makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. Mwenye picha ya nyumba inayogombaniwa kati ya GSM na Makonda atuwekee

    Mwenye picha ya ghorofa aka hekalu linalogombaniwa kati ya GSM na Makonda atuwekee Ova.
  2. Msanii Rashid Makwiro "Chid Benz", amshauri Makonda aboreshe Segerea akute pazuri akienda

    Sikuwa namtilia maanani sana msanii huyu awali lakini baada ya kumsikiliza nimegundua ana akili sana tofauti na wanavyo mchukulia watu wengi. Mwishoni mwa mahojiano yake katoa ushauri Kwa Makonda aache kujiingiza mambo mengi yasiyo maana ikiwemo wasanii Kwa kutaka wamsifie wakati wao wanataka...
  3. Haji Manara: Paul Makonda ulinilaza Korokoroni, acha dunia izunguke kwenye Mhimili wake

    Salaam Wakuu, Baada ya Paul Makonda kuwalalamikia Polisi kwamba kuna baadhi ya Askari Polisi wanadhalilisha Jeshi la Polisi sababu wanatumiwa na Matajiri. Haji Manara ambaye ni Msemaji wa Klabu ya mpira wa Miguu ya Yanga SC ya Tanzania, amesema atulie tuli kama ananyolewa. Haji kadai Wakati...
  4. Makonda usikubali kuachia hilo ghorofa na imani kubwa kuna nguvu kubwa inakulinda

    Kwa ufupi ni kwamba ukisalimu amri ukakabidhi hilo ghorofa kwa GSM jua daraja la umasikini linakunyemelea. Kwa ninavyowafahamu Wasukuma si rahisi kukata tamaa pambana hadi tone lako la damu la mwisho. Kuna wakubwa wanafuatilia huu mtanange kwa ukaribu zaidi. Kila la kheri
  5. Makonda: Ghalib usinilazimishe kusema uozo wako, achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua

    Wakati Wakili wa mfanyabiashara maarufu nchini, Ghalib Said Mohamed (GSM), Alex Mgongolwa ameweka wazi vielelezo vya umiliki wa eneo kiwanja namba 60 lililopo Regent Estate Kinondoni jijini hapa, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemtaka mfanyabiashara huyo kumwachia mali...
  6. Ghalib wa GSM atoa vielelezo kuthibitisha Umiliki wa Kiwanja na Nyumba. Aagiza wanasheria kumchukulia hatua anayepotosha umma

    Leo Machi 12, 2022 Wakili wa Kampuni ya GSM, Alex Mgongolwa amefanya mkutano na Waandishi wa habari kuanzia saa 6 kamili Mchana, GSM HQ Salamander Tower Samora Avenue. ==== Kilichojiri, full text: ====== Mwanasheria: Huu hapa ndiyo uthibitisho, nimesema ni kielelezo namba moja, mteja wangu...
  7. Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

    Mwaka 2019 aliwadanganya GSM wale wafadhili wa Yanga kuwa Jiwe anataka ajengewe nyumba. Kweli GSM wakamuamini na wakajenga. Baada ya hapo GSM wakawa wanataka Jiwe mwenyewe akazindue nyumba hiyo lakini Bashite akawa anawapotezea. Ndipo kwa namna yao wakamfikia Jiwe na mchezo ndipo ulipoharibika...
  8. Hadi sasa Paul Makonda hajashitakiwa popote

    Sakata la Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda lililopo Mahakamani limekuwa likiwatatiza wengi hasa baada ya awali kuonekana kwa wengi ni kama anaipotezea Mahakama kabla ya kujitokeza hivi karibuni kupitia mwanasheria wake. Kupitia Kolamu ya Yakub Na Sheria inayoandikwa na...
  9. M

    Makonda aliweka nidhamu jiji la Dar na kusafisha uchafu wa maadili uliokuwa umekithiri. Sasa hivi Dar ni kama Jahanamu

    Paul Makonda alisimamia misingi ya maadili ndio maana alidhibiti vibaka , wavuta madawa, wezi , wavuta unga na mashoga. Sasa hivi Dar wavuta unga na mashoga wamekithiri kama jahanamu. Nenda Buguruni, Tandika na Magomeni ushoga ni kama kawa. Watoto wa kiume wanajipaka lipstick. Wavuta bangi na...
  10. Paul Makonda aiomba Mahakama siku 21 ili ajibu hoja za Kubenea

    Picha: Paul Makonda Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kinondoni impe muda wa kujibu maombi yaliyofunguliwa na mwanahabari, Saed Kubenea ya kutaka kumfungulia kesi ya jinai. Maombi hayo yaliwasilishwa Machi 2, 2022 mbele ya Hakimu Aron...
  11. Paul Makonda adai kutopata hati ya wito Mahakamani zaidi ya kusikia kwenye vyombo vya habari

    Wakili wa mjibu maombi Paul Makonda, ameieleza Mahakama ya wilaya ya Kinondoni kuwa mteja wake bado hajapokea hati yoyote ya wito wa Mahakama dhidi yake, zaidi ya kuzipata taarifa hizo kupitia vyombo vya habari. Wakili huyo aliyejitambulisha kama Goodchance Regnald ameyasema hayo leo mbele ya...
  12. Video ya Paul Makonda msibani kwa baba yake GSM yazua gumzo jijini Dar

    Ila jamani nyie ! usiombee watu wakupuuze aiseee! yaani Makonda ameshiriki msiba utadhani kaingia Dar jana kutoka Kolomije , yaani watu hata kumpa salamu hakuna kabisa! hii si sawa kabisa, Ama kweli Cheo ni kama koti la kuazima . Nadhani sasai ile karatasi ya kuitwa Mahakamani...
  13. F

    Makonda na Ndugai wako chimbo gani?

    Viongozi waandamizi hawa katika Mihimili ya Utendaji na Bunge id est Makonda na Ndugai wako Oldonyo gani kusikoweza kufika mkono wa serikali? Tundu alikwepa Mahakama hadi Wakili akajiondoa na hadi Mahakama ikafuta shauri je, Makonda naye anaweza kufanikiwa kukwepa Mahakama kwa njia hiyo ya...
  14. jeshi la polisi likimtafuta Makonda

  15. Paul Makonda yupo mbugani anakula bata

    Mkuu wa Mkoa wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda amepost video fupi katika ukurasa wake wa Instagram akionyesha yupo mbugani akiwa anakula maisha. Japo hajaeleza kuwa yupo katika mbuga ipi lakini video inaonyesha ni mazingira ya mbugani, na hajaandika chochote kuelezea video hiyo ambayo...
  16. Nape, Makonda na Kubenea. Ni Coincidence au kuna uhusiano?

    Nakumbuka Makonda alivamia Clouds. Nape akaingilia kati enzi za mwenda zake. Nape akoonyeshewa Bastola na mwenda zake akamuondoa kwenye nafasi yake. Makonda akaendela kushika hatamu/patamu. Wakati huo magazeti ya Kubenea yakafungiwa enzi za Mwenda zake. Mama kaingia madarakani.... Kamteua Nape...
  17. Mashitaka dhidi ya Paulo Makonda ni njama za mafisadi, wauza unga na wapinzani wapenda uovu aliowadhibiti wakati akiwa RC Dar es Salaam

    Sasa kila kitu kimeanza kuwa wazi kuwa kumbe hili taifa lina watu wasiofaa kabisa. Ukiwadhibiti ili wasifanye uovu watakuvizia kwa kila namna ili mradi tu walipe kisasi sababu tu uliwadhibiti wasifanye uovu. Makonda aliwadhibiti wanasiasa waovu, wauza unga, wakora wa kila aina. Sasa ndio...
  18. M

    Sabaya yupo ndani, Mbowe yupo ndani na sasa Makonda anaelekea ndani

    Nilikuwa sielewi ule usemi wa sharia ni msumeno unakata ukienda na unakata ukirudi au unakata kote kote, sasa nimeelewa kumbe msumeno pia unakata nje hata ndani. Tanazania inazidi kujipambanua kuwa nchi ya haki kwa mahakama zake kutenda haki bila kuangalia unatokea wapi. Ole Sabaya mkuu wa...
  19. Picha aliyoposti Makonda siku moja baada ya Mahakama kutoa kibali cha kuchapisha Gazetini wito wa kumuita Mahakamani

    Siku moja tangu Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni kutoa kibali cha kuchapisha Gazetini wito wa kumuita Mahakamani aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda na kuubandika wito huo katika Makazi yake ya Dar na Kijijini kwao Koromije, Makonda amepost picha kwenye ukurasa wake ikimuonyesha akiwa...
  20. B

    Makonda anaufedhehesha muhimili wa Mahakama; Hana madaraka lakini Mahakama inamtii

    Mahakama ya Tanzania Sijui imekosa nguvu Kwa sababu ya chama au Kwa sababu ya serikali au Jaji mkuu ameshindwa kuwapa Imani waliopo chini yake? Raia anaitwa na Mahakama yupo Kigamboni au Masaki anagoma kufikia mahakani Wala kutuma mwakilishi na uongozi wa Mahakama upo kimya. Hakimu anadai...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…