majibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nimekwenda DAWASCO Kimara, majibu nimepewa hadi nimemkumbuka mwenda zake

    Ofisi za Umma zimeanza kurudi enzi za Kikwete aisee, huduma mbovu majibu mabovu na wanajua huna pa kuwapeleka. Dawasa Kimara kumbukeni mnafanya huduma jamani mtatuua 😂😂 yaani imefanya nimkumbuke marehemu Magufuli aisee, may he continue rest in heaven sasa namwelewa japo too late.
  2. Ni maswali gani ya kumuuliza Mwanamke ambayo yanaweza kukupa majibu hapa napendwa au natumika?

    Wakuu katika mahusiano kuna wakati kama mwanaume inabidi ujitafakari katika mahusiano ujue kama unapedwa kweli au unatumikaa ktk hayo mahusiano Sometime unaweza ukawa unajiuliza hivi hapa napedwa kweli au nalazimisha maana kama mimi niko na mpenzi ila Sijui kama napedwa au nalazimia mfano...
  3. MAJIBU: Niagize Nissan Murano, Dualis au Xtrail?

    NICHUKUE IPI KATI YA NISSAN MURANO, DUALIS NA XTRAIL? Na KIMOMWE MOTORS (T) Ltd- Waagizaji Magari 1. Nissan Murano Injini bora ya hii ni ile yenye Cc 2500 inayokadiriwa kwenda Km 10.6/L. Katika safari ndefu hii inasifika kufanya vizuri zaidi ya hizo nyingine sababu ina uzito mkubwa wa tani...
  4. Najiuliza maswali sipati majibu!

    Kila nikimuona huyu mtu najiuliza maswali sipati majibu. Nilianza kumuona siku za mwisho za Hayati akiwa na bango kama hilo likimsifia Hayati. Sasa hivi namuona na bango la Mama.
  5. Ajira za ualimu: serikali ije na majibu ya kueleweka juu ya walimu wangapi wa shahada 'degree' iliowaajiri

    Miongoni mwa mambo yanayotakiwa kutupiwa jicho ni ubaguzi uliopo kwenye utoaji wa ajira kwa kada mbali mbali ikiwemo ualimu Serikali ya awamu ya tano chini ya utawala wa hayati Magufuli imekuwa ikitoa ajira za ualimu kwa upendeleo na ubaguzi bila kuzingatia usawa na elimu za waombaji...
  6. Admission 2021/2022: Majibu yanaweza kutoka mwezi wa ngapi?

    Habari, Naombeni kufaham kutokana na uzoefu wenu, Kwa tulioomba vyuo vya afya 2021/2022 kupitia website ya NACTE majibu yanaweza kutoka mwezi wa ngapi?
  7. Ni kwanini Watoto waliozaliwa Awamu za Kikwete na Magufuli wana Majibu ya Kukusababishia ukaishi Gerezani Segerea milele?

    Mtoto unamuhangaikia Kumsomesha Usiku na Mchana halafu unamuuliza unataka kuwa nani baadae anakujibu anataka kuwa Mpiga Debe Msamvu Bus Terminal. Huyu huyu Mtoto ukipiga na ukamvunja vunja na Kumuharibu kwa Hasira Serikali ya Mama Samia haitakuelewa na labda hata Kukusamehe isikushtaki? Halafu...
  8. Tunataka majibu: Ni nani aliyemtishia Nape Nnauye kwa Bastola?

    Mnamo tarehe 23 mwaka 2017 Mbunge wa Mtama Ndugu Nape Nnauye alitishiwa bastola hadharani na mtu asiyejulikana. MARCH 23, 2017, Rais John Magufulli aimteua Harrison Mwakyembe, aliyekuwa Waziri wa Sheria na Masuala ya Katiba, kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Sanaa na Michezo, nafasi iliyokuwa...
  9. Sakata la Makamu wa Rais Riadha Tanzania John Bayo kuhusu Vyeti, BMT wakosa majibu

    Olympic Games ni mchezo unaotazamwa na kufuatiliwa na watu wengi zaidi duniani (zaidi ya bilioni 4), wenye mamlaka na madaraka ya kimichezo wanapokataa kutoa majibu marahisi wasitegemee medali za Tokyo Olympics. Huu ni mwaka muhimu wa Olimpiki, BMT na Wizara ya Michezo wanapaswa kutatua kero...
  10. Asante Profesa Ndalichako kwa majibu yako kwa Erick Shigongo

    Habari wakuu, Natumaini kila mmoja anaendelea vyema. Leo nimeona nitumie haki yangu ya kikatiba ya uhuru wa kutoa maoni. Pia nina uhakika wa uhuru baada ya kutoa maoni kwa sababu huu uzi haugusi mamlaka za kidola bali viongozi wachache wanaopotosha umma. Jana nilitazama video iliyokuwa...
  11. Z

    Michango ya Wabunge, maswali na majibu ya Mawaziri ubora wake uko chini kabisa

    Sielewi ni kwa sababu gani hali iko hivi, lakini ni wazi kwamba ubora wa walioko mjengoni uko chini. Watu wanashindwa hata kuunda maswali yanayostahili kuulizwa bungeni. Maswali mengi ni ya kuulizia miradi ya shule, urefu wa barabara, visima vya maji, n.k. vya kiwango cha wilaya na majimbo...
  12. Mambo yanayoweza kusababisha mahari ya unayemuoa kuwa juu

    MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MAHARI KUWA KUBWA Na, Robert Heriel Baada ya huyu msanii Kudai kuwa mahari yake ni zaidi ya 500Mil(Milioni Mia tano) kwa anayetaka kumuoa. Nimeona tujadili kidogo kuhusu suala la mahari Mahari ni zawadi itolewayo wakati wa kuposa au kuposwa kwa lengo la shukrani...
  13. E

    Wanawake hebu nipeni majibu...

    .
  14. Maswali ya Muungano yanayokosa majibu ya kweli kwa vijana

    Maswali ya Muungano ambayo vijana wetu wa sasa wanakosa majibu yanayowatosheleza kutoka kwa wazazi wao ni haya: 1. Kwanini Tanganyika haipo lakini Zanzibar ipo? 2. Kwanini kuna Rais wa Tanzania na Rais wa Zanzibar lakini hakuna Rais wa Tanganyika? 3. Kwanini Zanzibar wana ligi yao na hawamo...
  15. Naomba Majibu Tafadhali: 'Mfumo imara' ni nini?

    Siku kadhaa na hasa miaka kadhaa iliyopita, nilianza kusikia habari za 'mfumo imara' kuwa ndiyo unaofaa zaidi kuliko 'kiongozi imara'. Mwanzoni sikutilia maanani. Lakini, siku za hivi karibuni hili fungu la maneno la 'mfumo imara' limejizolea sifa ya kutajwa mara kwa mara kwenye mitandao mingi...
  16. Mbunge wa Mbogwe amtaka Naibu Waziri wa Maji kuacha majibu ya kwenye makaratasi, ahoji vilipo visima 26 alivyotaja

    Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga amemtaka Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi kutofuata mambo ya kwenye makaratasi, na kufuatana naye ili akamuoneshe visima 26 ambavyo amesema vipo. Katika swali lake, Mbunge huyo alihoji Serikali ina mpango gani wa kupeleka maji ya Ziwa...
  17. Watanzania msipotoshwe na hoja za kiukaguzi (Audit queries) maana sio hitimisho kuwa ni ufisadi, zikipatiwa majibu ukweli hujulikana

    Huu ni utaratibu wa kawaida katika kufanya ukaguzi wa matumizi, au taratibu za ujenzi. Kwamba mkaguzi ataibua hoja ya kuwa na wasiwasi juu ya anachokagua pale panapotokea kuwa hakuna vielelezo vya kile anachohoji ili kuthibitisha. Hivyo baada ya kuibua hoja hizo majibu ya uhakika huwa...
  18. M

    Wanaotuhoji kwanini ' tunaojitambua ' vyema Vichwani tumempenda Rais Samia majibu yao yapo katika hii Nukuu yake...

    " Uwekezaji nchini Tanzania umekuwa ni tatizo na kwakweli mabadiliko makubwa yanahitaji hapa. Makampuni yanafunga, Wafanyabishara wanashindwa kuendelea huku Uchumi wa Tanzania ukiathirika pakubwa, Ajira nyingi Kutoweka, Mzunguko wa Pesa kuwa Mgumu kupelekea Kilio cha kila Siku kwa Wananchi kuwa...
  19. M

    TCRA na Waziri Ndugulile, wanyonge mliotuumiza jana tunahitaji tu kupata majibu ya haya maswali yetu

    1. Baada ya Kuamuru jana kuwa Vifurushi vya zamani virejeshwe na viendelee je, ni Saa ngapi hilo litafanyika kwani mpaka sasa bado havijabadilika? 2. Je, wale ambao Jana walinunua Vifurushi vyenu vya Ukatili na Kutukomoa mtawasaidiaje na kuwafidia kutokana na Upuuzi wenu? 3. Ni saa ngapi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…