Leo hali mbaya kwa Man City. Hadi sasa City 1 - 2 Brighton.
Liverpool na Chelsea wanajuana Hawa. 1 - 1.
A Villa kala mbili bila kwa Bournemouth.
Bado Kuna Sunderland na Brentford, na Bado Palace na Fulham.
Mechi zote hazijaisha, ila wakifungwa Man City kwangu amaniiiiii.
UEFA imethibitisha kupokea risiti zaidi ya 50,000 zilizowasilishwa na kwa Club ya Real Madrid dhidi ya uchunguzi wa Club ya Barcelona.
Kwa wasiojua Negreira case ni nini, Negreira alikuwa ni mwenyekiti wa kamati ya waamuzi ya Laliga.
Ambapo mwaka 2023 mamlaka za kiserikali zilikuwa zikifanya...
Mchezo wa jana wa ufunguzi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League), Manchester City walishinda mabao 2–0 dhidi ya FC Porto kwenye Uwanja wa Estádio do Dragão.
Mabao yote mawili ya Man City yalifungwa na mshambuliaji wao hatari Erling Haaland. Haaland alifunga bao la kwanza kwa kichwa...
Arsenal, Manchester City na Al-Hilal zinamvizia winga wa Chelsea, Pedro Neto, na zinaweza kuwasilisha ofa kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa Ureno mwenye umri wa miaka 26 katika dirisha la usajili la Januari.
Chelsea inataka kukamilisha usajili wa kiungo wa Bournemouth, Alex Scott, mapema, huku...
Mazungumzo ya kibiashara kati ya Manchester City na Lille kuhusu dili la kiungo fundi Ayyoub Bouaddi yamekamilika ili kiungo huyo ahamie katika klabu ya Manchester City.
Bouaddi raia wa Morocco mwenye umri wa miaka 18 amekuwa shabaha kamili ya Manchester City baada ya uhamisho wa Rodri...
MANCHESTER CITY DHIDI YA ARSENAL: PAMBANO LINALOAMUA MSIMU ⚔️
Uchambuzi wa Mdau:
Manchester City
Rayan Cherki: Ndiye mchezaji wa kwanza kufikisha pasi 10 za mabao (assists) katika msimu wake wa kwanza wa Ligi Kuu tangu Dimitri Payet afanye hivyo msimu wa 2015-16.
Rekodi ya Nyumbani...
Leo katika dimba la Wembley inapigwa fainali ya Kombe la Carabao.
Arsenal (The Gunners) dhidi ya Manchester City (The Citizens).
Arsenal mara ya mwisho kubeba Kombe ilikuwa msimu wa 2019/2020 hivyo wana miaka sita bila Kombe.
Je, leo watatwaa Kombe hili ama tabu kuendelea?
Mchezo huu...
“Hali inazidi kua mbaya. Ata baada ya mapunziko marefu ya EPL bado kuna team zinapwetapweta.
Walibebwa sana misimu iliopita na system ila sasa ukweli unajiweka wazi. “
-Kuna mlevi anaongea hapa. Nimemnukuu.
Kipa wa Brazil, Ederson, amekamilisha uhamisho wa kudumu kutoka Manchester City kwenda klabu ya Fenerbahce ya Uturuki.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 ameondoka City baada ya miaka minane, kipindi ambacho aliisaidia timu hiyo kutwaa mataji sita ya Ligi Kuu ya England na ubingwa wa Ligi ya...
Kevin De Bruyne announces he will LEAVE Man City this summer in emotional statement - and now big money deal in Saudi or US beckons
Kevin De Bruyne has confirmed he will leave Manchester City this summer, bringing an end to his decade-long stay at the Etihad.
De Bruyne's contract is due to...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.