mambo

The Museo d'Arte Moderna di Bologna or MAMbo is a purpose-designed museum of modern and experimental art in Bologna, Italy. The Museo Morandi, which displays a large collection of works by Giorgio Morandi, is temporarily housed in a part of it.

View More On Wikipedia.org
  1. Ushauri wenu wakuu, tayari kamesha vuruga mambo tena

    Baada ya kumaliza ugomvi, nikaamua kukarufisha kimya kimya watu wasione wasije wakanicheka. Sasa jana nimekaleta geto saa sita usiku ili watu wasikaone.... leo kameamka saa kumi na mbili alfajiri kakaanza kufagia uwanja aiseee..... Yaani hapa nawaona majirani wananong'onezana tu huku...
  2. Kuna mambo mengine mnaweza kusema iran anavyo jitamba kumbe teknolojia ya nyuklia alipewa zamani na marekani kabla ya mapinduzi.

    Nimeshindwa kuweka hapa makala video fupi. Ila wachumbuzi wale wakina zungu hata hii teknolojia ukiuliza ilifikaje iran watabaki na kusema maandiko ya dini. Marekani alikuwa rafiki mkubwa iran mpaka kumpa teknolojia kubwa na kuna mataifa walipewa hii teknolojia kwa lengo la kufua umeme. baada...
  3. R

    Kumbe haya mambo ya cognate offence yalitabiriwa kitambo. Msikilize marehemu Alute Mgwai akijojiwa

    Hawawezi hawawezi ku substitute na kosa dogo, hawawezi! Kumbe waliweze?
  4. Unaweza kumheshimu mtu mpaka aanze kuzungumzia baadhi ya mambo!

    Wasalaam Nimekaa nikajiuliza ni kwanini baadhi ya mambo yanafanya watu hata wenye heshima zao, elimu na nyadhifa kutokwa akili kabisa wanapoyajadili. Kuna mijadala ambayo inakufanya uanze kumwangalia mtu kwa jicho tofauti. Unakuta unamuheshimu mtu vizuri tu lakini akianza kuzungumzia mahaba...
  5. Tech 7 zitakazobadilisha maisha yako moja kwa moja

    Miaka 5 ijayo (2026 - 2031) dunia haitaenda pole pole. Kitaalamu, tunakwenda kwenye miaka ya AI kufanya kazi badala ya kuongea tu. Hizi ndizo tech 7 zitakazobadilisha maisha yako moja kwa moja: 1. AI Agents - AI itakufanyia kazi, sio kukujibu tu Sasa hivi unaniuliza, nakujibu. Miaka 5 ijayo...
  6. Kwa nini watu wote wanazungumza na mungu huwa hawaambiwi majibu ya mambo muhimu ?

    Tofauti na babu wa Loliondo wa kikombe sijawahi kusikia mtu amezungumza na mungu akaambiwa suluhisho la kudumu la magonjwa ya Cancer, kisukari, Ebola, UKIMWI, Homa ya ini ambalo litatibu watu wengi au kumuambia dereva asisafiri siku hiyo atapata ajali (unakuta ni mtu mmoja tu anasema aliambiwa...
  7. Hata sielewi namna mambo yalivyo duniani

    Tunazaliwa bila hiari yetu. Tunapewa masharti ya kuishi as if ulikubali kuja kuishi kwa masharti. Hivi ni nini maana halisi ya uwepo if all we do is end up dying.. Je kuna kusudi lolote la sisi kuwepo, beside kuzaliwa, kuishi na kufa? Maana we are living as if this life is our own and then...
  8. Sala Dua na Maombi yangu Lissu aachwe huru, huu mjadala ufungwe, tuendelee na mambo mengine

    Wakati fulani nilipanda dala dala moja wa abiria akamwambia kondakta nirudishie chenchi yangu (50) niwaze mambo mengine. Maana yake ni kwamba yule abiria alikua muda wote anaiwazi hio 50 Ni kiasi kidogo sana ila illi kuwa inampa shida ya kuzingatia muda wote kwamba konda hajanirudishia hela...
  9. Wanaopiga kelele mitandaoni kukemea ushoga ni watu wenye msongo wa mawazo. Mtu ambaye mambo yake yako 🔥 hawezi kupoteza muda kisa watu kupakuana

    Unataka waache kupakuana wakupakue wewe? Juzi jamaa mmoja aliyefukuzwa kazi polisi nilikuwa tunapiga naye story na nikasema Mimi nimewahi kukwepa mitego kadhaa ya mashoga walitaka niwapakue. Mashoga 3 live kabisa watu ambao huwezi kudhani kuwa kipa kahama golini. Na wengine huko mitandaoni...
  10. Mama yetu kwa video hii tunaomba turudishie huyu myu mambo ya ndani

    Sitaongea mengi maana video inajieleza https://youtube.com/shorts/hfQqDQmlbPg?is=Ygc4h9-7jNlpQXhc
  11. A

    KERO Nimeomba kusoma masomo ya jioni CBE lakini ratiba imetoka kwa kufanya masomo full time, changamoto ni nini?

    Mimi ni mfanyakazi katika sekta binafsi (Private Sector) ambaye nimepata fursa ya kujiendeleza kielimu katika ngazi ya shahada. Nilichagua kujiunga na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kupitia mfumo wa masomo ya jioni (Evening Programme) kwa kuwa unaendana na majukumu yangu ya kikazi. Hata...
  12. Huyu jamaa aliangaliaga zile videos zinazo trend za kibao kata na baikoko akadhania ni mambo ya kawaida na ya bure bure Tanzania 😁

    Amejionea mwenywe tunayopitia, kaomba poo😁
  13. Kama kipato chako kidogo na unataka kumiliki gari zingatia haya mambo 2.

    Gari ni kitu muhimu sana, ukimiliki gari kwenye hizi jamii zetu thamani yako inaongezeka. Na thamani yako ikiongezeka na pesa zitaongezeka. Pesa ni thamani na si makaratasi. Ndio maana unaweza kumlala MDADA ukampa 20k tzs na ukalala na mwingine ukampa 200k tzs. It's because of the value. CCM...
  14. Kuna mambo nikikumbuka moyo wangu unauma sana wakuu...

    Kaniambia eti kila akiniona moyo wake unaenda mbio... mimi nikamjibu huo ni wasiwasi na hofu tu... Kwanza nikinywa pombe kananiita chapombe, lakini nikinywa fanta hakaniiti fantastic...😂 Leo nimekajaribu kwa salam.. Mimi: mambo Yeye: niko poa kabisa Mimi: basi sawa kama upo poa, nilidhani...
  15. C

    Kama ambavyo yanga wanaitumia serikali kufanikisha mambo yao,vivyo hivyo wanaitumia serikali kuibomoa Simba

    Mangungu ana watu wazito nyuma yake na agenda yao kubwa ni kuimilikisha Simba kwa familia ya gsm. Hawajali Mo akiondoka ,wala Simba ikiyumba.Agenda yao hii wanaipigania kupitia kwa mangungo na baadhi ya watu wajinga wanaotaka kumrudisha manara. Siasa zinaharibu sana mpira wetu,maana kuna watu...
  16. Serikali yatenga Shilingi Bilioni 730 Kukabiliana na Athari za mvua za El Niño

    Serikali imesema inatarajia kutumia shilingi bilioni 730 na chenji katika maandalizi na kukabiliana na athari zinazoweza kujitokeza kutokana na mvua za vuli zinazotarajiwa kuambatana na hali ya El Niño, kuanzia Oktoba 2026. Kwa mujibu wa mpango huo, sehemu ya fedha hizo zitatumika katika...
  17. Mambo 5 kwenye mchezo wa Fountain Gate vs Simba

    Mambo matano kwenye mchezo wa fountain gate vs simba leo 1.KAPILI MACHUPA Alikuwa kizuizi kwa Simba licha ya kuruhusu goli moja alipaswa kuwa man of the match 2:ANCET OURA Hakuwa kwenye kiwango kizuri alimfanya kasuku kuwa kwenye kiwango Bora 3:MGUNDA SHABAN Jamaa alitawala dimba la Kati...
  18. Hapa kuna mambo haya✌️

    Nimepita zangu shopping mall kununua simu mpya, nimelipia safi sasa wakati tunaandikishana risiti na mambo mengine.. Mara akafika hapo jimama nene la kizungu na vijana wawili wadogo mmoja kavaa kimasai na mwingine kawaida, kimuonekano masai alikuwa smart ila huyu mwingine ana rasta chafu, nguo...
  19. Muda wa Kuchelewa Kurekebisha Mambo

    Inaonekana Nzena amepoteza imani kwa kiwango kikubwa kiasi kwamba hawataki tena kwenda pale. Baada ya kupewa boosters za kutosha, sasa tunaelekea kwa Wagogo kutafuta proper treatment, huku tukiendelea kupewa boosters ili angalau tuonekane kwenye sherehe na kuonyesha kwamba mambo yako sawa...
  20. Watu wanashangaa vitendo vya uozo wa maadili mikoa ya pwani wanadhania ni kutokana na usasa kuzidi. Haya mambo yalikuwepo mitandao ndio ime-expose

    Kukithiri kwa vijana wengi mashoga ni kutokana na influence ilioletwa na waarabu kipindi cha utawala wao na haswa wakati wa utumwa. Waarabu waliwalawiti wavulana na kubaka kinyume na maumbile wanawake. Matendo haya yaliacha alama kwenye jamii na yakarithiwa kama ya kawaida Ukiangalia upande wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…