanga kutuvuruga Simba Sc

    Kila wakati Simba inapoaanza safari ya mafanikio anaanza chokochoko. Kwani hana kazi zingine za kufanya za kumuingizia kipato zaidi ya kuwa Simba SC? Hizi ndio changamoto za kuwapa nafasi kubwa waswahili wasio na vision yeyote kwenye maisha. Ifike wakati mashabiki tupige mstari huyu mzee...
  10. Minjingu Jingu

    Chief Mangungu wa Simba ndo muda wake huu sasa

    Sasa hivi mmesahau. Match ya pili tukija wachapa mtaanza kutoa milio chief Mangungu andoke. Je kwa sasa aendelee au bado yupo yupo kwanza? Tuambiane mapema nyie mikia. Maana yeye ndo huwa mnamwangushia Jumba bovu. Maana kwa sasa tumewapumzisha naye baada ya kuwaachia mpate ushindi hii match moja.
  11. Gobole Lenye Risasi

    Kesho Msimbazi kilio. Watamtimua Mangungu na Mo Dewji. Simba hachomoki kipigo

    Nipo hapa mipango yao yote tumeikamata na wazee wamefanyia kazi. Maji yaliyotumika kumwoshea mzee wetu inna illah laana irajuuni yameenda kusafisha uwanja. Simba akishinda nipigwe ban ya mwezi mzima. NINA UHAKIKA WA KUJIPIGIA SIMBA KAMA KAWAIDA YETU MIAKA YOTE HII. TUTAKAVYO SISI. NDO MAANA...
  12. kavulata

    Shida ya Simba ni Mangungu kutumia busara zake badala ya Katiba ya Simba kuongoza timu.

    Mangungu inaivuruga Simba, anatumia busara kuongoza badala ya kuongoza kwa mujibu wa Katiba iliyopo. Tabia hii inampatia shida na lawama dhidi ya upande wa mwekezaji na chawa wake. Mangungu anachelewesha ukamilishaji wa mchakato wa mabadiliko Simba, hafai.
  13. COARTEM

    Mangungu ni pandikizi la Yanga ndani ya Simba, shtukeni

    Wanachama na Wapenzi wa Simba huyo MANGUNGU ni pandikizi la Yanga msipomtoa mtaendelea kufungwa mpaka mkimbie nchi. Mzee matendo yake yanajieleza wazi kabisa kuwa siyo simba damu. Mangungu kachomekwa awe mwwnyekiti wa Simba ili alinde maslahi ya Yanga. Kuna mchezo mchsfu ulipangwa hadi na...
  14. M

    Dharau kubwa: Mangungu apaita Kaliua kijiji cha porini

    Kaliaua ni mji wa zamani sana. Huyu mzee anajifanya hapajui?
  15. Ponjoro wa Kinondoni

    Mheshimiwa Murtaza Mangungu ni Kiongozi bora kuzidi Engineer Hersi Said

    Mara baada ya kupata wasaha wakumsikiliza mara kadhaa, nimejiridhisha kuwa ndugu zetu wa Simba wana kila sababu ya kuhakikisha anabaki madarakani ili kuimarisha timu yao. Sioni kiongozi wakumzidi pale Simba, huyu anaweza kuongoza hata taasisi kubwa na ya heshima kama Yanga au Ikulu. Hongereni...
  16. bullbar

    Mangungu lazima abaki Simba sports Club

    Sisi kama wana Dar es Salaam Young Africans, tuna unga hoja za Mangungu akiwa kama kiongozi halali wa Simba na tena maamuzi yake yaheshimiwe na wanachama pamoja na viongozi wote wa Simba..
  17. Waufukweni

    Mangungu na Magori waweka mambo sawa Simba, wasitisha Mvutano wa Baraza la Wadhamini

    Bodi ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba imefikia uamuzi wa kusimamisha kwa muda masuala na matukio yote yaliyokuwa yakiendelea kuhusiana na Baraza la Wadhamini la klabu hiyo, ili kutoa fursa kwa uongozi kuangazia maandalizi ya msimu mpya wa mashindano. Uamuzi huo umefikiwa katika kikao cha Bodi...
  18. Ponjoro wa Kinondoni

    Wazo: Murtaza Mangungu apewe Urais wa Tanzania ili atuvushe

    Nashauri haraka iwezekanavyo ndugu Murtaza Mangungu apewejahazi hili ambalo limekwama ili aweze kulivusha salama salmini.
  19. kavulata

    Shida ya Simba ni wanachama sio MO wala Mangungu, waliponzwa na Manji. Katiba ya Simba ni vuluvulu

    Wanachama wa Simba baada ya kubamizwa kwa miaka 3 mfululizo na Yanga ya Yusuph Manji walimkubali Mo Dewji kama mdhamini wa Simba kwa mihemko bila kujiuliza sana. Baada ya Simba ya Mo kuibamiza Yanga kwa miaka 4 mfululizo walitengeneza Katiba ya Simba inayomzunguuka mo zaidi kuliko timu ya Simba...
  20. Expensive life

    Mangungu na Tray Again ni dhaifu ndio maana wapinzani wetu wanawapenda

    Kwa sisi wazoefu wa football ya nchi hii tunajua kuwa, hizi timu mahasimu wawili simba na yanga zinahitaji kuwa na viongozi katili kweli kweli. Jiulize kwanini mahasimu wetu yanga linapokuja suala la mangungu wanamtetea kweli kweli? Jibu ni hili, dhaifu rahisi kuingilika. Jamaa ni mbobevu...
Back
Top Bottom