manchester city

  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Premier League Yathibitisha Manchester City Yapatikana na Hatia ya Makosa Yote ya Kifedha kwa kipindi cha misimu tisa

    Ligi Kuu ya England imethibitisha kuwa Tume Huru imeikuta Manchester City na hatia ya makosa yote yanayohusiana na ukiukaji mkubwa wa kanuni za kifedha za Premier League kwa kipindi cha misimu tisa, pamoja na makosa mengi yanayohusu kushindwa kushirikiana ipasavyo na uchunguzi wa Premier League...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rui Pinto: Mdukuzi aliyefichua siri zilizoingiza Man City matatizoni

    Rui Pinto ni jina ambalo huenda mashabiki wengi wa Manchester City hawalijui na wasilipende kuliskia, lakini nyaraka za siri alizovujisha zilisaidia kufichua mambo ya ndani ya klabu hiyo na zikahusishwa na uchunguzi mkubwa wa masuala ya fedha katika soka la England. Pinto, raia wa Ureno mwenye...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Manchester City yakutwa na hatia ya mashtaka 114 ya kifedha ya Ligi Kuu ya Uingereza

    Manchester City imeripotiwa kupatikana na hatia katika mashtaka 114 kati ya 115 ya ukiukaji wa kanuni za kifedha za Premier League, kufuatia uchunguzi wa ligi hiyo. City ilishtakiwa kwa mara ya kwanza na Premier League mwezi Februari 2023 kwa ukiukaji mkubwa wa kanuni za kifedha, unaodaiwa...
  4. PAYE

    JamiiForums Tanzania FT: Manchester Utd 0-1Manchester City | EPL | 13.9.2026 | Old Trafford

    MANCHESTER DERBY KUWAKA OLD TRAFFORD! Manchester United na Manchester City leo, Septemba 13, 2026, wanakutana katika pambano kali la Ligi Kuu England (EPL), huku macho ya mashabiki wa soka yakielekezwa Old Trafford. Mechi hiyo inapigwa kuanzia saa 12:30 jioni kwa saa za Kiswahili, sawa na saa...
  5. C

    JamiiForums Tanzania MANCHESTER CITY: Lengo ni moja kutwaa tena UEFA CHAMPIONS LEAGUE

    Je, Haaland anaweza kumaliza msimu akiwa mfungaji bora wa Champions League?
  6. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ndoto za Manchester City kuchukua EPL zinayeyuka rasmi leo!

    Leo mapigo makuu mawili, moja Pep hampo nae tena season ijayo na pili, Bournemouth hawafungiki kwao. Ni hayo tu.
  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania FULL TIME: Chelsea 0-1 Manchester City | FA Cup Final | Wembley Stadium | 16 May 2026!

    Leo mida ya saa 11 jioni, viwanja vya Wembley London, manguli wawili Chelsea na Manchester City wanakutana katika fainali za FA cup. Tukutane hapa kwa live updates! Kocha Pep Guardiola anaelekea kuukamilisha msimu wa 2025/26 vizuri licha ya kuwa alianza kwa kusuasua awali, hiyo ni baada ya...
  8. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Chelsea vs Manchester City | FA Cup Final | Wembley Stadium | 16 May 2026!

    Leo mida ya saa 11 jioni, viwanja vya Wembley London, manguli wawili Chelsea na Manchester City wanakutana katika fainali za FA cup. Tukutane hapa kwa live updates!
  9. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania FT: Chelsea 0 Vs 3 Manchester City | EPL | 12.04.2026 - Stamford Bridge

    Patashika nguo kuchanika inatarajiwa leo wakati Chelsea FC watakapowakaribisha Manchester City katika dimba la Stamford Bridge, kwenye mchezo wa kusisimua wa English Premier League Chelsea wataingia uwanjani wakisaka ushindi muhimu ili kujiimarisha kwenye msimamo wa ligi, huku Manchester City...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Real Madrid kukutana na Manchester City, huku PSG wapangwa na Chelsea FC hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya

    Timu vigogo barani Ulaya Arsenal, Real Madrid na Liverpool ni miongoni mwa klabu zilizojua hatima yao baada ya droo ya hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kupangwa Ijumaa. Real Madrid watakutana tena na Manchester City katika hatua ya mtoano kwa msimu wa tano mfululizo, baada ya kupangwa...
  11. Khanji kapoor

    JamiiForums Tanzania Arsenal atachukua EPL kwa tofauti ya Point moja tu Manchester City

    Wakuu Mimi ni mkali wa correct scores kwenye mikeka hata ofsini kwangu wananiita Messi wa mikeka Toka huu mwezi uanze Kuna intuition imekaa ndani yangu ikiniambia kuwa Arsenal atabeba ubingwa wa EPL 2025/2026 kwa tofauti ya Point moja tu niliwahi kumtabiria Leicester city January na...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Manchester City yachezea kichapo cha magoli 2 kwa 1 mbele ya Brighton

    Timu ya ManchesterCity imepoteza mechi ya pili mfululizo katika PremierLeague baada ya kukubali kichapo cha Magoli 2-1 kutoka kwa Brighton, leo Agosti 31, 2025. Mchezo uliopita City ilipoteza kwa 2-0 dhidi ya TottenhamHotspur, hivyo iimesaliwa na pointi 3 katika michezo mitatu ya EPL msimu huu...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Kelvin De Bruyne kujiunga na Napoli kwa mkataba wa miaka 2

    KIUNGO Kevin De Bruyne anajiandaa kujiunga na Napoli kwa dili la mkataba wa miaka miwili baada ya kufikia makubaliano na mabingwa hao wa Italia. De Bruyne anaachana na Manchester City akiwa mchezaji huru baada ya miamba hiyo ya Ligi Kuu England kuamua kutomuongezea mkataba staa huyo wa...
  14. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Je wajua timu yako ya Manchester City FC haina uwanja?ule Etihad wameukodi kwa manispaa ya jiji la Manchester

    Shabiki wa Man City unayedhani Simba na Yanga kukosa viwanja ni dhambi jitafakari. Chama lenu halina uwanja Etihad unamilikiwa na nanispaa ya jiji la Manchester
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Manchester City 0-2 Liverpool

    Ushindi wa Magoli 2-0 dhidi ya Manchester City umeifanya Liverpool kuongoza Ligi Kuu ya England "Premier League" kwa tofauti ya pointi 11 dhidi ya timu inayoshika nafasi ya pili (Arsenal) Matokeo hayo pia yanaifanya City chini ya Guardiola kuendelea kubaki nafasi ya Nne ikizidiwa pointi 20 na...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Arsenal 5-1 Manchester City

    Goli lililofungwa na Martin Ødegaard dakika ya 2 lilikuwa na baraka ya kuifanya Arsenal kushusha mvua ya Magoli 5-1 dhidi ya Manchester City katika Ligi Kuu ya England "Premier League" kwenye Uwanja wa Emirates Magoli mengine yamewekwa wavuni na Thomas Partey, Lewis Skelly, Kai Havertz na Ethan...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Beki wa Salford city Mtanzania HAJI MNOGA kuanza leo kwenye mechi dhidi ya Manchester city

    Yule full beki wetu wa kulia, HAJI MNOGA anayechezea Taifa stars na Salford city ya nchini Uingereza, anatarajia kuwa sehemu ya wachezaji watakaowakabili Manchester City leo kwenye michuano ya FA. Mchezo utachezwa leo saa 2::45 usiku. Haji mnoga atakuwa mchezaji wa pili wa Kitanzania kucheza...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania King Mseke, mtoto wa Joh Makini aanza mafunzo ya Soka kwenye Academy ya Manchester City, Uingereza

    King Mseke (9), mtoto wa msanii wa hip-hop Tanzania Joh Makini, amewasili katika Academy ya Klabu ya Manchester City nchini Uingereza kwa ajili ya mafunzo ya soka ya wiki mbili. Joh Makini amesema mwaliko huo umetokana na juhudi za muda mrefu za kukuza kipaji cha King, kilichoonekana akiwa na...
  19. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Full Time: Manchester City 1 - 2 Manchester United | Ligi kuu uingereza Etihad stadium

    Manchester Derby live msimu 2024/25 , Mpira ushaanza 6' 0-0 14' mount anaumia atolewa nje nafasi yake inachukuliwa na Mainoo 18' 0-0 22' bado 0-0 mpira umebalance 30' 0-0 35' 0-0 man city anapata kona 36' GOOOAL MAN CITY 1-0 MAN UNITED Garvadiol 41' 1-0 HT Manchester City 1-0...
  20. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Manchester City hatofungwa leo, msije mkasema sijawapa tahadhari

    Baada ya kuchezea vipigo mfululu, Man City leo yupo ugenini Anfield kucheza na vinara wa ligi Liverpool Mechi ya leo, Man City hatofungwa. Hesabu za kinyota zinaonyesha kabisa leo Liverpool sio siku yao pendwa. Tukutane baada ya dakika 90
Back
Top Bottom