mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Mambo ya kuepuka kama Baba

    Mambo ya kuepuka kama baba wa familia Siku moja tukiwa kazini tunaendelea na majukumu, nikapokea simu ya rafiki yangu akiomba ruhusa kwa bosi ya kutokufika ofisini kutokana na changamoto za kiafaya, mie nikatimiza wajibu wangu na nikawa naendelea na ratiba zangu, nikiwa naenedelea na kazi zangu...
  2. US kuichukua Greenland ina maana sasa hivi US ana jilinda katika kila angle ya dunia inayomzunguka

    Akiwa alasska ana tazama west europe. Akiwa maina land ana mtazama south na central america na east asia. Akiwa green land anatazama east europe.
  3. Wajuvi wa mambo naomba kufahamishwa hiki kisiwa cha HAWAII kiko wapi nahitaji nikaishi huko

    Mwanzoni nilikuwa na wazo la kutimkia huko MADAGASCAR, ila sasa nimebadili gia angani yaani ndege nimeipiga U-TURN. Maana naona kukaa bongo ni kama nimechoka maana madrama kila kona. Ukipanga chumba drama kibao, mtaani drama kibao, kwenye migahawa ya chakula drama kibao, siasa drama kibao...
  4. Mambo yanayoweza kufanya Ukishinda Beti (Mkeka usilipwe)

    Kwenye tasnia ya betting malalamiko hayaishi pengine ni kutokuwa na uelewa wa wahusika na wadau leo naona niorodheshe mambo ambayo yanaweza kusababisha usilipwe mkeka hata kama umeshinda na nihatua gani ya kuchukua ,, vile vile nitaeleza mambo yanayochelewesha malipo. UKIFANYA MAMBO HAYA...
  5. Kwa nini manabii na mitume hawakuona mambo haya

    Hapo vip! Binafsi naheshimu na kuamini dini zote zinazomtambua na kumuamini Mungu. Ila binafsi nimejikuta mimi ni mkristo na naamini nipo eneo au katika imani sahihi na ya kweli pasina shaka. Ila nina swali huwa najiuliza,biblia yetu pendwa na iliyojaa hekima,unabii,upendo ,unyenyekevu na...
  6. Wakuu Tusipuuze ishu ya Dr. Emmanuel Nchimbi na taarifa zinazoitwa za Upotoshaji, mambo huwaga hivi hivi …..

    Well , taarifa za Dr. Emmanuel Nchimbi (PhD) kuhusukujiuzulu zilianza chinichini hadi Gazeti moja likapigwa ban , mwisho wa siku ni kweli Daktari Nchimbi akalazimishwa kuachia Ofisi - Ni taarifa za Upotoshaji zilizokuwa kweli Kifo cha JPM kilianza kama drama na upotoshaji, baadae ni kweli JPM...
  7. H

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) na Katibu Mkuu Balozi Dkt. Samwel Shelukindo wakiwa kw

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) na Katibu Mkuu Balozi Dkt. Samwel Shelukindo wakiwa kwenye picha ya pamoja na Waheshimiwa Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania, pamoja na Wawakilishi wa Mashiriki na Taasisi za Kimataifa nchini...
  8. Kwenye utafutaji wa ridhiki/kipato kuna mambo mengi sana.

    Majungu Fitina wizi Uongo Utapeli kupata na kukosa ukiwa na roho ndogo una-give up mapema sana #Wapambanaji wote msio kaa kwa shemeji zenu mnatoka asubuhi ghetto kwenda harakati big up sana.
  9. Mambo muhimu ya kuzingata wakati wa El Nino

    El Niño na maandalizi ya mvua kubwa Nyumba: Kagua paa, mifereji ya maji na sehemu zinazovuja. Mafuriko: Ondoa taka kwenye mitaro na epuka kujenga/kukaa kwenye maeneo yanayotuamisha maji. Maji: Hifadhi maji safi ya matumizi endapo huduma itakatika. Chakula: Kuwa na akiba ya vyakula...
  10. Vurugu za Oct29 hazitokani na madai ya Katiba mpya. Tusichanyanye mambo hapa

    Kuna watu wanataka kupandia juu kwa kutumia ngazi ya vurugu za Oct29 kupata Katiba mpya. Chanzo halisi cha vurugu za Oct29 ni kifo cha Rais Magufuli na ujio wa Rais SAMIA madarakani. Nyingine hizi zoote ni mbwembwe za kutumia fursa za vurugu na vifo vilivyotokea. Kama JMP angekuwahai...
  11. Eti waziri wa mambo ya ndani...eti shekhe(uchwara) mwaipopo alianzisha kikosi kwa ajili ya kuua wananchi alikua ana NIA NJEMA.. whaaat????

    HUYU ni wazuri Gani huyu? Kuna mawaziri wengine wa nchi nyingine wanafanya kazi iliyotukuka...nani anamjua wazuri wa mambo ya ndani wa Rwanda? Au south Africa? Au Botswana? HUYU waziri wenu Niko hapa nasema ni Kichekesho sijawah kuona. Hivi hii nchi Ina laana ama imelogwa? Ni uchawi Gani...
  12. Tunapenda kulaumu madogo wa Jenzii ila tunasahau wanafanya wanayo fanya kupitia uvumbuzi wa vitu na mambo tulioleta sisi millenials

    Ooh mabinti wa jenzii wanaliwa jicho sana, ila ni nani alio wafundisha tangu wakiwa shuleni, si ndio nyie milenials wenyewe Ooh vibinti vya jenzii vinajiuza sana mitandaoni, kwani ni nani ni inventor wa social media na kuruhusu policies za utupu si ni vijana wa millenials kurudi nyuma? Ooh...
  13. SAMIA : MPANDISHE CHEO IGP AWE WAZIRI WA MAMBO YA NDANI HALAFI WAZIRI AWE IGP AU MPELELEZI MAANA ANAFANYAKAZI ZA POLISI

    Yule Waziri anajia work descriptions zake kweli ? Ukute alimwagiza IGP kufanya anachokifanya akagomewa akaona sio kesi afanye hayo mahojiano mwenyewe
  14. UPANUZI NA UBORESHAJI WA BANDARI YA DAR ES SALAAM MAMBO YAZIDI KUNOGA

    UPANUZI NA UBORESHAJI WA BANDARI YA DAR ES SALAAM MAMBO YAZIDI KUNOGA UJENZI WA MATENKI YA KUPOKEA NA KUHIFADHI MAFUTA WAFIKIA ZAIDI YA ASILIMIA 52. Mradi huu Utagharimu kiasi cha Shilingi Bilioni 678 za Kitanzania. Matenki haya yatafanya jumla ya Ukubwa wa Cubic Meter 389000 sawa na Lita...
  15. Mambo ambayo mwanaume akifanya Mwanza/ Usukumani, jamii yote itamshangaa

    Ngoja nikwambie mambo ambayo huko Mwanza ulikuwa ukiyafanya unaonekana wa ajabu...! 1. Mwanaume kula viazi mchana kama chakula... mwanaume kama alikuwa anakula viazi basi viwe vimechomwa 😂 2. Kupika dagaa wana vichwa.. 3. Kwenye msiba watu kula majurijuri... majurijuri ni wale watoto wa...
  16. Mtengeneza maudhui maarufu - Youtube, aliyekuwa akibeza mambo ya dini, aamua kuokoka na kubatizwa katika maji mengi!

    Hii habari ni moto sana! Kila mtu anapaswa kuisoma mwanzo mpaka mwisho. Kweli Mungu anawapenda watu wote. Amebadilisha maisha ya Mtengeneza Maudhui(Youtuber) maarufu mwenye umri wa miaka 30, aliyejizolea mamilioni ya Subscribers kwa video zake za comedy, muziki, boxing na survival challenges...
  17. Hapa duniani hakuna laana au baraka mambo yote yapo kama yalivyo.

    Hapa Duniani hakuna baraka wala laana mambo yote hayana maana ni wewe ndo unayapa maana. Jambo unaloliita laana kwa mwingine ni baraka na jambo unaloona kama baraka kwa mwingine ni laana So , mambo yapo kama hivyo
  18. Mambo 20 ya kipekee usiyoyajua kuhusu Tanga

    Reli ya Kwanza Tanzania Bara – Tanga (1893). Shule ya Kwanza ya Sekondari ya Serikali – Tanga (1890) (Tanga Old School). Shule ya Kwanza kabisa (ya Anglikana) nchini Tanzania – Magila, Muheza, Tanga (1848). Taasisi ya Kwanza ya Utafiti wa Malaria Duniani – Ubwari, Muheza, Tanga (1949). Hospitali...
  19. W

    Kama unataka kuwa na Fikra Tulivu fanya mambo haya mawili

    1)Elewa ukomo wa fikra, Ni mambo mengi yanajiri katika maisha yetu, Si yote tunauwezo wa kuyadhibiti tupendavyo katika uhalisia. Lakini fikra zetu zimebeba vita kubwa ambazo mikono yetu haiwezi pigana. Hali hii imejaza ukungu katika mawazo yetu ambapo hutufanya tuteseke kimawazo na kihisia...
  20. Hii nchi kuna mambo wewe unajua yamebaki stori lakini kumbe kuna maeneo ukienda unakuta watu wanayaishi bado!

    Mtandao na internet Kuna maeneo Bado watu wanajitega kwa ajili ya kupiga simu na kuingia internet Tigo na kujimwambafai kote Kuna maeneo Bado ni bilabila Barabara na uchukuzi Kuna maeneo Tanzania hii hii kipindi cha mvua wanakata muingiliano/mawasiliano ya kutoka na kuingia mpaka mvua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…