makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. CHADEMA wamepotezwa na Paul Makonda

    Ndio maana hata maandamano yao yalidorola. Wananchi wanahitaji mtu kama Paul Makonda ambaye anawasikiliza na kuwapa comfort kwa madhira wanayoyapata. Sasa wakimponda kwa wananchi ndio wanazidi kupotea. Mbaya zaidi hata bil 2.7 za ruzuku anatafuna Mbowe na jamaa zake akina Pambalu.
  2. Barua ya wazi kwa Paul Makonda msaada wa dharula unahitajika tunakufa

    Paul Makonda baba Keagan tafadhali tunaumizwa huku. Ni miezi na miezi maji hayatoki tunaendelea kukosa pamoja na mvua na mafuriko makubwa wakati maji hayohayo yakotoka baadhi ya maeneo. Leo tumepokea hii taarifa Sisi hayo masaa ambayo maji hayatatoka.mbona sisi tuna masaa, wiki na miezi...
  3. Report ya Makonda ya kutembelea mikoa 20 ikimfikia Rais tutarajie yafuatayo kutolea!

    1. Waziri wa Afya - out 2. Waziri wa mambo ya ndani ,- out 3. Waziri wa kilimo - out 4. Waziri wa Elimu - out 5. Waziri wa Nishati - out 6. Waziri wa ardhi - out 7. IGP - OUT 8. Mkuu wa uhamiaji - out Kuondolewa Kwa :- 6. Wakurugenzi wa Halmashauri wote aliko pitia 7. DC na Das kote...
  4. Makonda awaweka matumbo joto Mawaziri

    Rukwa. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amewaambia viongozi wa Serikali, wakiwamo mawaziri kuwa si lazima wampende. Amesema akihitimisha ziara katika mikoa 20 ataanika udhaifu uliopo katika kila sekta. Makonda ameeleza hayo leo Jumanne Februari...
  5. P

    Makonda aitwa Mungu, ndio anatengezwa mwingine wa kutukuzwa na kuogopwa?

    Mwenezi Makonda akiwa kwenye ziara yake Tunduma aitwa Mungu na mwananchi aliyekuwa anatoa lalamiko lake, akishukuru kwa kusikilizwa tatizo lililokuwa lamtatizo. Ndio ameanza kuandaliwa taratibu mtu wa kuogofwa na kutukuzwa kama Mwendazake? Kwenu Wakuu.
  6. Makonda ashangaa utekaji, Hando amshangaa Makonda kushangaa

    Mwanahabari maarufu Gerald Hando naye anamshangaa Makonda kushangaa utekaji. Ni nini watu hawa wawili wanachoshangaa?
  7. Paulo Makonda ni Waziri Mkuu Mtarajiwa

    Wakuu JF wazima nimatumaini yangu, Nianze kwa kusema hivi, Hakuna asiyemfahamu aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam kipindi cha Awamu ya Tano kabla ya uchaguzi wa 2020 Kwa Huruka yake unyanyasaji na ukatili kwa wapinzani na hadi kufikia kuvamia vituo vya Habari wote ni Mashaidi. Akastaafu...
  8. Mwenezi Makonda Amtimua Mkurugenzi wa Nkasi Kwenye Mkutano Baada ya Wananchi Kumlalamikia

    Paul Mkaonda aendeleza moto wa kuwashughulikia Watendaji wababaishaji. Zamu hii amemtimua kwenye Mkutano Mkurugenzi Mtendaji wa Nkasi Baada ya Wananchi wengi Kumlalamikia Kwa madai mbalimbali. Makonda: Mwaka huu mtaota nywele 😆😆. Kazi iendelee 👇👇 https://youtu.be/9xYY1I5CxU8?si=nQs8d_rgnMpEideN
  9. B

    Imenishangaza Katibu Mwenezi Chama Kikubwa Ndugu Paul Makonda hana Agenda; Anajitwangia tu

    Yaani ukifatilia mambo ya Katibu Mwenezi Paul Makonda utaishia kucheka tu. Sometime hata kupatwa na hasira au huzuni. Katibu Mwenezi hana ajenda wala hajajipanga. Anajitwangia tu. Tumesikia Mwanasheria akilalamika kuhusu utendaji wake. Si yeye tu wapo wanachama wengi wenye heshima zao ndani...
  10. T

    Wanaobeza Matendo na kauli za Makonda, Nchimbi na sasa Kinana wajiulize tena mara mbili....

    Nimefuatilia huu mjadala, kweli kuna tatizo kwa jinsi tunavyochukulia matukio, jinsi tunavyochukulia matamshi. Kilichonishangaza ni badala ya wapinzani na mashabiki wao kuiona hatari iliyo mbele yao, jinsi hawa jamaa wa CCM walivyojipanga strategically na systematically kuwin the battle and mind...
  11. Karibu sana Mwenezi Paul Makonda ndani ya Songwe

    Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Songwe wanatarajia kumpokea Katibu Mwenezi Taifa ndugu Makonda kuanzia hapo kesho tarehe 06/03-2024. Ukiwa kama mkazi wa Mkoa huu wenye fursa nyingi,unakaribishwa kuhudhuria mikutano ya mwenezi wetu taifa. Karibuni sana,Kidumu chama cha...
  12. Paul Makonda amuweka Afisa Madini wa Katavi kikaangoni

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amemtaka Afisa Madini Mkoa wa Katavi, Mhandisi Andrew Mwalugaja kuhakikisha anafuata sheria na taratibu za kuhakikisha utoaji leseni za uchimbaji madini unazingatia uzalendo huku uongozi wa mkoa ukisisitizwa kumaliza mgogoro...
  13. Mtoto Alhaji wa Makonda anawakilisha kundi kubwa kwa mamilioni ya watanzania.

    Naanza kwa kuwachana watanzania wenzetu hasa makundi haya muhimu . 1. Wabunge wanaojiongezea malipo yasiyo na uhusiano na Hali halisi ya watanzania 2. Viongozi kama mawaziri na makatibu wakuu mnaotumia nafasi zenu hadi kutuhumiwa kununua majumba Dubai na Africa ya kusini, mikocheni nk 3...
  14. Kinana , Nchimbi na Makonda Tayari wameingia kwenye mfumo wa CHADEMA , sasa anayesubiriwa ni Samia tu mchezo uishe

    Nimefuatilia hotuba ya Kinana aliyoitoa kwa Wanaccm Wenzake , katika kile kinachoitwa Kumbukumbu ya kuzaliwa kwa chama hicho , kwa zaidi ya 95% hotuba ya Kinana iliihusu CHADEMA . Hivi ndivyo alivyofanya Nchimbi kabla ya kuishiwa maneno , na ndivyo anavyofanya Makonda kote anakopita ...
  15. D

    Hivi Wakuu wa Mikoa Wabunge na mfumo rasmi wa serikali umeshindwa kabisa kutatua matatizo ya wananchi mpaka aje Makonda mwenezi. Kuna kasoro

    Mimi nimekuwa nikifuatilia kwa karibu kinachoendelea kuhusu ziara za Makonda mikoani, na zoezi la kusikiliza kero mbalimbali za wananchi. Kimsingi hali inafikirisha sana, na hapa Mwanasheria Mkuu wa serikali ameliona hili. Tuna wakuu wa Wilaya,wakuu wa mikoa , wabunge Takukuru nk wote kweli...
  16. Video: Fatma Karume Adai Kuna Sustemic Failure Ndiyo Maana Wananchi Wanamfuata Makonda

    Moja kwa moja fungua Clip. Anasema Mwanasheria Mkuu Ushauri wake ni kupoteza raslimali fedha tu. Halafu wananchi kumfuata Makonda ni udhalilishaji wa wananchi.
  17. Wananchi kukimbilia kwa Makonda kueleza kero zao je Wakuu wa Wilaya, Wakuu wa Mikoa wameshindwa majukumu yao?

    Tumeona mama katoka Tabora anasema Tabora alikosa nafasi akaenda kahama akakosa nafasi, hakuchoka akaenda mpaka kigoma ndio akapata nafasi akaeleza kero zake kwa mh Paulo makonda swali fikirishi sana shida ipo wapi je wanainchi hawana imani na viongozi waliopo katika halmashauri zao ambao...
  18. Nilichokiona kumhusu Mwenezi wa CCM Makonda katika Gazeti la MWANANCHI la Leo kakisema Yeye kweli?

    "Nawataka Polisi kuachana na hii Lugha ya Kuwaambia Ndugu ambao huenda Polisi kutafuta Watu Wao waliotekwa na Wasiojulikana kuwa bado wanaendelea na Uchunguzi kwani kwa kufanya hivi wanasababisha Watu kuwa na Hisia zingine mbaya kwa Serikali na Vyombo vyake Nyeti kuwa ndiyo IMETEKELEZA hilo"...
  19. R

    Makonda na Nchimbi wapendekeza wakuu wa wilaya, mikoa, RAS na DED; utenguzi, uhamisho na utenguzi kufanyika hivi karibuni

    Kila kiongozi anayeingia ofisini kwenye chama jambo la kwanza ni kupendekeza kutengua na kuteua. Tayari wawili hawa wamewasilisha majina ya watu wanaotamani wapewe nafasi waonje keki ya Taifa. Kufuatia utamaduni huu wa kila mtu kumpa shavu rafiki yake, nawajulisha wakuu wa mikoa, wilaya...
  20. R

    Mwanamke na mwanaume waliosimamishwa kwenye mkutano na Makonda siyo wanandoa na wala hakuna anayewafahamu. Walitokea wapi?

    Yule mama aliyesema ametengana na mme wake na kwamba anakosa pesa ya kula imebainika ni bosheni ya mzee baba kutafuta kick. Kwanza hawa wafu siyo wenyeji wa kanda ya ziwa, lakini pia yule mwanamke na mwanaume inasemekana walikuwa na usafiri wao kwenye mkutano ila mwanamke akawa anajidai hana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…