My Take
Naunga mkono hoja ya Kitila Kwa sababu hata niwe Mimi yaani mtu ananipa Bilioni 5 ambayo naweza kwenda kufanyia makubwa zaidi kwingineko nisiuze kisa mgeni?
Mnaolaumu acheni upuuzi,hata Mimi Nina eneo langu japo halipo Dar nikipata mgeni na ofa nzuri nauza nachukua pesa,Nchi ni kubwa...
KUBEBA MIMBA YA MWANAUME BILA MAKUBALIANO NI UKATILI KWA WANAUME. IWE KOSA la JINAI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Hii ishu lazima tuizungumzie mara kwa mara mpaka izoeleke akilini. Na wanawake wajue ukatili wanaoufanya.
Ni kama ubakaji hivi. Unabeba mimba ya mtu bila ridhaa yake. Huo ni...
China imesaini makubaliano ya msaada wa kifedha wa dola milioni 15 za kimarekani kwa ajili ya reli ya Ethiopia-Djibouti, mradi ambao ilishiriki kwa kiasi kikubwa katika ujenzi wake, jambo linaloonyesha kuwa msaada wake kwa Ethiopia unakwenda zaidi ya maendeleo ya miundombinu ya mara moja tu...
Rais William Ruto sasa amesema makubaliano kati ya Serikali ya Kenya na Mfanyabiashara Aliko Dangote kuhusu Refinery ya Lamu hayatawekwa wazi, huku akimuelekeza yeyote anayetaka kuyaona kutumia utaratibu wa Bunge kuyaomba.
Kauli hii inakuja wakati mradi huo wa takriban Shilingi trilioni 2.2...
Wauguzi Wasitisha
Muungano wa Kitaifa wa Wauguzi na Wakunga nchini (KNUNM) umesitisha mgomo wa kitaifa uliochukua siku 41, baada ya kufikia makubaliano na Baraza la Magavana (CoG).
Katibu Mkuu wa KNUNM, Seth Panyako, alitangaza Jumatano, Septemba 9, 2026, kwamba mgomo ulioanza Julai 29 umefutwa...
Katibu Mkuu wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, akizungumza leo Septemba 7, 2026 kwenye mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa nchini, amesema haiwezekani kukodi watu au kuita wageni kuja kusikiliza matatizo ya Taifa ili kufikia makubaliano.
Doyo amerejea maridhiano yaliyofanyika...
Tanzania kwa sasa inapita katika kipindi cha mpito wa kisiasa ambacho kinahitaji viongozi wenye busara na ujasiri wa kusimamia ukweli bila uoga wala upendeleo. Katika muktadha huu, Jaji Joseph Sinde Warioba anasimama kama moja ya tunu chache za kitaifa zilizobaki—sauti ya maadili na hekima...
aibu
asilimia
ccm
demokrasia
jaji
jaji warioba
katiba
katiba mpya
kauli
kuhusu
makubaliano
mchango
mkutano
mpya
muhtasari
siri
uchaguzi
uchambuzi
uhaini
ukweli
ukweli wa
ushindi
vifo
vifo vya uchaguzi
wimbi
Kampuni ya Vitol Bahrain E.C., kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Uganda National Oil Company (UNOC), zimeingia makubaliano ya kuendeleza mradi wa ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta ghafi (refinery) jijini Tanga wenye thamani ya takribani Dola za Marekani...
Ukitaka kufahamu uhakika wa kichwa cha habari nilichoandika tafakari juu ya mtu anapokufa waliobaki huwa wanafanya nini? (Jiulize tu kwa dhati ya moyo wako na ujijibu). Jibu la swali hilo ndiyo uhakika wa maisha yalivyo.
Ni wewe tu umekaa unawawazia wao ila kwa hakika watu wana mawazo yao na...
Wanaukumbi.
🇺🇸🇮🇷 Marekani na Iran zimeripotiwa kufikia makubaliano ya kihistoria.
Mambo muhimu ya makubaliano hayo ni pamoja na:
✅ Kukomeshwa kwa shughuli za kijeshi katika nyanja zote
✅ Kufunguliwa tena mara moja kwa Mlango-Bahari wa Hormuz
✅ Kuondolewa kwa kizuizi cha Marekani
✅ Iran...
Niaje waungwana
Dunia imebadilika aisee. Leo hii zayuni ( Netanyahu ) anaitwa muuaji anaetafutwa kufikishwa kwenye Criminal Court.
Wakati nchi hizo zikiondoa vikwazo kwa Iran, hili zayuni liuaji Netanyahu haliwezi kutia mguu wake katika nchi yoyote hapo juu bila kutiwa nguvuni na kukabidhiwa...
Rais Donald Trump ametangaza kuingia mkataba wa amani na Iran.
Amefanya hivyo kwenye maadhimisho ya siku ya kuzaliwa kwake?
Je, mkataba huu utafuatwa au kuvunjwa kama ilivyokuwa huko Gaza ambapo ni utapeli mtupu au DRC?
Je, ni baada ya kushindwa kufikia malengo yake kisiasa au kuchapwa kimya...
HERE WE GO!
Kwa mujibu wa Fabrizio Romano na Sky Sport Manchester United imefikia makubaliano ya Kumunua kiungo wa mpira kutoka Atalanta ya Italy kwa kiasi cha €45 sawa na £39 na nyongeza zinazoweza kuongezeka kama atafikia mafanikio fulani. Ederson ata sign mkataba wa miaka minne na mwaka...
Wanaukumbi.
Pakistan yakataa shinikizo la Trump la Makubaliano ya Abraham, yasema kuhalalisha na Israeli 'hakukubaliki'
——
Waziri wa Ulinzi wa Pakistani Khawaja Asif alikataa wito wa Rais wa Marekani Donald Trump wa nchi zenye Waislamu wengi kujiunga na Makubaliano ya Abraham, akisema Islamabad...
Leo ni siku muhimu katika ushirikiano kati ya Sweden na Tanzania. Utiaji saini wa makubaliano ya ufadhili kwa Lots 3 na 4 za Standard Gauge Railway mjini Dodoma unaonesha dhamira yetu ya pamoja ya kuendeleza miundombinu endelevu, kuimarisha muunganiko, na kukuza ukuaji wa kiuchumi wa muda mrefu...
Serikali ya Italia imefanya maamuzi ya kusitisha mkataba wao wa ushirikiano wa Ulinzi na nchi ya Israel.
Waziri Mkuu Giorgia Meloni alitoa tangazo hilo leo Aprili 14, 2026, akielezea kuwa uamuzi huo umetokana na mivutano na migogoro inayoendelea huko Mashariki ya Kati. Ingawa serikali ya...
Fikiria mtoto wa jirani yako mdogo, hana kosa alafu mtu mkubwa anamtesa kwa starehe zaake tu.
Jibu kwa uaminifu hilo ni baya, au ni opinion yako tu?
Kama ni opinion yako tu basi mtu anayesema 'kwangu ni sawa sio vibayya' hana makosa. anakua ana opinion tofauti tu.
Lakini hakuna mtu hapa...
kumekuwepo na chapisho ambalio limesambazwa na chommbo cha habari cha Mwana habari kikiw na kukuu ya kuwa Israel hajafurahishwa na makubaliano ya kusitisha vita baina ya Marekani na Iran huku Israel
===
Israel haikujulishwa kuhusu mpango wa Marekani wa kufikia makubaliano ya muda ya kusitisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.