mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. Serikali yatenga Shilingi Bilioni 730 Kukabiliana na Athari za mvua za El Niño

    Serikali imesema inatarajia kutumia shilingi bilioni 730 na chenji katika maandalizi na kukabiliana na athari zinazoweza kujitokeza kutokana na mvua za vuli zinazotarajiwa kuambatana na hali ya El Niño, kuanzia Oktoba 2026. Kwa mujibu wa mpango huo, sehemu ya fedha hizo zitatumika katika...
  2. Mambo 5 kwenye mchezo wa Fountain Gate vs Simba

    Mambo matano kwenye mchezo wa fountain gate vs simba leo 1.KAPILI MACHUPA Alikuwa kizuizi kwa Simba licha ya kuruhusu goli moja alipaswa kuwa man of the match 2:ANCET OURA Hakuwa kwenye kiwango kizuri alimfanya kasuku kuwa kwenye kiwango Bora 3:MGUNDA SHABAN Jamaa alitawala dimba la Kati...
  3. Hapa kuna mambo haya✌️

    Nimepita zangu shopping mall kununua simu mpya, nimelipia safi sasa wakati tunaandikishana risiti na mambo mengine.. Mara akafika hapo jimama nene la kizungu na vijana wawili wadogo mmoja kavaa kimasai na mwingine kawaida, kimuonekano masai alikuwa smart ila huyu mwingine ana rasta chafu, nguo...
  4. Muda wa Kuchelewa Kurekebisha Mambo

    Inaonekana Nzena amepoteza imani kwa kiwango kikubwa kiasi kwamba hawataki tena kwenda pale. Baada ya kupewa boosters za kutosha, sasa tunaelekea kwa Wagogo kutafuta proper treatment, huku tukiendelea kupewa boosters ili angalau tuonekane kwenye sherehe na kuonyesha kwamba mambo yako sawa...
  5. Watu wanashangaa vitendo vya uozo wa maadili mikoa ya pwani wanadhania ni kutokana na usasa kuzidi. Haya mambo yalikuwepo mitandao ndio ime-expose

    Kukithiri kwa vijana wengi mashoga ni kutokana na influence ilioletwa na waarabu kipindi cha utawala wao na haswa wakati wa utumwa. Waarabu waliwalawiti wavulana na kubaka kinyume na maumbile wanawake. Matendo haya yaliacha alama kwenye jamii na yakarithiwa kama ya kawaida Ukiangalia upande wa...
  6. Kuwa mwana CHADEMA maana yake ni kujihusisha na vitu au mambo yasiyowezekana!...

    Nimetafakari sana leo hii asubuhi na kulingamua hili,its totally lost of times on trusting what is not possible!... Ni kuwa mwanaharakati,na kuwa busy kwa kushindana na kesi mbali mbali mahakamani alimradi tu,days count old came with no achievements. Record mbalimbali zinatuonyeaha kwa waenga...
  7. Mambo Kumi kuhusu Denzel Trainer hadi kukutana na Doumbia wa Mnyama Simba 🦁..

    Baada ya Doumbia kutikisa nyavu zilianza kusambaa video za kiungo huyo akipewa mazoezi na mkufunzi wa mazoezi Godfrey Mkinga maarufu kama Denzel.. Dar es Salaam. Wiki hii imekuwa tamu kwa mashabiki wa soka na burudani baada ya mshambuliaji wa Simba SC 🦁, Ibrahim Doumbia, Oktoba 21, 2026 kuanza...
  8. Je, akili ya mwanadamu ina mipaka ambayo hawezi kuivuka? huenda kuna mambo ambayo hatujui hata kama yapo!

    Tumepiga hatua kubwa sana katika sayansi na teknolojia. Tuna magari, ndege, darubini, kompyuta na vyombo vinavyosafiri angani. Tunaweza kutambua mawimbi ambayo macho yetu hayawezi kuyaona na kuchunguza vitu ambavyo hatuwezi kuvigusa moja kwa moja. Lakini je, maendeleo haya yanamaanisha kwamba...
  9. B

    Mzee wa CHADEMA anena mambo mazito kuhusu kesi ya Tundu Lissu, haki itendeke!

    23 October 2026 Ikunga, Singida Tanzania MSIKILIZE HUYU MZEE WA CHADEMA ANENA MAMBO MAZITO KUSU KESI YA TUNDU LISSU, HAKI ITENDEKE https://m.youtube.com/watch?v=GxLhVIJw8WI Mzee atoa nasaha nzito mkumbuke haki isipotendeka waheshimiwa majaji ... Mzee mnajua maana ya Jamhuri, Jamhuri ni Nani ...
  10. M

    Uzoefu huonyesha watu wa miaka 40+ huishi kujutia mambo ambayo hawakuyafanya kwenye miaka ya 20+

    KUPOTEZA SIKU MOJA INAWEZA KUGHARIMU MIAKA 10 KUIREKEBISHA 😔 KATAA KUGHAIRISHA HOVYO ✍️ KILA KUKICHA NA MUNGU AKIKUPA AFYA USIKUBALI KUIPOTEZA HIYO SIKU TENA UWE MKALI KWA YOYOTE MWENYE KIASHIRIA CHA KUIVURUGA SIKU YAKO #Mwanasayansi Saul kalivubha #Malenga wa Kiha #Fikia Ndoto Zako
  11. Yapo mambo mazito sana ya kujiuliza kama taifa nje ya masuala ya mabadiliko ya kiserekali.

    Ndugu zangu Watanzania salama? Kila ninapofuatilia mijadala ya kisiasa nchini kwetu, ninashangazwa sana na ukosefu wa hoja za msingi kuhusu namna ya kuendeleza Tanzania yetu na hatma yetu kama Taifa! Sote tunakubaliana kwamba tunahitaji kuishi ktk Taifa linalofuata misingi ya utu na haki...
  12. Mambo ya Kushangaza na Mafunzo ya Utajiri Kutoka kwa MO Dewji: Mbinu 5 Zinazoweza Kubadili Mtazamo Wako wa Kifedha

    Mambo ya Kushangaza na Mafunzo ya Utajiri Kutoka kwa MO Dewji: Mbinu 5 Zinazoweza Kubadili Mtazamo Wako wa Kifedha 1. UTANGULIZI Kuelewa siri za utajiri wa kweli na endelevu barani Afrika ni safari inayowatatiza wengi. Mara nyingi, tukitazama wafanyabiashara wakubwa, macho yetu huona matokeo ya...
  13. M

    Mambo gani ya kuzingatia kwa wanachuo wapya chuoni?

    Msimu wa vyo ndio unaanza kuna wanafunzi wapya wa vyo wanaanza, wanatoka kwenye mfumo wa elimu wa kulelewa wanaingia kwenye mfumo wa kujilea, unawashauri nini wakifika chuoni? Mambo gani wazingatie? Nini wafanye na nini wasifanye wakiwa vyoni? wape ushauri.
  14. Waliokuwa wanawaona Waarabu ni washika dini kumbe nao ni Washirikina vilevile, hii dunia ina mambo.

    Kuna taarifa zinaendelea kufichuliwa baadhi ya Mashagala (house managers) kutoka Kenya wanaokwenfa kufanya kazi za ndani wanakutana na ajabu. Imethibitika si nyumba moja tu hawa Waarabu wanafuga hii mijusi iguana na mfanyakazi wa ndani ndio anapaswa kumuogesha na kumuhudumia. Sasa maswali ya...
  15. Ukiona mambo haya kutoka kwa mwenza wako, basi jua kuna uwezekano wa kuchinjwa au kuuwawa... Take care!

    Hivi karibuni tumeshuhudia matukio ya wenza kuchinjana na kuuana in the name of love, haya matukio yameanza kushamiri sana kiasi kwamba mpaka tunahisi labda mtoa roho amekuja kivingine this time. Sasa kwa kawaida haya matukio huwa hayaji ghafla tu bin vuu,laa! Huwa kuna viashiria fulani fulani...
  16. Makonda ukitabiriwa Mambo mazuri na Mwamposa wa Mafuta, Tony wa Kujaza Gesi mitungini inatosha !!. Kwann utafute Tabiri nzuri Kutoka kwa unaowatesa !!

    Yaan Makonda Unataka Bagonza, Gwajima na wengineo wa aina hiíi wanaotetea Haki, Wakutabirie Mambo mazuri??. Makonda wewe ambaye Historia ya Maisha yako ya Siasa imejaa ukatili na uovu Mkubwa ?. Makonda, wewe endelea kutabiriwa Mazuri na hao wahuni wako. Huku ukijafanya unajali masikin na...
  17. Sijui kama mambo yamebadirika ila nakumbuka zaman shulen tulikuwa tunalishwa matango pori kuhusu ujamaa na ukomunist na jinsi gani ubepari ni ushetani

    Ila sasa hivi hauwezi kudanganya vijana kama ulivyofanya miaka ya 70, 80, 90 na early 2000s SAsa hivi wanajionea ukweli wenyewe katika TV kubwa iitwayo globalization. Tulidanganywa mengi, tukafichwwa historia za maana ili tuwe wahanga wa system ambayo haikufanya kazi kiuchumi na maendeleo...
  18. S

    Mambo ya kuficha ID kwenye JF; unaweza kukuta Erythrocyte ni mchepuko wa Mwashambwa au Tlaatlaah lakini hawana habari, sasa siku wajikua!

    NImewaza sana. Hizi ID tunazotumia humu Jf hata wake au waume zetu hawajui, achilia mbali michepuko. Sasa unaweza kukuta humu JF unachukizana na mtu kumbe ni mke, mume au mchepuko wako! Si ajabu ukakuta Erythrocyte wa Chadema ni mchepuko wa Mwashambwa au Tlaatlaah wa CCM! Kimbembe ni siku...
  19. waziri wa mambo ya ndani kuingilia wizara ya michezo na michezo kuingilia wizara ya afya na uchumi.

    Kwa sasa tanzania na shindwa kuelewa ni nani haramu ni nani raisi ni waziri. Leo mkurugenzi kawa mkuu wa kituo cha polisi majukumu yake.
  20. Kosea mambo yote lakini sio kuoa

    Ndoa zimeharibu maisha ya vijana wengi sana. Let me drink my fckng beer
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…