majukumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BIOTOXINS

    TISS, JWTZ na Jeshi la Polisi ni vyombo vya dola? Je, vinaweza kutumika kisiasa badala ya kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Katiba .?

    Vyombo hivi vina wajibu wa kulinda taifa, usalama wa wananchi na mamlaka ya kikatiba. Hata hivyo, kumekuwa na maswali na tuhuma zinazohitaji uchunguzi kuhusu mipaka ya ushiriki wake katika siasa. *Baadhi ya viongozi wa vyombo vya dola kuteuliwa kuwa Wakuu wa Mikoa au Wilaya, hali inayozua...
  2. Jaji Mfawidhi

    Kejenga ni Kuingilia Majukumu ya Shirika la Nyumba/NHC.

    Imeibuka tabia ya Vijana wakiata tu kazi wanawaza kujenga, iwe kwa kukopa, kupiga mizinga,, kulelewa ama kuiba. Imeibuka tabia ya wazee wastaafu kukopa ili kujenga, huo ni woga wa maisha na kuingilia majukumu yasiyo yao. Shirika la Nyumba Taifa ambalo awali ilikuwa Msajili wa Majumba, kazi yake...
  3. C

    Paul Chacha: Majukumu ya Peter Msigwa akiwa CCM ilikuwa ni kubeba simu ya Dkt. Nchimbi

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Idara ya Oganaizesheni, Paul Chacha, amesema kuwa Peter Msigwa alikuwa msaidizi wa Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi, akieleza kuwa majukumu yake yalihusisha kumsaidia kiongozi huyo katika shughuli mbalimbali, ikiwemo...
  4. M

    Ni mwaka wa tatu na majukumu yamemzidi bado karidhika na mshahara ule ule! Chunguza vizuri kashaudukua mfumo wa biashara yako

    Na ndio sababu kubwa huwa inawafanya wafanyakazi wengi madukani ama kwenye makampuni kuacha kazi wakishaona bosi anaweka mifumo ya kubana mianya
  5. M

    Raiffa: Mwanamke anayelea watoto pekee, amebeba majukumu ya watu wawili katika moyo mmoja! Aheshimiwe

    "Wanawake ambao saa yao ya kuamka ni kilio cha mtoto. Wamefundishwa kuwa mama lakini maisha yakawalazimisha kuwa baba pia. Wanabeba mabegani mtoto, mkononi mfuko wa mboga, moyoni deni na usoni tabasamu ambalo halisemi ukweli. Jamii imekuwa na haraka ya kuwahukumu kuliko kuwasaidia. "Mumeo yuko...
  6. M

    Mwanaume wa Dar akitimiza majukumu yake

    Mungu awasaidie kwa kweli.
  7. BIOTOXINS

    Ukweli Mchungu: Mwanaume akifa na kuacha mali, mwanamke halii maumivu ya kifo, analia kupoteza "Boya" na hofu ya majukumu

    Wakuu salama, Leo nataka tuguse ule ukweli mchungu ambao jamii yetu inaukwepa sana, hasa linapokuja suala la misiba ya ndoa zetu za kiafrika. Hivi mshawahi kukaa chini na kuchunguza kwa makini vilio vya wanawake wengi wa zama hizi waume zao wanapofariki? Ukichunguza kwa jicho la ndani kabisa...
  8. Daraja Makofia

    Wakuu wa Mikoa wana Majukumu gani mpaka Mawaziri wagawiwe Mikoa?

    Leo nimeona yule Kiranja wa mambo ya "Viburudisho" yupo kwenye Sato na Sangara akitoa maagizo lukuki kuhusu maendeleo ya eneo hilo. Nimepata shida sana kuelewa job descriptions za Mawaziri na Wakuu wa Mikoa. Ina maana kuwa Wakuu wa Mikoa wameshindwa kusomamia maeneo yao mpaka Mawaziri wagawiwe...
  9. RoadLofa

    Hivi ukigundua mtumishi mwenzako anafanya majukumu yako ambayo hayamhusu kazini utafanyaje?

    Wakuu mambo vipi ? Mimi ni mkaguzi wa ndani taasisi ya umma x kwenye unit ya internal audit sasa katika kutekeleza majukumu yetu kumetokea bifu la kimya kimya kati ya DG na CIA na ilo bifu limetokea kutokana na hoja za ukaguzi ambazo uwa anaandika CIA upelekea DG kuhisi anakamiwa na ivyo...
  10. Kazanazo

    Ukipangiwa majukumu kazini na mwanamke utakoma, wanawake sio wafanyaji kazi kabisaa

    Omba usipangiwe majukumu na jinsia ke utajuta! Hiyo kazi utaifanya mwenyewe Ni hayo tu
  11. A

    KERO Watumishi wa Hospitali ya Kinyonga, Wilaya ya Kilwa tunakumbana na changamoto nyingi, tunaomba msaada wa Serikali na TAKUKURU

    Habari za majukumu, wanajukwaa la JamiiForums. Tunaomba mtupazie sauti sisi watumishi wa Hospitali ya Kinyonga, Wilaya ya Kilwa, Mkoa wa Lindi, kuhusu changamoto mbalimbali za kiutumishi na kiutawala zinazotukabili. Kwanza, watumishi hatujawahi kulipwa stahiki za nauli za likizo. Aidha, fedha...
  12. Gunner11

    Kwanini wanaume tusi reverse majukumu sasa.. Ili heshima ije?

    Kuna mwamba mmoja nimejikuta nimeikubali mindset yake, Na ningependa sisi vijana ambao ndo tunaelekea kuvuta majiko, tuwe nayo ili tuweze kudumu kwenye ndoa. Tufanye wake zetu watarajiwa watufanyie wao vitu sio sisi tu ndo tuwe providers, na ikiwezekana sisi tuwe receiving end.. Yaani mwanamke...
  13. Wauzaji wa Container Tz

    Jamii inapaswa kutambua kuwa, Kumshambulia Askari akiwa katika majukumu yake ikithibitika, Mahakama inaweza kukufunga MIAKA 5 JELA

    Jamii inapaswa kutambua kuwa, Kumshambulia Askari akiwa katika majukumu yake ikithibitika, Mahakama inaweza kukufunga MIAKA 5 JELA
  14. A

    KERO Kumekuwa na changamoto kubwa kwa Wazalishaji wa mbegu wa ndani, na hivyo wengi kuagiza kutoka nje

    Imekuwa changamoto kubwa kwa wazalishaji wa mbegu wa ndani na wakulima wa Tanzania. Inawezekanaje jukumu la msingi la taasisi husika kutotekelezwa ipasavyo? Wazalishaji wa ndani wanakabiliwa na changamoto ya kupata mbegu za vizazi kutoka mamlaka husika kwa ajili ya kuzalisha mbegu za...
  15. Ponjoro wa Kinondoni

    Juma Ayo ana IQ ndogo sana. Inakuwaje Crown Fm wanampa majukumu yanayozidi uwezo wake?

    Nimesikiliza kwa makini mahojiano kati ya watangazaji wa Crown Fm na mgeni wao mheshimiwa genius professor Mangungu ambaye ni boss wa Simba Sports Club. Nilichogundua ni kwamba Mheshimiwa genius professor Mangungu ana IQ kubwa mno na huyu Juma Ayo hana uwezo kabisa wa kuhoji kichwa kama...
  16. Eli Cohen

    Kujichua ni kawaida na afya. Watu wengi huendelea nayo hadi utu uzima ila pale inapokuwa uraibu hadi kususia sex na majukumu basi shida unakuta ni hii

    Sio kwamba eti ni punyeto ndio imefanya umeaanza kuona hakuna utamu katika sex , no , ni afya ya akili ndio director wa hii movie, unakuta mtu anachakata mikono kila muda kwa kutumia energy zake zote na akifanya hivi akili yake hutulia tuli kuliko kama angepata jagina. Usicheze na kitu kinaitwa...
  17. Masalu Jacob

    Huu mfumo wa utawala tuuchukue ndio uwe mfumo rasmi wa uongozi na utawala

    Habari Tanzania !. Naomba niweke mawazo yangu hapa jukwaani. Ikiwapendeza nawaomba mtumie huu mfumo ili mfanikiwe maendeleo; 1. Madiwani ndio waiongoze halmashauri; (a) Mwenyekiti na Msaidizi wake wa Halmashauri wawe raia wa kawaida wasomi ngazi ya Shahada moja na kuendelea asitokane na...
  18. A

    KERO DED wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga hatulii ofisini na hakaimishi majukumu, tunasota kupata huduma yake

    Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Wananchi na Watumishi tunapata changamoto sana hasa tunapohitaji huduma ya Mkurugenzi (DED), zinaweza pita siku 5 hupati huduma unaambiwa hayupo na hajakaimisha mtu. Kinachokera zaidi ni kuwa Halmashauri ni mbali kiasi kwamba hizo siku zote unaweza tumia zaidi...
  19. Nyankurungu2020

    Picha: Yuda Iskariote akiwa airport JKIA akitekeleza majukumu yake.

    Yule mbunge kutoka Zanzibar akiiona hii picha anasemaje moyoni kwake?
  20. A

    DOKEZO Wauguzi wenye Shahada Tanzania tunafanya kazi ngumu zisizoendana na malipo yetu. Inakatisha tamaa sana

    Salamu Wakuu wa JamiiForums, Sisi ni wauguzi wenye degree (Shahada ya kwanza) nchini Tanzania tunalalamikia hali yetu. Tunaandika ujumbe huu kwa sauti kubwa kwa sababu ukimya wetu unachukuliwa kuwa ni kukubali. 1. MSHAHARA HAULINGANI NA KIWANGO CHA ELIMU NA KAZI Tunasoma miaka 4 ya degree kama...
Back
Top Bottom