mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. waziri wa mambo ya ndani kuingilia wizara ya michezo na michezo kuingilia wizara ya afya na uchumi.

    Kwa sasa tanzania na shindwa kuelewa ni nani haramu ni nani raisi ni waziri. Leo mkurugenzi kawa mkuu wa kituo cha polisi majukumu yake.
  2. Kosea mambo yote lakini sio kuoa

    Ndoa zimeharibu maisha ya vijana wengi sana. Let me drink my fckng beer
  3. Ina maana gani katiba kusema sisi ni nchi ya kijamaa?

    Ujamaa uko wapi Tanzania ? Kuna sera gani ya maana ya kijamaa Tanzania ya kunufaisha raia wote?? CCM acheni utapeli kusema sisi ni nchi ya kijamaa na mmeandika hivyo kabisa katika katiba yenu wakati hata huduma ya afya sio bure kama ilivyo kwenye nchi nyingi za kibepari kama Canada, Scandinavia...
  4. Ushindi wa Jihan unaonyesha watanzania wanaweza kuungana kwa pamoja kufanya jambo. Wanashindwa nini kutumia sauti hio kubwa kudai mabadiliko.

    Watanzania ni moja ya watu walio active sana mitandaoni Africa, Ushindi wa Jihan hauathiri maisha yao lakini wamepush hadi kimataifa. Nguvu kama hii ikitumika kumpazia Sauti hata Tundu Lisu tu anaweza achiwa mara moja. Kwa umoja huu wanaweza kudai mabadiliko kuanzia kila kona. Lakini...
  5. Tupeane mbinu za kupata hela, aya mambo ya hoya hoya yanatupotezea muda.

    Unauza bidhaa gani au unatoa huduma ipi kwa bei rafiki?
  6. Mambo zenyuu sogea tubongee

    Kuna maajabu leo nimesikia kijiweni. Kulikuwa kuna wakaka group tu wakiongea masuala ya wanawake wakawa wanaongelea kuhusu mapenzi na mambo kibaooo. ikafikia maswala ya kulamba ile.fimboo . Dah wanaume lindeni migongoo yenu. Eti kuna mtu akasema hakuna mtu anayejua kulamba koni kama wanaume...
  7. Ushauri: Serikali ongozeni kidigitali Kuna mambo ukisikia bado yanafanywa yanashangaza sana

    Miaka imesonga sasa badilisheni baadhi ya mambo muendane na ulimwengu wa kidigitali mambo kama; 1. Mwenge wa uhuru na kuwatoa wanafunzi mashuleni na kuwapanga msululu yamepitwa na wakati 2. Wanafunzi kukimbia mchakamchaka na kuimba nyimbo za kambona na idd amini 3. Siku ya wafanyakazi...
  8. Kuna mambo watu wa dini huwa wanaamini na kuyatetea mtu mwenye fikra huru unabaki kushangaa tu.

    Kuna mambo waamini mungu huwa wanalazimisha na kuyatetea tu lakini hata wao wenyewe kwa akili za kawaida tu walipaswa kujua sio sawa 1. Kuhukumu/ Kulaani watu (watoto na wajukuu) kwa makosa ambayo hawajayafanya ya wazazi wao. 2. Kuruhusu utumwa, kununua na kuuza watu kama bidhaa. 3. Kuteua...
  9. Mambo ya kishirikina/kichawi ambayo sikutakiwa kukuambieni

    1. Usisafishe mikono yako kwa asali na chumvi dakika chache kabla ya mtoko wa kimapenzi (date), Chumvi huondoa uzito wa siku nzima kwenye ngozi yako, na asali huacha utamu ambao watu wataugundua hata wakiwa mbali kidogo nnawe 2. Ili uache kumlilia mtu asiyekulilia, chukua chembe moja ya...
  10. Human Nature

    Hello Great thinkers 🫡 Mwanadamu ana baadhi ya mambo ambayo huwa yanatokea ndani yake bila yeye kuyapanga au kuyachagua kwa makusudi(Unakubaliana na mimi?) Hayo tunaweza kuyaita Human Nature asili ya mwanadamu Mfano: Kupenda : binadamu anaweza kujikuta anampenda mtu au kitu bila hata...
  11. Je unaamini katika mambo ya nyota(zodiac signs)?

    Ni muda mrefu naona watu maeneo mbali mbali mtandaoni wako serious na haya mambo kuliko miaka ya nyuma.Nadhani ukuaji wa Technology umechangia,watu wanasoma na kufuatilia tabiri viganjani mwao tofauti na enzi hizo unazikuta kwenye magazeti ama umfuate sheikh/maalim magomeni🙃 Imefikia hatua hata...
  12. K

    Mambo Muhimu kwa Maendeleo ya Tanzania ()

    masterpiece Kamundu Utangulizi Tanzania ina rasilimali nyingi na watu wenye uwezo, lakini bado tunakabiliwa na changamoto za kiuchumi, kijamii na kiutawala. Ili kuendelea, tunahitaji sera rahisi, uwajibikaji, ubunifu na viongozi wanaotanguliza maslahi ya nchi. Kodi, biashara na ujenzi Mfumo wa...
  13. Niko tayari kujifunza mambo ya sheria - Ulega

    Kwani hii nchi tumerogwa na nani wakuu? Hivi unaweza kusomea udobi halafu ukaajairiwa kama Daktari? Kwamba wabunge wote hakuna hata mmoja mwenye ujuzi na sheria apewe wizara? Haya bwana Waziri wa Katiba na Sheria, Abdallah Ulega amesema yuko tayari kujifunza mambo mbalimbali yanayohusu wizara...
  14. L

    Mambo yanayoleta laana

    Laana ni nguvu ya kiroho inayoandama maisha ya mtu asifanikiwe kwenye maisha na kuwa na maisha magumu kupititiza.Kuna vyanzo mbali mbali vinavyoleta laana kwenyeaisha ya watu duniani,nitaorodhesha hapa chini kama ifuatavyo. 1.Kumwasi Mungu.Na kutumikia miungu mingine kwenye maisha yako ili...
  15. Uchawi ni nini ?

    Mfano huyu Mugisha koti lake kufuatwa na nyuki Waswahili wamekimbilia ni uchawi! Akili za Waafrika wengi zikishindwa kuelewa jambo kwao inakuwa ni uchawi.
  16. Kuna mambo ni vema kutoyafahamu kwa usalama wako na ili uendelee kuishi kwa amani.

    Some things are better left unseen. Life has a strange way of teaching us that curiosity is not always harmless. Sometimes we go looking for answers, truths, or things that were never meant to cross our path—and once we discover them, there is no going back to the person we were before. You...
  17. FAHAMU MAMBO MUHIMU KUHUSU UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MSALATO

    1. Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato umefikia asilimia 89.02. 2. Ujenzi wa runway, taxiways na apron umefikia kati ya asilimia 98 na 99. 3. Jengo la Abiria limefikia asilimia 81 ya utekelezaji. 4. Mnara wa Kuongozea Ndege (Control Tower) umefikia asilimia 74 ya utekelezaji...
  18. R

    Mambo ya kiroho! Roho ni nini? Hakuna aliyejibu mpaka leo!

    Mtaji wa wahubiri wa imani yetu ya Kikristo huo. Ulimwengu wa kiroho, mambo ya kiroho.....blah blah blah. Swali nimeuliza countless times , ROHO NI NINI? An invisible matter? A wave energy? What actually is a spirit? Maana hata hizo atoms,protons, neutrons na subatomic particles hatizioni kwa...
  19. Hali hii ya Tundu Lisu kusahau baadhi ya mambo muhimu akiwa kizimbani jana na kuiomba mahakama muda kuyasema leo, inatoa picha gani na kuashiria nini?

    Je, ni inashiria ya uchovu, kiwewe, hofu au ni hali ya kawaida kwa mwanadamu kisayansi? Vipi siku ya mwisho ya final submission yake kizimbani, akisahau kuieleza mahakama jambo muhimu zaidi pengine la kumuokoa na kitanzi, na kisha akalikumbuka akiwa nje ya mahakama, labda akiwa anasubiria...
  20. Miksi By Yass na mambo ya kijiamulia.

    Kila nikijiunga data wanaamua ni kiasi gani cha data wakifanye kiwe cha Whatsapp. Kwangu naona haiko sawa, ilitakiwa waniulize mimi ndiyo niamue ni kiasi gani nikipeleke huko. Mara nyingi nimeona kifurushi kinaexpire bado nikingali na MB nyingi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…