makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. Makonda: Asitokee mtu wa kuilaumu Serengeti Boys, kaa kimya kalale

    Kauli ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh.Paul Makonda baada ya timu vijana ya Serengeti Boys kupoteza fainali ya AFCON U17 mbele ya Senegal. "Asiwepo mtu yoyote wa kulaumu na kunyoosha kidole na kutafuta maneno ya kuwakebehi na kuwadhalilisha vijana hawa ambao ni mashujaa wetu...
  2. R

    Ya Makonda na wasanii imebuma, na hii ya Russia itabuma

    Itabuma tu maana ukweli una tabia moja tu: unajitetea wenyewe. Haujitaji mtu kuutetea. Unaweza kuichelewesha, lakini kuna siku utaibuka
  3. R

    Makonda: Kila Mkoa tuweke screen kubwa kuangalia heshima inayojengwa na vijana wetu Serengeti Boys, Juni 2, 2026

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda amewataka wakuu wa mikoa Nchini kote Siku ya Jumanne, Juni 2, 2026 Kila Mkoa waweke Luninga kubwa ili watu watazame fainali ya michuano ya AFCON kati ya Timu ya Taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boys na Senegal...
  4. Takukuru iingilie kati kufanya uchunguzi juu ya matumizi ya fedha yanayofanywa na Makonda na wizara ya maliasili na utalii kuleta wanamichezo nchini.

    Hizi ni pesa za walipa kodi na ni pesa ambazo zilipaswa kutumika kwa maendeleo ya Watanzania. Sasa wanaletwa akina Rio Ferdinand, wacheza mieleka wapiga masumbwi na wakata viuno kwa kigezo cha kukuza utalii. Huu ni upigaji na wizi wa pesa za umma ambao hayati Magufuli kama angekuwepo...
  5. Makonda anautaka sana Uwaziri wa Mali Asili na Utalii. Mabdailiko yajayo huenda ikawa hivyo

    Ma consultance wa Makonda hawalali yaani wana kesha usiku kucha kumpa Makonda mbinu. Makonda kaambiwa Mali asili na utalii ndiko hasa panamfaa ndiko kwenye mafuta, na ili aingie huko aanze kufanya harakati mbazo mnaziona kwa sasa hivi. Hao wastafu wa Soka anao waleta sio kwa lengo la michezo...
  6. Makonda huwezi kuwa Rais, Mafwele huwezi kuwa IGP. Bado US/EU yuko njian KUDEAL na Wauaji wa Okt 29, Wanaopiga Vita UKRISTO, Kuteka na Kuua MAPADRE

    US kadeal na MAFWELE ,sababu alousema ni "Kuwateka akina Agatha". Sasa Kuna wale walikua Wanapiga Vita UKRISTO, Waloua watu Okt 29, Wanaomfunga Lissu na kuanzisha vita dhidi ya DEMOKRASIA. Na nyinyi Jiandaeni, Tena nyinyi Kipigo Chenu ni Cha Mbwa Koko Soma pia Mafwele azuiwa kuingia...
  7. I

    Makonda na Mafwele nawashauri kwenda USA mkajifunze namna bora ya kusimamia matukio makubwa ya kimichezo

    Makonda na Mafwele ni viongozi katika taifa letu na wana wajibu mkubwa wa kusaidia mashindano ya afcon 2027 yanafanyika kwa kiwango kikubwa na ufanisi. Hivyo kwa nafasi zao nawashauri kwa nia njema kabisa waende USA kupata uzoefu wa kusimamia matukio makubwa ya kimichezo Ikumbukwe USA wana...
  8. Makonda: Nimemwambia Rio usipost. Nilimwambia aje hapa anisaidie kuscout vijana wazuri wenye vipaji vya Kitanzania

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema amemuomba Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Uingereza Rio Ferdinand, asichapishe ‘Ku-Post’ kwa sasa kuwa yupo Tanzania, akieleza kuwa hilo sio jambo muhimu ikilinganishwa na kazi aliyo nayo ya kuinua vipaji vya Vijana wa...
  9. Q

    Makonda alipopigwa Ban Magufuli alimtumbua, Samia akamrudisha, Je atamtumbua Mafwele au atamteua awe IGP.

    Magufuli alimtumbua Makonda ili kujitenge mbali na uchafu wake sidhani kama Samia atakubali kuwa mnyonge kwa Marekani kama mtangulizi wake. Nategemea Samia badala ya kumtumbua Mafwele atamteua awe IGP kamili, kuonyesha jeuri kuwa hatuingiliwi na mtu, ili kuendeleza slogan yake ya 'Who are you'.
  10. Makonda Angalipo Kwenye Mfumo Sahauni Utekaji Kuisha

    Paul Makonda anaitumia Michezo sasa kuwin his trust kwa jamii aliyoiumiza sana kipindi cha Uongozi wa Magufuli kiasi cha kupigwa ban kuingia Marekani na Serikali ya Marekani bado ana tikisa na genge lake la Mafwele kwa Utekaji nyara wa Viongozi wa vyama Pinzani ambao sasa wanawaita wana...
  11. Gerson msigwa :Serikali haiwalipi mastaa kuja Tanzania wanakuja kutokana na ukaribu na mheshiwa waziri Makonda

    Msigwa wadanganye watoto wako tu star mkubwa wa ball duniani aje bure ajilipie gharama zote za passport kuja tanzania kisa ameitwa na Makonda? Usikute hata ulaya hawamjui msukuma Makonda 😂 😂 na hilo trako lake kubwa 😂 Tusifiche ukweli tuwambie watanzania pesa zao za kodi wanalipwa hawa mastaa...
  12. M

    Makonda: Ferdinand atakuwepo kwa siku 3, atakwenda Bungeni, Arusha akiinjoi hali ya hewa nzuri

    Mliokuwa mnasema Paul Makonda huwa haongei kingereza hapa ni wapi? WAziri Makonda akizungumzia ujio wa Ferdinand ambaye amewasili Mei 19, 2026 amesema atakaa nchini kwa siku 3 na atatembelea maeneo mbali mbali ikiwemo bungeni.
  13. Wageni anaowaleta Makonda watatumika na vijana wa mtandaoni kuelezea maovu ya Tanzania

    Hamjambo wote! 1. Ni Kweli yapo mambo ambayo sio mazuri ambayo yalitokea na yanayoendelea kutokea ndani ya nchi yetu. 2. Ambayo yamelalamikiwa kwa muda mrefu Sana. Vijana na wanaharakati wamekuwa wakiimba Kila Siku mitandaoni kuhusu maovu yaliyotokea na Yale yanayoendelea kutokea ndani ya nchi...
  14. S

    Makonda amekonda akili.

    Akili yenye afya ingemwelekeza kujenga akademi za mpira walau 5 tu nchi nzima, halafu akawa anaweleta hao wacheza mpira wa zamani kuja kuwatia hamasa vijana kwenye hizo akademi za mpira. Anachokifanya sasa hivi ni kuwafanya hao wachezaji kuwa twiga wa maonesho . Maana wanakuja ili tuwatazame...
  15. Makonda: Serikali imeanza Mchakato wa Uraia Kwa Clatous Chama

    WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema serikali imeanza kuona taratibu za kumpatia uraia kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Clatous Chama baada ya kuonyesha kiwango kikubwa katika soka la Tanzania. Akizungumza katika usiku wa Tuzo za BMT 2025, Makonda alisema kiwango...
  16. Makonda anarudia yale yale ya Mobutu: kutumia umaarufu kufunika matatizo ya watu

    Waziri wa Habari, Michezo, Sanaa na Utamaduni, Paul Makonda, ameibuka na ahadi kemkem za kuwaletea Watanzania watu maarufu duniani ili kuwafurahisha. Alianza kwa kuwaahidi wananchi wa jiji la Arusha kwamba angemleta nguli wa filamu na mwanasiasa wa Marekani, Arnold Schwarzenegger, katika sherehe...
  17. W

    Babu Tale: Leo naondoka na mshahara wa Makonda na Mwana FA sijaona bajeti ya Arena ikizungumziwa

    "Waziri amezungumza hapa sijaona amezungumza bajeti ya Arena...ndugu yangu Makonda leo, kama mama anakuombea Dua nyumbani, mshahara wako naondoka nao...Mwana FA mshahara wako naondoka nao...ndugu zangu mtanisamehe Taifa kwanza udugu baadae..."- Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamis Taletale...
  18. Makonda: Nitawaleta Floyd Mayweather na Mike Tyson

    Hizo fedha za kuwaleta Floyd na Tyson kwanini zisielekezwe kwenye miradi ambayo bado haijakamilika kuna vijiji shule hazina madawati, hospital ziko mbali, barabara mbovu kupita kiasi Afrika ni bara linaloongoza kwa ulimbukeni duniani voongozi wengi wanatumia fedha nyingi kuleta watu maarufu ni...
  19. Upendeleo live: Makonda ashtukia utapeli

    Leo kwenye ngumi kuna chalii etu kapigwa live na Mfilipino ila majaji wa mchongo wakampa ushindi mbongo.
  20. Hongera BASATA kwa kuua Vipaji na Wasanii, Je, Chini ya Makonda, Sanaa itainuka tena?

    Salaam Wakuu, Kwa Ufupi Malengo ya BASATA ya kuua Vipaji na sanaa ya Tanzania yamefanikiwa. BASATA wamefanikiwa kuua Tasnia ya Burudani. Nimeenda BASATA wafanyakazi wao wamelala wengine wameenda chai. Hawana kazi tena kwani kazi washaikamilisha. Namshauri Paul Makonda(Waziri) aangalie namna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…