makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. LGE2024 RC Makonda: Piga kura ondoka katafute pesa, kulinda waachie mawakala

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda baada ya Wananchi kutimiza wajibu wao wa Kikatiba wa kuchagua viongozi wasipoteze muda wa kulinda kura kwani sio wajibu wao. "Achana na Habari ya kukaa kituoni kulinda kura hiyo ni kazi ya mawakala wa vyama vya siasa wewe kapige kura ukimaliza ondoka nenda...
  2. Nabii Hakubaliki Nyumbani! Godbless Lema ni Nabii? Alianza na Ndoto, Ikatimia!, Akaja na Sabaya, Ikatimia!, Sasa ni Makonda, Itatimia? Asipuuzwe!

    Wanabodi Tukubali tukatae watu hatulingani, kuna watu wana nguvu fulani za unabii kama wa upako fulani, wakilisema jambo, linakuja kutimia!, kauli zao ni ama zina power ya umbaji ndani yake, wakilisema jambo kauli zao zinaliumba hilo jambo linakuja kutokea, ama wanakuwa wamepewa maono...
  3. LGE2024 Godbless Lema: Makonda ni mfungwa mtarajiwa, ni lazima ataenda jela. Hawezi kunifanya chochote, hawezi hata kuua panya nyumbani kwangu!

    Wakuu, Kama mnakumbuka Makonda kujitokeza na kujisafisha kwa kusema kuwa hakuhusika katia kumpiga risasi Tundu Lissu, Godbless Lema leo amejibu mapigo. Siku ya leo, Lema amesema kuwa ipo siku Makonda ataenda jela kwa kuhusika kumpiga risasi Tundu Lissu na kuongeza kuwa Makonda alijibu kwa...
  4. LGE2024 Makonda awaomba viongozi wa dini kuhubiri amani uchaguzi wa serikali za mitaa

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewaomba viongozi wa dini mkoani humo kutumia nafasi zao kuhamasisha waumini wajitokeze katika uchaguzi wa Serikali za mitaa na amani itawale. Makonda amesema hayo leo Jumanne Novemba 19, 2024 alipozungumza na viongozi wa dini wa madhehebu kuelekea uchaguzi...
  5. PreGE2025 LGE2024 Baada ya kuwasikiliza Makonda na Kigaila kisiasa na kiusalama Tundu Lissu inatakiwa ahamie CCM au aache siasa .

    Binafsi huwa natamani sana siku moja kumuona Tundu lissu akiwa na mafanikio makubwa sana katika siasa sababu naamini ni mzalendo na msema kweli. Lakini kwa namna nilivyowasikiliza Makonda na Kigailla 1. Inawezekana Tundu lissu bado hana uhakika nani alihusika na shambulio lake 2 . sehemu salama...
  6. Makonda ajibu tuhuma za kumpiga risasi Tundu Lissu. Asema Lissu ana matatizo ya akili, aende Milembe

    Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, leo akiwa anawasilisha ripoti yake ya miezi 6 ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Makoa ameamua kujibu mapigo. Kama mtakumbuka, wiki chache nyuma Lissu alimtuhumu Makonda kuhusika na jaribio la kumuua lililofanyika mwaka 2017. Akiongea na wanahabari leo...
  7. Makonda: Kulikuwa na attempt ya mara tatu ya kumwagiwa tindikali na hilo la sumu liweke tu ndani

    Makonda akijibu swali la Zembwela baada ya kuulizwa uvumi wa kuwa hakuwa likizo ya kawaida bali ilikuwa matibabu… "Kuna kipindi niliokolewa na kiongozi mkubwa kabisa wa chombo kwa kuniambia hapo ulipo chomoka. ilikuwa ni attempt ya mara tatu ya kumwagiwa tindikali, kwa hiyo na hilo la sumu...
  8. Makonda: Nilimuambia Lissu kama utani asimshambulie Mwigulu kwa sababu ni Waziri anayetoka "kwao" na amefuata maelekezo yangu

    Katika mahojiano yaliyofanyika mkoani Arusha ambapo Mkuu wa Mkoa huo Mheshimiwa Paul Makonda alisema alimuambia kama utani Tundu Lissu asimshambulie Mwigulu Nchemba kwa sababu ni Waziri anayetoka kwao (Singida) na Lissu alifuata hayo maelekezo yake kwa maana hakuna hata siku moja amewahi...
  9. Video: Kikeke ambana Makonda kuhusu mawaziri kumtukana Rais Samia, Makonda anapiga chenga tu

    Soma pia : Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri Video: Habari mpya
  10. Mfano wa Mr. Manguruwe; Ni kweli Makonda hana uelewa wa maana ya haki za binadamu?

    Nimesikiliza sehemu ya mahojiano kati ya mkuu wa mkoa wa Arusha Makonda na waandishi wa habari. Jambo mojawapo aliloulizwa ni tuhuma dhidi yake za ukiukwaji wa haki za binadamu, majibu yake yameniacha hoi kwa mshangao. Makonda anasema yeye ni mtetezi mkubwa wa haki za binadamu, mifano aliyoitoa...
  11. M

    Paul Christian Makonda, Mwamba wa Afrika ajaye.

    Hongera sana mh. RC wa Arusha, Paul Christian Makonda. Binafsi nakukubali sana hasa kwa mambo makuu 5 ambayo ni:- I. Ubunifu II. Usimamizi III. Ufuatiliaji IV. Ujasiri V. Kutokukubali kushindwa. Hongera sana kwa kufuata nyayo za Mwamba wa Afrika, JPM. Tulimpenda sana yule Mwamba. Mungu...
  12. Paul Makonda mbali na mapungufu yote ya kibinadamu huyu ni kiongozi mbunifu sana, anatufaa 2030 awe Rais

    Jinsi nchi ilipofika, imekuwa shamba la bibi kila mahali, watu wana ina pesa,sana , ufisadi, uvivu,uzembe, namwona Paul makonda angetufaa sana kama angeshika nchi 20230. Ili aweze kurudisha uzalendo ndani ya nchi yetu. Ukimsikiliza speech yake ya leo ya arusha utajua kuwa ni kiongozi bora. Leo...
  13. Paul Makonda: Sijawahi kuvamia Clouds Media. Nimetumika sana na Clouds, Ruge alikuwa ananipigia sana simu

    Wakuu, Inaonekana leo Makonda ameamua kusema yote ya rohoni Akiwa anaongea rasmi na wanahabari, Makonda amesema kuwa clip inayomuonesha akiwa anaingia na bunduki Clouds ilitumika vibaya kupotosha na kwamba Clouds wamemtumia sana yeye kuliko yeye alivyowatumia. "Hakuna kituo chochote...
  14. D

    Makonda si ungesema umeandaa press conference ya kujijenga kisiasa?

    Nafuatilia mkutano wako ITV kwa wananchi uliouita ni Taarifa ya miezi 6 ya utekelezaji wa majukumu ya Serikali mkoani Arusha. Lakini ninachosikia kupitia kwa waandishi kina Zembela uliowaandaa, maswali mengi kuhusu Matendo Yako binafsi kama Makonda. Hakika ungesema uko kwenye kampeni za...
  15. PreGE2025 Makonda: Zuio la kusafiri Marekani lilikuja sababu ya kupinga masuala ya ushoga

    Wakuu, Makonda akiwa katika mkutano wa kuelezea miezi 6 ya makonda ameaulizwa swali kuhusu ban yake ya Marekani kwamba hilo linaasharia kabisa Makonda kuhusika na masuala ya utekaji na uvunjifu mwingine wa haki za binadamu. Makonda akijibu swali hili amesema kelele hizi zilianza alipoanzisha...
  16. N

    RC Chalamila, Umeshindwa kujifunza kwa Paul Makonda na Petro Magoti?

    Hivi ni wewe ULIKUWA Kagera wakati wa tetemeko la ardhi wakati ule...naomba nikumbushwe, sikumbuki kama tayari ULIKUWA siasani. Ukaenda Kagera dege la precision likaanguka pale kwenye maji, palikuwa na uchelewaji mkubwa wa kuokoa majeruhi na Vifo (ndipo walipozaliwa nyota wapya kina Majaliwa)...
  17. B

    Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda kuzungumza na wanahabari kuhusu Ripoti yake ya Miezi Sita

    RIPOTI YA MIEZI 6 YA MHE. PAUL MAKONDA (MKUU WA MKOA WA ARUSHA) Mhe. Paul MAKONDAAtazungumza na Waandishi wa Habari Jumapili Novemba 17, 2024 Ukumbi wa Simba Hall AICC - ARUSHA Kuanzia Saa 9 Kamili Mchana. TUKIO HILI KUBWA LITAKUA LIVE KUPITIA @WASAFITV NA YOUTUBE WASAFIMEDIA ...
  18. Yanga kwanini msijenge uwanja wenu (Stadium) kwenye eneo mlilopewa na Rc Makonda enzi hizo?

    Yanga mlipewaga eneo na Rc Makonda akiwa mkuu wa mkoa wa Dar. https://www.mwananchi.co.tz/mw/michezo/yanga-kujenga-viwanja-vitatu-eneo-la-makonda-2976210 Hilo eneo bado lipo. Hayo mabilioni ya kununua wachezaji wazee mngetumia kuendeleza eneo alilowapa Makonda, huko Kigamboni. Na mgekuwa na...
  19. Donald Trump kabla ya Uchaguzi alijikabidhi mbele ya Mungu

    Donald Trump kabla ya Uchaguzi alijikabidhi mbele ya Mungu. Ni sawa kabisa na yule kiongozi pendwa mara kwa mara tunapomuona misikitini na makanisani alijikabidhi kwa Mwenyezi Mungu. Inapendeza sana, hata CHADEMA huwa tunaanza na Mungu. Siku njema. Soma: Donald Trump ashinda Urais wa...
  20. RC Makonda aagiza Wazee na Viongozi wa Dini kutopanga foleni kwenye ofisi za Umma

    Wakuu kumekucha salama? Huko Arusha Mkuu wa Mkoa huo Paul Makonda ameagiza kupewa kipaumbele kwa Viongozi wa dini na Wazee wote wa Mkoa wa Arusha pale watakapokuwa kwenye Ofisi zote za Umma Mkoani humo kwa ajili ya kutafuta huduma. Mbele ya waumini wa Msikiti Mkuu wa Bondeni Jijini Arusha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…