Mkuu wa wilaya kujibishana na Gen Z kwenye mitandao ya kijamii,basi bora hata majibu yake yawe ni yenye staha,but anatoa majibu ambayo ni sawa na matusi tu.
Kuna maadili kweli hapa?
Hii tabia hata Gerson signature anayo sana.
Katika mchezo wa kufuzu AFCON 2027, Taifa Stars imepoteza kwa mabao 3-1 dhidi ya wenyeji Nigeria, matokeo yanayoifanya Tanzania kusalia nafasi ya nne katika Kundi L ikiwa na alama moja.
Taifa Stars sasa itarejea nyumbani kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya Nigeria utakaochezwa Novemba 17...
Tofauti na babu wa Loliondo wa kikombe sijawahi kusikia mtu amezungumza na mungu akaambiwa suluhisho la kudumu la magonjwa ya Cancer, kisukari, Ebola, UKIMWI, Homa ya ini ambalo litatibu watu wengi au kumuambia dereva asisafiri siku hiyo atapata ajali (unakuta ni mtu mmoja tu anasema aliambiwa...
Please see attached na ruksa kuongezea panapostahili. Documents za rufaa ( kwa kiswahili na Kiingereza) nimeziandaa kutokana na nyaraka ya hukumu kama ilivyoletwa humu na mdau tucker carlson ( Asante kwa kushare)
Kwa hati ya rufani, nukuu kifungu cha 9(1)(b)(i) na (ii) cha The Appellate...
Safari ya kielimu iliyopaswa kuwa ya furaha na kujifunza imegeuka kuwa majonzi baada ya mwanafunzi wa Kirawa Road School, iliyoko Kitisuru jijini Nairobi, kufariki akiwa katika ziara ya shule mjini Arusha, Tanzania.
Mwanafunzi huyo, Victor Ndundu Karanja, anadaiwa kufariki Jumatano, Novemba 4...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiliomba rasmi uongozi wa Mahakama kuruhusu matangazo ya moja kwa moja (live streaming) ya hukumu ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wake, Tundu Lissu.
Hatua hii ilitangazwa mapema ili kutoa fursa kwa Watanzania na wadau wa demokrasia ndani na...
Prelude..Quinine: Lema, kwenye press yako tunategemea utakuja na majibu ya tuhuma hizi.
Thread starter; Quinine
Platinum Member
Today at 7:52
Unatuhumiwa kuikutanisha familia ya Lissu na viongozi wa serikali kwenye hoteli ya Sea Cliff ili familia imuombee msamaha Lissu kwa Samia, je tuhuma...
Unatuhumiwa kuikutanisha familia ya Lissu na viongozi wa serikali kwenye hoteli ya Sea Cliff ili familia imuombee msamaha Lissu kwa Samia, je tuhuma hizi ni za kweli?
Kwanini unalazimisha Maridhiano, ina maana unapinga maamuzi ya Baraza Kuu na Kamati kuu?
Hukuhudhuria kwenye msiba wa dereva wa...
Maridhiano si tangazo la kisiasa tu kushikana mikono kati ya baadhi ya viongozi. Ni mchakato wa kurejesha imani miongoni mwa watu ambayo maisha yao, familia zao na hali zao zipo mashakani .
Wahitimu wa Kozi ya Basic Driving katika chuo cha IFDC kilichopo Ikwiriri, Wilaya ya Rufiji, Mkoa wa Pwani. Chuo hiki kilianzishwa kwa juhudi za Mbunge na Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, na kinatambulika na VETA.
Changamoto yangu ni kwamba tangu tumalize kozi hiyo, takribani miezi saba...
Habari za kazi?
Sisi ni wahanga wa manyanyaso katika utumishi wa umma, na tumekata rufaa katika Ofisi ya Rais, Ikulu, tukitafuta haki zetu za ajira. Hata hivyo, mchakato wa kushughulikia rufaa zetu unaendelea kwa kasi ndogo, huku muda ukizidi kwenda bila kupata majibu.
Hadi sasa, hatujapokea...
Habari, hali ya kutolipwa au kucheleweshewa malipo imekuwa kama desturi kwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba, Dodoma.
Hakuna hatua zinazoonekana kuchukuliwa kuhakikisha tunalipwa fedha zetu kwa wakati, licha ya kuwa tunatumia fedha zetu wenyewe kujikimu na kutekeleza majukumu yetu...
Anonymous
Thread
bado
fedha
kamili
kutoka
majibu
wahusika
watumishi
wilaya
wilaya ya chemba
Watumishi walioajiriwa Julai 2026 katika Wilaya ya Namtumbo hawajapewa fedha za kujikimu. Wachache wamepewa Shilingi 750,000 pekee, badala ya kiasi kilichoainishwa kwenye barua zao za kuripoti kazini, huku wengine hawajapokea fedha hizo kabisa.
Viongozi hawatoi majibu wanapoulizwa kuhusu hatua...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
jibu
kimya
kujikimu
majibu
mpya
namtumbo
pesa
pesa ya kujikimu
viongozi
wapo
watumishi
watumishi ajira mpya
Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora Kitete tumechoka na majibu mabovu ya Makatibu na Mhasibu, wamekuwa wakitujibu vibaya sana tukiwa tunadai stahiki zetu.
Watumishi wanajitolea sana muda wao mwingi wanautumia kazini lakini yakija malipo ya extra na call mtu anakatwa unakuta mtu...
Anonymous
Thread
hospitali
hospitali ya rufaa
kitete
majibu
rufaa
watumishi
Kwanini wachungaji na wainjilisti wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Kupitia DAYOSISI ZAO, wanaostaafu baada ya kulitumikia Kanisa na jamii kwa miaka mingi wanaonekana kukabiliwa na changamoto za mafao ya uzeeni?
Je, viongozi hawa wanapokea mishahara? Kama wanalipwa, je, kuna...
Habari zenu, ndugu zangu wanafunzi.
Ninaomba nirejee suala hili kwa mara nyingine, nikitumaini kwamba sasa nitaeleweka vizuri. Naomba mnipatie nafasi nieleze kwa kina kuhusu mabadiliko ya gharama za chuo chetu.
1. Sababu za mabadiliko ya gharama za chuo
Kwanza, mabadiliko haya hayajafanyika...
Baadhi ya Watumishi wachache wa Halmashauri ya Busokelo - Mbeya, wenye zaidi ya miaka mitatu tunahangaika na uhamisho, familia zipo mkoa mwingine tunatumia gharama kubwa kwenda kuwaona.
Mwaka jana 2025 walitoa ujumbe kwenye account zetu za ESS kuwa wanaotaka kuhama kuwafuata wenza wao waandike...
Anonymous
Thread
halmashauri
majibu
maombi
mbeya
miezi
tamisemi
uhamisho
zaidi ya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.