majungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. incredible terminator

    Wanaume msiokunywa pombe acheni majungu. Tunaokunywa tunawazidi kila kitu kuanzia pesa hadi maisha; njaa zenu zisiwape viburi, hamna chochote

    Habari za mda huu, Hivi kwanini hawa washikaji wasiokunywa wanatuchukulia makolo? yaani hawa washikaji wasiokunywa pombe sijui huwa wanatuchukuliaje asee, kwanza hamna wanachotuzidia ni njaa tu zinawasumbua ila cha ajabu wanadharau sana hawa washikaji, yaani hawana nyumba, hawana gari wala pesa...
  2. Y

    Misiba ya sasa inasikitisha sana

    Natumai hamjambo wakuu. Wakuu, misiba ya sasa imekua majanga sana, yaani badala ya watu kwenda msibani kusitiri na kuwafariji wafiwa badala yake misiba imegeuka vijiwe vya majungu na kuwajadili wafiwa A-Z Sasa mi najiuliza kuna manufaa gani kuwajadili wafiwa tena in negative way? Zamani...
Back
Top Bottom