man city

  1. Kama Rais wa ligi ya Uingereza hadi anaomba klabu zimsaidie pale Sponsors wa Man City wakifungua mashitaka ujue Soka lishatekwa na ufisadi

    Sponsors wa man city ni kutoka dubai, pesa za mafuta, kwa muda mrefu pesa hizo za mafuta zimetumika kudanganya ili man city apate mataji na kusajili wachezaji bila utaratibu. Ilifika wakati hadi serikali ya UAE ili tishia kustopisha uwekezaji wake uingereza kama Man City ataletewa noma na hii...
  2. Wapi Mashabiki wa Man City?

    Na nyie fanyeni comeback kama Manyumbu
  3. Kombe la Carabao Leo ni vurugu tupu. Man City, Liverpool, Chelsea, A. Villa...

    Leo hali mbaya kwa Man City. Hadi sasa City 1 - 2 Brighton. Liverpool na Chelsea wanajuana Hawa. 1 - 1. A Villa kala mbili bila kwa Bournemouth. Bado Kuna Sunderland na Brentford, na Bado Palace na Fulham. Mechi zote hazijaisha, ila wakifungwa Man City kwangu amaniiiiii.
  4. Watu walidiriki kusema pep ni bora kuliko Ferguson. Kumbe alikuwa anashinda kitapeli kutokea Barcelona hadi Man City

    Scars hawa watu ni matapeli mnooo
  5. Sakata la kesi ya Negreira lafika pabaya, UEFA waanza uchunguzi. Barcelona kukutana na yaliyoikuta Man City?

    UEFA imethibitisha kupokea risiti zaidi ya 50,000 zilizowasilishwa na kwa Club ya Real Madrid dhidi ya uchunguzi wa Club ya Barcelona. Kwa wasiojua Negreira case ni nini, Negreira alikuwa ni mwenyekiti wa kamati ya waamuzi ya Laliga. Ambapo mwaka 2023 mamlaka za kiserikali zilikuwa zikifanya...
  6. Isingekuwa huyu dogo mdukuaji (hacker) tusingejua madhambi ya Man City maana naamini FA walijua ila walikaa kimya

    Na ustashangaa adhabu ndogo watapewa man city isio endana na mkasa wao
  7. Kumbe hii miaka yote Man City anatudunda alikuwa anatumia njia za wizi wizi

  8. Mashabiki wa Man City mtarudi kwenye Klabu zenu za zamani?

  9. Man U chukueni somo hapa kwa Man city

    Mchezo wa jana wa ufunguzi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League), Manchester City walishinda mabao 2–0 dhidi ya FC Porto kwenye Uwanja wa Estádio do Dragão. Mabao yote mawili ya Man City yalifungwa na mshambuliaji wao hatari Erling Haaland. Haaland alifunga bao la kwanza kwa kichwa...
  10. Tetesi za soka Ulaya: Arsenal, Man City zinamgombea Neto wa Chelsea

    Arsenal, Manchester City na Al-Hilal zinamvizia winga wa Chelsea, Pedro Neto, na zinaweza kuwasilisha ofa kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa Ureno mwenye umri wa miaka 26 katika dirisha la usajili la Januari. Chelsea inataka kukamilisha usajili wa kiungo wa Bournemouth, Alex Scott, mapema, huku...
  11. Man City yamalizana na Ayyoub Bouaddi, imebaki utambulisho tu

    Mazungumzo ya kibiashara kati ya Manchester City na Lille kuhusu dili la kiungo fundi Ayyoub Bouaddi yamekamilika ili kiungo huyo ahamie katika klabu ya Manchester City. Bouaddi raia wa Morocco mwenye umri wa miaka 18 amekuwa shabaha kamili ya Manchester City baada ya uhamisho wa Rodri...
  12. Man City anapigwa leo na Everton! Arsenal tunatangaza ubingwa mapema!

    Pickford golini leo hatoruhusu chuma iingie. Beto ataweka chuma tunamaliza mchezo.
  13. FT: Manchester City 2-1 Arsenal | EPL | 19.04.2026 | Etihad

    MANCHESTER CITY DHIDI YA ARSENAL: PAMBANO LINALOAMUA MSIMU ⚔️ Uchambuzi wa Mdau: Manchester City Rayan Cherki: Ndiye mchezaji wa kwanza kufikisha pasi 10 za mabao (assists) katika msimu wake wa kwanza wa Ligi Kuu tangu Dimitri Payet afanye hivyo msimu wa 2015-16. Rekodi ya Nyumbani...
  14. FT | Arsenal 0-2 Man City | Fainali Kombe la Carabao | Wembley | Man City Bingwa!

    Leo katika dimba la Wembley inapigwa fainali ya Kombe la Carabao. Arsenal (The Gunners) dhidi ya Manchester City (The Citizens). Arsenal mara ya mwisho kubeba Kombe ilikuwa msimu wa 2019/2020 hivyo wana miaka sita bila Kombe. Je, leo watatwaa Kombe hili ama tabu kuendelea? Mchezo huu...
  15. Leo Chelsea, Man City na Man U wapo vikaangoni - EPL!

    Ngoja tusubirie Matokeo.
  16. Leo kati ya Liverpool, Man City au Chelsea chochote tu kitokee!

    EPL inazidi kunoga. Watetezi wa kombe wanapelekewa moto huko. Wakati City tunategemea leo kusumbuliwa na Chelsea.
  17. Liverpool na Manchester City Mtauanza Mwaka Mpya kwa Maumivu Makali

    Man City leo hamtoki kwa Sunderland na Liverpool mtashangazwa na Leeds United hapo Anfield. Mtamjua Calvert Lewin ni nani leo?
  18. Weekend nyingine mbaya kwa Man City na Liverpool. Huu mwaka wa Arsenal. Period!

    “Hali inazidi kua mbaya. Ata baada ya mapunziko marefu ya EPL bado kuna team zinapwetapweta. Walibebwa sana misimu iliopita na system ila sasa ukweli unajiweka wazi. “ -Kuna mlevi anaongea hapa. Nimemnukuu.
  19. Msaada wa link ya Patch 2025/26 ya Pes 2017 yenyewe ipo updated. (Isak-liverpool, Donarruma - man city)

    Naomba msaada wa website gani naweza kupata hii patch. Nimeitafuta sana lakini napata ambazo haziko updated.
  20. Kipa wa Man City, Ederson ahamia Fenerbahce ya Uturuki

    Kipa wa Brazil, Ederson, amekamilisha uhamisho wa kudumu kutoka Manchester City kwenda klabu ya Fenerbahce ya Uturuki. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 ameondoka City baada ya miaka minane, kipindi ambacho aliisaidia timu hiyo kutwaa mataji sita ya Ligi Kuu ya England na ubingwa wa Ligi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…