Aisee kwanza habari za asubui, niwapeni mikasa ya ili jambo la kuomba ajira mtandaoni.
Kumbuka hapa siongelei ajira portal wala Taesa wala makampuni yenye kutangaza kazi.
Naongelea ile mtu kapost kuna nafasi ya ajira ameweka namba umtafute labda whatsapp au sms.
Jumlisha na wale wa kutoa...