mamlaka

Al-Mamlaka (Arabic: المملكة‎, romanized: Al-Mamlakah, literally "The Kingdom") is a Jordan-based public broadcaster based in Amman, Jordan, established by a 2015 bylaw. It was launched on 16 July 2018. The TV channel is state-funded and offers public broadcasting services – it is neither state-owned nor commercial.

View More On Wikipedia.org
  1. Brojust

    KERO Gongo la Mboto mwisho ni chimbo la madada poa mchana kweupe. Wenye mamlaka mliangalie na mfuatilie

    Nawasalimu. Pale Gongo la Mboto mwisho ikishafika saa moja jioni wanaanza kujitokeza kwenye vichochoro vyao na nguo za kuamsha hisia. Utasikia "Shemeji nimekupenda ulivyo mrefu mweusi, njoo basi nikupe utamu" Yaani unaweza kuvunjiwa heshima hivihivi unaona, Tena sasahv wamejaa wale XXL sio...
  2. Zegota

    Mamlaka za kiafrica ni kama zimelaaniwa. Kulikuwa na haja gani serikali za Equatorial Guinea kuvujisha video za ngono

    Wakuu habarini. Hizi serikali zetu ngozi nyeusi zinapenda sana mambo ya kipuuzi ili kuzima ajenda zao Kwa wananchi Kwa serikali yenye watu wenye akili kulikuwa na haja gani ya kuvujisha zile video za ngono? Walienda kuchunguza kashfa za rushwa? Kwa nini baada ya kukutana na hizo video...
  3. FRANCIS DA DON

    Je, ni kwanini kila mwenye mamlaka na ushawishi huko Guinea ya Ikweta anaitwa Nguema?

    Hivi Nguema ni jina au title? Msaada tafadhali..
  4. T

    Generali Ulimwengu: Miaka 60 baada ya uhuru tuna rais mfalme hawajibiki kwa mamlaka yoyote

    Nimemsikia akiongea mahali mchambuzi huyu wa mambo ya kisiasa anasema Tanzania ina Rais jina tu lakini kiuhalisia mamlaka ya rais wa Tanzania ni ya kifalme. Sii Baraza la mawaziri wala bunge lenye mamlaka ya kumfanya chochote rais wa Tanzania. Kwa maana hiyo rais yuko juu ya Sheria
  5. Pfizer

    Mwanza: Uboreshaji mkubwa wa Mamlaka ya Bandari kuongeza mara mbili idadi ya abiria katika Ziwa Victoria

    Uboreshaji mkubwa wa Mamlaka ya Bandari kuongeza mara mbili idadi ya abiria katika Ziwa Victoria Mwanza. Idadi ya abiria wanaosafiri katika Ziwa Victoria inatarajiwa kuongezeka mara mbili mwaka ujao, kutokana na miradi mikubwa ya upanuzi wa bandari na uzinduzi unaosubiriwa wa meli ya MV Mwanza...
  6. Waufukweni

    Dkt. Slaa: Sijavuliwa Ubalozi, Rais hana mamlaka ya kuvua ovyo kama chapati

    Dkt. Wilbroad Slaa akizungumza kwenye mahojiano na Crown FM amesema "Sijavuliwa ubalozi, ni nyie mnasema hizo taarifa niliziona kwenye vyombo vya habari" baada ya kuulizwa kuhusu taarifa za kuvuliwa kwake ubalozi na Rais Samia. Soma: Rais Samia amvua hadhi ya Ubalozi Dkt. Slaa Novemba 2017...
  7. Mtoa Taarifa

    EWURA yaagiza Mamlaka za Maji kuacha kupika takwimu za huduma zake

    Mamlaka za Maji na Usafi wa Mazingira nchini zimeelekezwa kutoa taarifa sahihi kuhusu uendeshaji na utoaji wa huduma kwa kuwa taarifa hizo hutumika katika utekelezaji wa mipango ya Serikali inayolenga kuimarisha sekta ya maji nchini. Maelekezo hayo yametolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya...
  8. Mkalukungone Mwamba

    Afrika Kusini: Mrembo mwenye asili ya Nigeria ajitoa kuwania Taji la Miss South Africa 2024

    Baada ya Mashindano ya Urembo kuzua Mjadala mkali wa Ubaguzi baada ya watu Mtandaoni kudai kuwa Mshiriki Chidimma Adetshina (23) ni Mnaigeria, na hivyo kudai hawataki kuwakilishwa na Raia wa Kigeni. Baada taarifa hiyo leo Chidimma Adetshina ametoa taarifa kupitia mitandao yake ya Kijamii ya...
  9. M

    KERO Mamlaka ya Maji Singida (SUWASA) mnatuumiza sana Wananchi, bili mnazoleta haziendani na uhalisia

    Salaam Wanajukwaa, Naomba kero yangu ifike kwa waziri Jumaa Aweso kilio chetu Wananchi wa Singida, SUWASA inatuua. SUWASA inatukandamiza, inatuonea, bili za maji za huku kwetu ni mitaji ya Watu huko SUWASA, haiwezekani bill zinakuja bila mpangilio. Hivi majuzi jirani yangu alikuwa akilalamika...
  10. Mtoa Taarifa

    Kuna Homa za Mafua Makali zinasambaa kwa Kasi Mitaani, Mamlaka mbona hazitoi taarifa kuhusu hili?

    Kumekuwa na ongezeko la homa kali za mafua zinazowakumba wananchi wengi katika maeneo mbalimbali ya Tanzania. Wananchi wanaonekana kuwa na wasiwasi juu ya kasi ya kusambaa kwa ugonjwa huu, lakini wanahoji ukimya wa mamlaka husika kuhusu hatua zinazochukuliwa kukabiliana na hali hii. Je...
  11. Mtoa Taarifa

    Umoja wa Ulaya: Kuna udanganyifu kwenye matokeo yanayotangazwa na Mamlaka za Uchaguzi Msumbiji

    Umoja wa Ulaya umesema umebaini ukiukwaji wa taratibu wakati wa Kuhesabu Kura na hivyo baadhi ya matokeo ya Uchaguzi Mkuu yanayotangazwa hayaendani na uhalisia wa Kura zilizopigwa Taarifa ya Waangalizi wa Uchaguzi wa EU imesisitiza Mamlaka za Uchaguzi kufanya mchakato wa kujumlisha Matokeo kwa...
  12. kichongeochuma

    Viongoiz jifunzeni kufuata utawala wa sheria! Mkuu wa mkoa manyara huna mamlaka ya kuzuia Uhamisho wa Watumishi wa Umma

    Nchi hii ifike mahali tuwe na chombo kinacho wasimamia hawa viongozi maana nikama wakisha kuwa na madaraka ya juu basi wapo overall, Haya ya kuendelea kuwaacha waongoze kwa utashi wao na sio kuzongatia sheria kuna siku yatatokea ya Dr. Kleruu na mwamwindi Mkuu wa mkoa kwa utashi wake anasimama...
  13. S

    Mzee Warioba akieleza jinsi Zanzibar walivyopora mamlaka ya raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na kujitoa kwenye muungano kinyemela!

    Ona pia Inahitaji akili kubwa kiasi gani kuelewa kwamba kwa kuwa Zanzibar wana serikali na Rais wao, Rais wa Tanzania, kimsingi, ni Rais wa bara? Si kosa CHADEMA kuingia katika uchaguzi mkuu 2025 na sera kwamba wakishinda uchaguzi watahakikisha Tanganyika wanapata serikali yao ndani ya muungano...
  14. BigTall

    Mamlaka inayosimamia ‘parking’ za gari iwajulishe Wateja kuhusu Madeni ya miaka ya nyuma na siyo kuwashtukiza na kutaka walipe papohapo

    Miezi kadhaa iliyopita kuliibuka Watu waliokuwa wanakamata magari Jijini Dar es Salaam kwa wale ambao hawakuwa wamelipia ada za maegesho. Kuliibuka usumbufu mkubwa kwa kuwa watu waliokuwa wakikamatwa walikutwa na madeni ya miaka ya nyuma ambayo hata wengine hawayajui au hawayakumbuki. Mamlaka...
  15. A

    Ujumbe wa Netanyahu kwenda kwa mamlaka ya Lebanon na watu wake

    Benjamin Netanyahu amewatahadharisha na kuwasihi raia wa Lebanon 🇱🇧 akiwaomba kushikamana na kutumia wakati huu kuiondosha Hezbollah, Netanyahu amesema kwamba kundi hilo la kigaidi limekuwa likifadhiliwa na Iran ili kulinda interests za Iran mashariki ya kati ikiwa ni pamoja na kuishambulia...
  16. DogoWaNjombe

    Buluba Mabelele: Rais ana mamlaka makubwa sana, apunguziwe

    “Rais ana mamlaka makubwa sana apunguziwe, wakati mwingine anazidiwa na wanaomzunguka kwa sababu Rais hayupo kila mahali” BULUBA MABELLE - MJUMBE WA MKUTANO MKUU - CCM TAIFA, wakati akizungumza kwenye mahojiano na Edwin Odemba. Chanzo: Star TV Pia soma ~ Mjumbe wa Mkutano Mkuu - CCM TAIFA...
  17. A

    KERO Utozwaji wa Nauli kinyume na Nauli zilivyoelekezwa na mamlaka (LATRA)

    Ma agent wa mabasi hasa yamikoani wanatoza abiria nauli ambazo ni kinyume na nauli elekezi. Kwa mfano Nauli rasmi kutoka mkoani Gieta kwenda Kibondo (kigoma) kupitia nyakanazi ni Tshs. 17000/= Lakini makampuni ya mabasi kupitia ma agenti wao kutoka eneo hilo wanatoza nauli Tshs.22,000/= kinyume...
  18. Macbook pro

    Kwanini mamlaka ya ukusanyaji mapato haijawatambua hawa kama walipa kodi?

    Hello ndg zangu! Hongereni na poleni kwa majukumu ya ujenzi wa Taifa letu pendwa Tanzania. Naenda kwenye maada moja kwa moja. Mamlaka ya mapato imekua ikija na mbinu mbali mbali za ukusanyaji wa kodi na kuhakikisha wakwepaji wa kodi wote wanafikishwa mahala husika ili waanze kuchangia katika...
  19. BigTall

    Service Road' nyingi zimekuwa sio salama kwa Watumiaji, kuna uzembe unafanyika na kusababisha ajali nyingi

    Licha ya jitihada mbalimbali ambazo zimekuwa zikichukuliwa na vyombo vilivyopewa dhamana kusimamia usalama barabarani hususani 'Traffic' pamoja na wadau wengine, lakini bado kuna changamoto ya msisitizo wa matumizi stahiki ya 'service road' hasa Jijini Dar es Salaam. Baadhi ya barabara ambazo...
  20. B

    Je leo Mamlaka zitaonyesha ukomavu wa Kifikira na kisiasa kama Jeshi la Ruto? Huu ni Mtihani Mwingine kwa Tanzania

    Nchi ikifika level kama ya kenya jinsi Jeshi la Nchi ikiwemo Polisi, usalama na Jeshi lao la ulinzi lilionesha utimamu na ustahamilivu wa hali ya juu sana. Yaani Majeshi yote ya Kenya yalionekana kuwa Imara na kwamba they are Unprovocable for Little things kama Maandamano. Na Jeshi lilishinda...
Back
Top Bottom