maji

  1. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aweka jiwe la msingi mradi wa maji wa miji 28 Katavi

    WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI WA MIJI 28 KATAVI WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Machi 13, 2026 ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Maji wa Miji 28 katika Kata ya Shanwe, Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi. Mradi huo wenye thamani ya shilingi bilioni 22.8 umefikia asilimia...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wizi wa Mita za Maji Moshi unaendelea, wanaoiba wanapeleka wapi? Bora Mita zikae ndani ya uzio

    Ndugu zangu tunaomba hili suala la meter za maji kuibiwa Moshi likomeshwe, hili jambo nilikuwa naliona kwa wenzangu kila mara mitaa yao wanaibiwa meter lakin asubuhi ya leo nimekuta mita kama tano zimeng'olewa eneo ninaloishi. Hili jambo napata mashaka makubwa sana wahusika wa hili tatizo...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wateja wakumbushwa usomaji dira za maji shirikishi

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imewakumbusha wateja juu ya umuhimu wa kuzingatia zoezi la usomaji na uhakiki wa mita mara baada ya kupokea ujumbe wa usomaji mita kwenye simu zao ili kuongeza uwazi na ufanisi katika utoaji wa huduma. Zoezi la usomaji mita...
  4. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA yaboresha kisima Keko Bora kuimarisha huduma ya maji

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekamilisha zoezi la kufufua na kuboresha kisima cha kuzalisha maji cha Keko Bora kilichopo Mtaa wa Bora, Kata ya Chang’ombe, Wilaya ya Temeke, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha upatikanaji wa huduma ya maji kwa wakazi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Inachezwa chini ya maji mno

    Sauti hazitasikika mapema! Walio nje ya maji watasikia Mlio baada ya samaki woote kuusikia Britanicca
  6. JamiiForums Tanzania Tulipika kwa maji ya Mafuriko baada ya kushinda na kukesha barabarani

    "Tulipika chakula kwa maji ya mafuriko" —Huu ni ushuhuda wa kusikitisha wa mmoja wa wasafiri waliokwama usiku kucha katika eneo la Korongo la Fisi, wilayani Simanjiro. Wasafiri hao waliokuwa wakisafiri kutoka Arusha kuelekea Kiteto kwa basi la Simanjiro Express, walifika eneo hilo majira ya saa...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mvua Zaharibu Mabomba: Estates 15 Nairobi Wakosa Maji Baada ya Mafuriko

    Mvua kubwa iliyonyesha Nairobi usiku wa Ijumaa imeleta madhara makubwa baada ya mafuriko kuharibu major water pipelines, na kusababisha water shortage kwa estates zaidi ya 15. Kulingana na Nairobi City Water, maeneo yaliyoathirika ni pamoja na Buruburu, Kariobangi, Dandora, Mathare, Eastleigh...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Siku ya wanawake Duniani: DAWASA tutazuia mivujo ya maji mitaani

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeungana na Wanawake Dunian kote katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Kata ya Mburahati, Wilaya ya Ubungo, Mkoa wa Dar es salaam huku ikisisitiza ujumbe wa jamii kudhibiti upotevu wa maji. Maadhimisho haya...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kimara Kilungule mara ya mwisho tulipata maji ya DAWASA Oktoba 30, 2025

    Mimi ni Mkazi wa Kimara Kilungule kwa Mkua. Kero yangu inahusu DAWASA mara ya mwisho maji kutoka ilikuwa tarehe 30/10/2025. Je, ni kwamba hii mamlaka imetusahau kabisa? Maana tuliambiwa mgao wa maji umeisha tumesubiria lakini wapi, je hii huduma kwetu ndiyo basi? Napata tabu sana nanunua ndoo...
  10. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi Flood Tragedy: Mvua Kubwa Yaua 23, Mali na Magari Yasombwa na Maji

    Mvua kubwa inayoendelea kunyesha Nairobi imeleta maafa makubwa baada ya watu 23 kuthibitishwa kufariki kufuatia mafuriko yaliyosomba baadhi ya maeneo ya jiji. According to emergency reports, zaidi ya magari 70 yamesombwa na maji huku nyumba na biashara nyingi zikiharibiwa na mafuriko. Rescue...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nairobi ikiwa imefunikwa na maji baada ya mvua

    Eti baada ya Wakenya kusema Nairobi ni jiji kubwa kuliko Dar ila imekosa bahari tu, Bahari imeamua kwenda kupiga kambi mjini kwao.
  12. JamiiForums Tanzania Mimea ina toa sauti ikiumia, ikikosa maji au ikiwa na stress, sauti yake ipo katika ultrasonic

    ‎Mwaka 2023 watafiti kutoka Tel Aviv University walifanya majaribio kwa mimea, Walichukua mimea kama nyanya na tumbaku, wakaweka vifaa vya kurekodi sauti zisizosikika kwa masikio ya binadamu, waliweka karibu na mimea hiyo. Kisha baadhi ya mimea waliiacha katika hali ya kawaida, lakini mingine...
  13. JamiiForums Tanzania SI KWELI Kuna maji yenye rangi mbili ndani ya bahari moja na hayachanganyiki?

    Mbali na sababu za kiimani, Ni kweli kuna bahari ambazo zina maji ya rangi tofauti ndani ya bahari moja na maji hayachangamani japokuwa yanagusana?
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mkurugenzi Mamlaka ya Maji Arusha timiza wajibu wako

    Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Arusha halipi malipo ya watumishi kwa wakati. Watumishi wanalalamika kwa kukaa na madokezo miezi kadhaa bila kulipa na hata akipigiwa simu anajibu 'msinifundishe kazi'. Kuna kero nyingi na Waziri yupo "busy" na Mamlaka nyingine. Waziri uje Arusha na ukae na...
  15. JamiiForums Tanzania DAWASA: Huduma ya Maji imerejea maeneo ya Shekilango NHC na Ubungo

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema huduma ya maji katika maeneo ya Shekilango NHC na Ubungo Magufuli Hosteli imeanza kuimarika na huduma kuwafikia Wananchi. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa DAWASA, Everlasting Lyaro amesema wamehakikisha upatikanaji wa...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Msumi wamiminika kuomba huduma ya maji

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), inaendelea na zoezi la upimaji tafiti na kuandikisha wateja wapya wa Mtaa wa Msumi, Kata ya Mbezi, Wilaya ya Ubungo wanaotarajia kunufaika na huduma ya majisafi baada ya kukamilika kwa utekelezaji wa mradi wa maji Msumi. Mradi wa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi wa MASTERS na Ph.D Hosteli za Ubungo - UDSM tunanunua maji ndoo moja Tsh. 1,000

    Kumekuwepo na ukosefu wa maji katika Hostel za Ubungo za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam tunapoishi Wanafunzi wa Uzamili (Postgraduate Students) ambao tunasoma Master's Degrees na Ph.D! Kipindi hiki hali imekuwa mbaya zaidi na tunalazimika kununua dumu moja la Lita 20 kwa Tsh. 1,000 ambayo ni sawa...
  18. X

    JamiiForums Tanzania Wanaume dhaifu mmeona game ilivyochezwa na 'Russian guy?' Kikombe cha maji and straight to bed

    Mrussia hakutaka kujimaliza kama SIMPS wengi mnavyofanya Alisikika tu akisema: "Hello. How are u doing? You look good. I'm from Russia My English bad Come with me." Magetoni mademu wanapewa kikombe cha maji wanalombwa. Kama wewe unataka kuhudumia na kupay bills, valentine gifts, dinner dates...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Kinondoni watengewa muda kutatuliwa changamoto za Maji

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imefungua dawati la huduma kwa wateja katika Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa lengo la kusikiliza, kutatua na kutoa suluhu ya changamoto za wateja juu ya huduma za majisafi. Afisa Huduma kwa Wateja wa DAWASA Kinondoni...
  20. JamiiForums Tanzania Mmeshajua hamkubaliki na wanachi hawawataki kuwa madarakani. Kumtesa Lissu kwa kutumia Mahakama ni kutwanga maji kwenye kinu

    Kwanza kabisa mnatakiwa kukubali kuwa hamkubaliki. Kwamba utawala huu wa CCM haukubaliki. Kuna Mwalimu mmoja leo amenifuata na kuniuliza wewe si mwanaCCM? Mbona kila mnachofanya mbona wananchi hawamkubali mama? Nikamwbia mimi sio kada wa CCM na haijawahi kutokea nikawa kada CCM. Hoja kubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…