mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. Ifike wakati mambo ya Muungano yasijadiliwe kama turufu za wanasiasa, tuendako siko!

    Tusipoziba ufa, tutajenga ukuta, Ni busara shughuli na maswala ya muungano na tunu zake, yakatolewa nje, aidha yakawa siyo maswala ya kujadiliwa na wanasiasa wa vyama vya siasa vilivyopata usajili na kuandikishwa kama vyama vya kisasa, badala kuwepo na mipaka ya kiutaratibu maalumu juu ya...
  2. B

    PreGE2025 Mbowe ampinga Profesa Kabudi mbele ya halaiki; 'hatuwezi jadili mambo yale yale kwa miaka 30'

    08 May 2024 MBOWE YAMSHINDA AMPINGA PROF. PALAMAGAMBA KABUDI MBELE YA HALAIKI ''HATUWEZI JADILI MAMBO YALE YALE KWA MIAKA 30''.... Freeman Mbowe amejikita katika chaguzi 6 zilizopita na mafunzo yake halisi ya juu kilichotokea katika miaka 30 ya vyama vingi vya siasa kulikopelekea kuiba...
  3. W

    Kumbukizi: Umuhimu wa kuzingatia mambo ya msingi mchakato wa katiba mpya

    Tahadhari tisubiri wanaitaka mabadiliko wawe wengi ni hatari!! Nitumie nafasi kuwaonya viongozi wa CCM watumie busara hii kuweka vizuri mambo muhimu kama; katiba, muungano, tumehuru. Nachelea kusema katiba yenye maoni yaliyoratibiwa na tume ya warioba wasiyapuuze.
  4. M

    Nikikumbuka haya mambo ninakiri kabisa tumetoka mbali na nchi yetu ilikuwa masikini mno

    Wakuu bado hatujafika tunapotaka ila kiukweli kuna hatua tumepiga kwa miaka hii. Haya ni mambo ambayo yalikuwepo ndani tu ya miaka isìyozidi 30. 1. Shule za sekondari zilikuwa chache mno kiasi kwamba kwenye darasa la wanafunzi 60 wanaopata nafasi ya kujiunga kidato cha kwanza labda ni watano...
  5. M

    CCM ijitahidi kutenda mambo mazuri ili kutoviharibu vyama vingine vinavyoiga yanayofanywa na CCM

    CCM ni baba wa vyama vyote vya siasa Tanzania. Vyama vyote vinaitazama CCM kama kioo chao. Iwe kwenye jema au baya. Mara nyingi huko CHADEMA kukitokea mambo ya kipuuzi hukimbilia kujitetea kuwa CCM wanafanya mabaya zaidi. Kwa mfano ukiuliza kuhusu michango na ruzuku utajibiwa kwa kuambiwa...
  6. Mambo Matano yanayochangia Kuharibu Ujasiri na Kujiamini kwa Mtoto

    Kuna mambo kama Wazazi huwa tunafanya kwa watoto bila kujua kama vinawaharibu na kuwashushia kujiamini au kuondoa ujasiri wao katika maisha yao yote. Mambo Matano yanayochangia Kuharibu Ujasiri na Kujiamini kwa Mtoto 1. Kuingilia Uhuru wake kupita kiasi 2. Kumtaja kwa Udhaifu wake (Mzembe...
  7. Haya mambo ikiwa umetokea familia masikini hauwezi kuyajua.

    Katika MAISHA ikiwa umetokea familia masikini unaweza kuwa na haya mawazo au fikra hizi. Pesa au mali za urithi zinaweza kukufanya na wewe kuwa na mali. Ni rahisi Sana kuzaliwa ukiwa mtoto wa kishua Ila kuwafanya watoto wako na wajukuu zako kuwa wakishua. Inakuhitaji Kuwa na maono katika...
  8. Mwanzo huwa mtamu sana. Sijui ni nini huwa kinavuruga mambo?????!!!!!

    🤔🤔🤔
  9. K

    DC kutumia Ofisi ya Umma kwa mambo ya chama ni sawa?

    Habari za wakati huu Wana jukwaa hili. Leo nimekuja hapa na hoja ya matumizi ya mali za Umma katika shughuli za Chama chochote cha siasa. Wote tunajua kuwa siyo sahihi na ni kosa kisheria, mali za Umma, mali za serikali kutumika katika shughuli za Chama chochote cha kisiasa. Zinaweza kutumika...
  10. Mambo mengine sio uchawi, ni kukosa maarifa tu

    Hii ni kwa mujibu Chama cha Madaktari Nchini Canada
  11. Mambo moto huko mtifuano bado unaendelea

    Siri Yafichuka Ndani Ya Equity Bank, Mmiliki Wa Gazeti La Jamvi La Habari Alipewa Tender Na Swahiba Wake Zenda Baada ya mgao kuzulumiana wameanza kutajana njama chafu za Equity Bank walipogawa Tender kwa aliyewahi kuwa Katibu Tawala Daniel ZENDA aliyetimuliwa kwa Utapeli, ulevi na Wizi, Daniel...
  12. M

    Mambo yafichuka ndani ya Equity Bank, mmiliki wa gazeti la Jamvi la Habari alipewa tender na swahiba wake Zenda

    Baada ya mgao kuzulumiana wameanza kutajana njama chafu za Equity Bank walipogawa Tender kwa aliyewahi kuwa Katibu Tawala, Daniel ZENDA aliyetimuliwa kwa Utapeli, ulevi na Wizi Daniel ZENDA naye alipewa na Dada yake wa Damu, Story ya Dada yake itakuja soon, hivyo Daniel ZENDA alimpa tender...
  13. J

    SoC04 Mambo matano kugeuza siasa za Tanzania

    1. Kuhakikisha vijana wanapata nafasi ya kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kuanzia kijiji mbaka serikali kuu. 2.wanawake kupewa kipaumbele katika nafasi za vyama vya siasa katika kutenda haki ya mauzo kwa taifa lijalo. 3.kuwa na tume huru ya uchaguzi yaani wasimamizi wasiteuliwe na kiongozi...
  14. S

    Kauli ya Lissu ya Rais Mzanzibar ni matokeo ya kufumba masikio Tanganyika kuwa na Serikali yake na viongozi wake watakaoamua mambo yao, asilaumiwe!

    Kwanza niombe moderators muiache hii thread ijitegemee, inaenda mbali zaidi ya kauli ya Lissu. Kama una akili timamu na za kutosha, utakuwa umegundua kwamba suala la kusema kero za muungano zinatatuliwa limekuwa ni suala la kuzidi kuipa Zanzibar mamlaka yake kama nchi kamili na kuiondoa kwenye...
  15. Tatizo la kuahirisha mambo

    Habari wanaJF, Niende kwenye point, nimekuwa na tatizo la kuahirisha vitu nivipangavyo. Siyo kwamba siwezi ila ukifika muda tu najikuta tu labda nafanya kitu then nasema nikimaliza nitafanya. Nitaendelea hivyo hivyo mwishoni nasema kesho. Kesho inafika narudia nilichofanya leo. Hili ni tatizo...
  16. K

    Haya Mambo ya Viongozi wa Kisiasa Kwenda na Viti Vyao Kwenye Nyumba za Ibada Yasitishwe

    Kumekuwa na picha zinazoenea kwenye mitandao zikimuonyesha rais samia akiwa katika ibada kanisani,sina uhakika ikiwa ni ibada ya pasaka au otherwise lakini kinachoonekana ni kwamba amekwenda na kiti chake cha ikulu kwenda kukalia kanisani,sawa na alivyofanya Makamo wake wa Rais. Hili jambo kwa...
  17. Mambo aliyoyafanya Benchikha kwa muda mfupi akiwa na Simba, na pale alipokosea

    Binadamu tumeumbwa kusahau. Ngoja niwakumbushe mambo mawili matatu ambayo yaliibadilisha Simba kutoka katika mkwamo iliokuwa nao. 1. Tunasahau Simba ilikuwa inacheza hadi dakika ya 60 inakata moto. Tukalilia fitness za wachezaji. Sasa hivi hakuna anayeongelea tatizo la fitness. Tatizo...
  18. Mambo matano hatari ukiwa CCM, moja lilimkuta Comrade Chongolo

    Sisiemu ilishaacha kuwa chama cha siasa.
  19. Kwanini baadhi ya binaadamu wanakuwa na uwezo wa kufanya mambo mengi?

    Kwanini baadhi ya watu wanakuwa na uwezo wa kufanya mambo mengi yani unaweza kukutana na mtu ana vipaji vingi ukastaajabu na uwezo wake aliojaaliwa?
  20. A

    Kuna kelele Nyingi za Kuendesha Kwa Reli zetu na kampuni Binafsi sasa huko walianzia mambo si mambo tena

    Metro – End of the line for failing train firms Labour has pledged it will nationalise the railways should the party prevail at the next election, Metro reports. Shadow transport secretary Louise Haigh told the paper the “current model doesn’t work for anyone”. The plan would see a Great...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…