makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. Ni kwanini Makonda anakagua miradi iliyotekelezwa na Serikali na kisha kuikabidhi kwa CCM?

    Ndugu zangu, au mimi tu sielewi hii kitu! Nauliza ili nipate kujua, nimekuwa nikishangaa huu mkakati wa Paulo Makonda, RC Dar es Salaam. Sijawahi kuona kabla, pengine ni kwa vile sijui! Kama hiyo haitoshi, anatumia nafasi hiyo kuwadhihaki watu na kuwananga ikiwa mbunge wa eneo la mradi...
  2. RC Makonda na DC Jokate mlisubiri hadi Mke wa Babu Tale Marehemu Shammy Kombo akate Roho ndiyo mjimwambafai kuwa aliwaomba mumlelee Watoto?

    Hivi mnavyotafuta Sifa na Umaarufu Mitandaoni hasa kwa Kujimwambafai katika Kurasa zenu za Mitandao kuwa Mke wa Babu Tale Marehemu Shammy Kombo aliwaomba mumlelee Watoto zake ( wake ) mnataka kusema kuwa aliona Mumewe hawezi Kuwalea hao Watoto au Mumewe hana tena Uwezo wa Kiuchumi wa Kuwalea hao...
  3. RC Makonda kumpiga marufuku Zitto Kabwe kuita waandishi ili kuzungumzia suala lolote la Jiji la Dar

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amempa masharti Zitto kufuatana naye kwenye ziara za kukagua miradi iliyojengwa na Serikali ya awamu ya tano mkoani humo vinginevyo atampiga marufuku kuita vyombo vya habari kuzungumzia jambo lolote linalohusu mkoa wa Dar es salaam
  4. Uhuru huu waliopewa bodaboda ni takrima?

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amenukuliwa akisema; - "Hakuna Bodaboda wala Bajaji itakayokamatwa eti kisa ameingia katikati ya Jiji, mtafanya kazi zenu kwa uhuru mipaka yote ya Dar es Salaam ni halali yenu, hata mkisema tunafanya tamasha la Bajaji na Bodaboda hapa Mnazi Mmoja tutafanya, kikubwa...
  5. Hili la Makonda kuruhusu bodaboda kuingia katikati ya jiji la Dar es salaam linafikirisha sana kwa hawa wanasiasa wetu

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Makonda karuhusu boda ziingie katikati ya jiji. Zuio hili hapo mwanzoni bila shaka lilikua na maana yake pana na imekua kawaida na imekua kama sheria boda boda haziingii katikati ya jiji. Nimezumguuka miji kadhaa mikubwa hua hiki ni kitu wenzetu wengine...
  6. GE2020 RC Makonda: Waendesha bodaboda wajitokeze kuwania nafasi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu kupitia CCM

    Hiyo ndio kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ndugu Paul Makonda akiwataka waendesha boda boda wajitokeze kuchukua fomu kugombea nafasi mbali mbali katika uchaguzi mkuu kupitia CCM. Anasema CCM kuna Demokrasia ya kutosha hivyo basi ni haki yao kugombea. Maoni Yangu Hiki nacho ni kituko...
  7. J

    GE2020 RC Makonda: Viongozi wa dini ombeeni uchaguzi ili tupate viongozi Watakatifu wa kumsaidia Rais Magufuli na watoa kafara wasifurukute

    Mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda amefanya kikao na viongozi wa dini kupitia jukwaa lao la Kamati ya maridhiano. Makonda amewataka viongozi hao wa dini kuuombea uchaguzi mkuu ili wakapatikane viongozi watakatifu watakaomsaidia Rais Magufuli katika awamu yake ya pili ya uongozi. Makonda amesema...
  8. Je, ni kweli RC Paul Makonda alikuwa Dodoma usiku wa kuamkia leo?

    Heshima kwenu Wanajamvi, Nmeanzisha thread hii kudadisi au kuconnect Dot kuhusiana na Mambo yanayoendelea Dodoma. Leo Jumanne 09 Juni 2020, Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, aliandaa Mkutano na Madereva Bodaboda. Sijajua alitaka kuongelea nini, lakini ni kwamba aliwakusanya Madereva wote...
  9. L

    Msaada tunaomba Mhe. Paul Makonda atusaidie, Kampuni ya Jog imechukua fedha za wawekezaji

    Ndugu zangu, Naamini hapa jamvini watu wa aina mbalimbali na nyeti wanasoma jumbe hizi. Kampuni ya Jog Agri-Consult & Solutiions (T) Ltd chini ya wakurugenzi wake Grace Mzoo (Mkurugenzi Mtendaji) pamoja na Jackson Bwire pamoja na Mhasibu wao Cecilia Bukukura imechukua pesa za wawekezaji wa...
  10. Tetesi: Makonda Kuwa Spika 2020-2025?

    Kuna uwezekano Makonda kuja kuwekwa kuwa Spika baada ya uchaguzi mwaka huu kama Magufuli atashinda. Ndio maana ile sheria yetu kuwalinda Rais, Spika, Waziri Mkuu na Jaji Mkuu inapitishwa haraka ili kwenda kulinda mambo yake. Mimi najiuliza tu mtu ambaye hana hata course ya sheria anakuwaje...
  11. Makonda: Wanaopora mali za watu wapewe kipigo cha kimataifa

    Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Pual Makonda amewataka wananchi kuwachunga watoto wao kwani kuna wimbi la vijana waporaji pamoja wanaoiba vifaa vya magari ambalo limeuka hivi karibuni. "Uibe tekino au pochi haina kitu tutakuhesabu kama mwizi wa Dreamliner, kipigo chako ni cha Kimataifa. Wale...
  12. Daladala zapewa ruhusa ya kusimamisha wanafunzi 4 tu kwa mkoa wa Dar es Salaam

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Pau Makonda ametoa ruksa wanafunzi wanne kusimama kwenye chombo kimoja cha usafiri. Akihojiwa na kituo cha ITV, RC Makonda amesema: “Nimeelekeza watu wote wa daladala kuhakikisha wanabeba wanafunzi wasiopungua wanne (4). Kama ni level seat kwa maelekezo...
  13. B

    Shangwe la makonda mji WA rindima

    Kwa hakika watu wametapakaa kwenye shopping kubwa zote za mjini Kwa maeneo niliyotembea mpaka SASA nipo mlimani city hakuna parking kila eneo limejaa gari ndani watu ni kibao, nimetembea kariakooo hakuna sehemu ya kuweka mguu, vilevile maduka kama vunja bei yamejaa kwelikweli hakuna sehemu ya...
  14. Makonda atoa siku 10 kwa Wilaya ya Kigamboni kuhakikisha hospitali inaanza kufanya kazi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ametoa siku kumi kwa uongozi wa Manispaa ya Kigamboni kuhakikisha Hospital hiyo inaanza kutoa huduma kwa wananchi ifikapo June Mosi baada ya Majengo yote ya Hospital hiyo kukamilika. RC Makonda ametoa agizo hilo leo wakati wa ziara ya kukagua...
  15. Makonda kabla ya kuudanganya umma kuhusu punguzo la bei ya nguo, tueleze kuhusu punguzo la kodi za nyumba kama ulivyoagiza

    Ikiwa kama watanzania wanaweza kudanganywa na mtu mmoja kama mazombie na bado wakakaa kimya , basi hii itakuwa bahati mbaya sana . Paulo Makonda ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alitoa amri kwa wenye nyumba kuwapunguzia kodi wapangaji wao kutokana na ugumu wa maisha uliosababishwa na...
  16. B

    Tunamuhitaji Paul Makonda aje Jimbo la Nyamagana

    Tafadhali Mh Makonda kijana mchapakazi na hazina ya Tanzania, tunakukubali sana Wanamwanza njoo ugombee ubunge jimbo la Nyamagana wewe ni mtoto wa mwanza. Karibu sana kura zote ni NDIYO...
  17. J

    GE2020 Sasa ni dhahiri ubunge Kigamboni itakuwa Makonda (CCM) vs Yericko Nyerere (CHADEMA)

    Bila kupepesa macho naweza kusema sasa macho ya wanakigamboni yanawaangalia wanasiasa vijana wawili Paul Makonda wa CCM na Yericko Nyerere wa CHADEMA kama wagombea watarajiwa wa ubunge. Mungu awabariki vijana hawa ambao mmoja ni mkuu wa mkoa na mwingine ni mwandishi nguli wa vitabu vya mbinu za...
  18. Paul Makonda: Wananchi walioikimbia Dar warudi, Mauti hauikimbii. Siku ya Jumapili, kila mtu afanye fujo awezavyo na kupiga kelele na vigeregere!

    Akiwa katika ujenzi wa daraja la Tanzanite, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewataka wakazi wake kufanya fujo za hali ya juu ikiwepo kupiga kelele kwa nguvu zote na watu kwenda beach kama ishara ya kumpongeza Rais kwa kuishinda COVID 19. Pia Makonda amewataka watu wote waliokimbià...
  19. Pants Road Tabata Segerea na Kinyerezi Mh. Makonda amka

    Hawa watoto wamejaa mh mkuu wa mkoa weka vijana wako. Wanakata,wanapiga mapanga, wanapora, wanavunja, wanatwaa flat screen, Simu, yaan hawana huruma na korona hii wao kata funua. Jamani msaada wa patrol Error. Please correct Panya road
  20. Kilichompata Andrew Mayalla Baba wa Pascal Mayalla kutoka Kwenye system (Wasiojulikana wanaotambulika)

    Mzee Mayalla, RSO, RPC, DSO na OCD wa Mwanza wote walistaafishwa kwa manufaa ya umma, walihamishwa usiku usiku na kurudishwa kijijini (detention fulani za Nyerere). Wakati yote haya yakifanyika, bwana Pascal Mayalla alikuwa mdogo sana, hakujua hili wala lile, hadi ilipoanza kuunguruma, Kesi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…