makali

Makali P. Aizue (born 1977) is a Papua New Guinean former professional rugby league footballer who last played as a prop for Doncaster in Kingstone Press League 1.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    KERO: CHALAMILA: HATA SISI TUNAOISHI KARIBU NA MISIKITI TUNA MATESO MAKALI YA MAKELELE MARA TANO KWA SIKU

    Wakazi tunaoishi maeneo ya jirani na misikiti tunakujulisha kwamba tunkabiliwa na changamoto ya kelele zinazotokana na shughuli mbalimbali za ibada(mara tano kwa siku), hali hii imekuwa ikiathiri kwa kiasi kikubwa maisha yetu ya kila siku, ikiwemo kupumzika, kufanya kazi, na kupata usingizi wa...
  2. L

    TETESI: Baadhi ya Viongozi Wa Dini Wamefura hasira Baada ya hukumu ya Lissu. Kanisa Kutumika Kinyemel Kuishambulia Serikali na Rais Kwa Matamko Makali

    Ndugu zangu Watanzania, Hizi ni Tetesi ambazo nimepewa kuwa kuna Baadhi ya Viongozi wa Dini Wamefura kwa hasira kwelikweli baada ya kutoka kwa hukumu ya Lissu. Ni katika msingi Huo wanapanga kulitumia kanisa ama Mwamvuli wa Kanisa Kutoa Matamko makali makali yenye lengo la kuishambulia...
  3. O

    Vuta-Nikuvute Shule ya Upili ya Nyabisase: Maafisa Waokolewa Kufuatia Makabiliano Makali na Watahiniwa

    Tukio la kusikitisha na lenye kuhatarisha usalama lilitokea katika Shule ya Upili ya Mchanganyiko ya Nyabisase, iliyoko eneo la Bobasi, Kaunti ya Kisii, wakati wa zoezi la kawaida la usimamizi na ufuatiliaji wa mitihani ya kitaifa ya KCSE. Wakati wa tukio hilo, mamia ya watahiniwa wa KCSE...
  4. Zack Abdul

    SERIKALI YAENDELEA KUCHUKUA HATUA KUPUNGUZA MAKALI YA BEI ZA MAFUTA NCHINI

    Serikali imesema inaendelea kuchukua hatua za kupunguza makali ya ongezeko la bei za mafuta nchini, ikiwemo kutoa ruzuku ili kulinda watumiaji na kupunguza athari za gharama za mafuta kwa shughuli za kiuchumi. Hatua hizo zinalenga kuhakikisha kuwa, pamoja na changamoto zinazoendelea katika soko...
  5. W

    Dakika 20 Za Uharibifu - Jiji La Kisumu Laonja Makali ya Mvua

    Mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali ilikumba sehemu za jiji la Kisumu Alhamisi, Oktoba 8, na kusababisha uharibifu wa magari, miti, mabango na majengo, huku mamlaka zikiwataka wakazi wa maeneo yaliyo katika hatari ya mafuriko kuchukua tahadhari na kuhamia sehemu salama inapohitajika...
  6. M

    Chondechonde: Watanzania ninajua mnahasira kali juu yaliyotokea Oktoba 29. Punguzeni makali ya vibuyu dhidi ya polisi

    Elekezeni mashambulizi na kwingineko👇
  7. Parabolic

    Kampeni ya usafi Dar es Salaam: Chalamila na Mpogolo Watoa Maonyo Makali, Faini na Jela Kuwangoja Wachafuzi

    Katika kutekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hassan la kufanya usafi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa mwezi mmoja kwa wafanyabiashara wa eneo la Kariakoo kuondoa msongamano kwenye barabara zinazotakiwa kupitisha magari, sambamba na kusafisha mitaro iliyojaa majitaka...
  8. ngara23

    Hakuna El Nino bali Kuna ukame makali, TMA wamegonga nje

    Mtaisubiri El Nino na mvua za masika hamtaziona bali itakuwa kinyume chake TMA waongeze weledi UTABIRI wao utakuwa sio wa ukweli Hii taasisi siiamini Jiandae Kwa ukame, njaa, tatizo la umeme kutokana na kupungua kina cha maji Hakuna Elnino wala El konyo
  9. Yoda

    Hijabu haina maana, tamaa ya wanaume wengi ni makalio, matiti na sura

    Hakuna mwanaume anayejali nyweli au kichwa cha mwanamke. Mwanamke hata awe na kichwa kizuri na nywele za peponi hisia za wanaume zinaanzia kwenye makalio, matiti na sura. Dini imewafanya wanawake kituko na hamnazo kufunika kichwa huku wameyaachia makalio yanatikisika yakivutia wanaume.
  10. Mwanadiplomasia Mahiri

    Orodha ya wanasiasa walioonja makali ya Samia

    Uzi huu ni kwaajili ya kuwakumbuka wanasiasa wote ambao kwa namna fulani wameonja joto la Rais Samia kwa kuwekwa kando ya madaraka. Naanza na Balozi Emmanuel Nchimbi, Spika Job Ndugai. Endelea na orodha…
  11. O

    Muswada Mpya Waweka Masharti Makali kwa Wanaotaka Kufungua Shule Kenya

    Muswada wa Sheria ya Elimu ya Msingi, 2026 unapendekeza masharti mapya na makali kwa watu au taasisi zinazotaka kuanzisha na kuendesha shule za msingi na sekondari nchini Kenya. Kwa mujibu wa muswada huo, mwombaji atalazimika kuwasilisha ombi kwa County Education Board, ambayo itatathmini iwapo...
  12. O

    Mswada Mpya Waweka Masharti Makali kwa Wanaotaka Kufungua Shule Kenya

    Muswada wa Sheria ya Elimu ya Msingi, 2026 unapendekeza masharti mapya na makali kwa watu au taasisi zinazotaka kuanzisha na kuendesha shule za msingi na sekondari nchini Kenya. Kwa mujibu wa mswada huo, mwombaji atalazimika kuwasilisha ombi kwa County Education Board, ambayo itatathmini iwapo...
  13. K

    Lipo jitu lenye miguvu na mapembe makali linaloamua mustakabali wa nchi yetu linauwa linajeruhi ni hatari kwa kila mtanzania

    Assalam alaykum Jitu hili sio la kufanyia mchezo litangamiza roho za watu wengi mno Jitu hili ni hatari hata kwa viongozi wakuu wa nchi, hizi lawama anazopewa mama yetu ni bure hili jitu ndilo linalofanya hiki mnachokiona hata mama mwenyewe hana cha kuliambia Rais aliyepita...
  14. Oscar Wissa

    Mashindano makali zaidi kuliko ya kombe la dunia

    Wakati mashindano ya Kombe la Dunia yanaendelea na mamilioni ya watu wakifuatilia kwa hamu kuona nani atainua kombe, nakukumbusha kwamba mashindano makali zaidi duniani hayafanyiki katika viwanja vya michezo bali ndani ya moyo wa mwanadamu. Ni mashindano kati ya mwili na roho. Mwili unatamani...
  15. ndege JOHN

    Kuangalia kwa muda mrefu porn kunaweza kusababisha watu kuendelea kutafuta maudhui makali zaidi na mwisho kujaribu vitendo vya ushoga

    hili jambo jamii haitaki kulisema sijui inaona aibu kuliongelea kwa vile wenye indusrty yao watasema hakuna ushahidi wa kisayansi lakini amini usiamini matumizi ya porn yanaweza kusababisha kile kinachoitwa "escalation", ambapo mtumiaji huanza na maudhui ya kawaida lakini baada ya muda...
  16. Echolima1

    IDF bado inawapelekea moto makali magaidi wa Hezbollah huko Lebanon!!!

    Magaidi wa Hezbollah bado wanapata kipondo ki Takatifu kutoka majeshi hodari ya Israel!!!
  17. Mafyangula

    Mapigano makali yazuka Bamako huku waasi wakitwaa ngome ya Kidal

    Mashambulizi ya helikopta ya kijeshi yanaendelea katika mji mkuu kufuatia msururu wa mashambulizi ya alfajiri yaliyolenga viongozi wa karibu wa utawala wa kijeshi (junta). Mapigano makali na milio ya risasi ilizuka mapema Jumamosi katika maeneo ya pembezoni mwa mji mkuu wa Mali, Bamako, pamoja...
  18. a sinner saved by Christ

    Majaribu makali anayopitia mwanadamu hapa duniani. (hii dunia ina majaribu sana)

    13 Yer 17:5 SUV BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA. Mtumishi wa Mungu mmoja alianzisha huduma yake ya kiroho kanisa katika moja ya vijiji(Ukerewe)..eneo hilo lilikuwa na nguvu za giza kwa kiasi kikubwa...
  19. Mad Max

    Liverpool na Manchester City Mtauanza Mwaka Mpya kwa Maumivu Makali

    Man City leo hamtoki kwa Sunderland na Liverpool mtashangazwa na Leeds United hapo Anfield. Mtamjua Calvert Lewin ni nani leo?
  20. digba sowey

    Bada ya ukombozi D9, Kama Uganda wasivyompa heshima Idd Amin Dada,nashauri Samia na awamu yake isikumbukwe,mabaya yake yasimuliwe vizazi na vizazi.

    Wakuu hamjambo!!? Huku tukielekea kwenye maandamano ya amani D9 nikiwa naamini awamu hii nduli Samia anaenda kuondoka kabisa, nashauri rais wa awamu ijayo na kama taifa hatupaswi kumtambua huyu Samia kama rais aliye wahi kuitawala Tanganyika kutoka na unajisi wa nchi yetu alioufanya...
Back
Top Bottom