maji

  1. JamiiForums Tanzania Amwagia maji ya moto mkewe akidai alichelewa kumpikia

    Muhoni John (25), anashikiliwa na Jeshi la Polisi wilayani Serengeti kwa tuhuma za kumwagia maji ya moto mkewe, Naomi Lucas kwa madai ya kuchelewa kumpikia chakula. Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Nurdin Babu amesema leo Jumanne Oktoba 20, 2020 kuwa mkazi huyo wa kitongoji cha Nyansirori kijiji...
  2. JamiiForums Tanzania Jijini Dodoma maji dumu shilingi 1000

    Inaelezwa jiji la Dodoma linakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji uliopelekea dumu kuuzwa kwa bei ya Tsh 1000 katika mji mkuu huo wa Tanzania Chanzo: Gazeti la mwananchi kupitia Facebook page yao Tukutane kwenye comment
  3. JamiiForums Tanzania Barafu inaelea juu ya maji almost 10 years!

    Kama barafu inauwezo huo inamaanisha nini? Je ni nyuzi za baridi kua kubwa mno? Kama barafu inaweza kuelea juu ya maji mda wote huo inamaanisha kua hata wewe unaweza kukaa au kufanya lolote duniani Amka dunia inakutizama
  4. JamiiForums Tanzania Rais ajaye, tunaomba upunguze gharama ya kununua units za kutumia maji ya bomba

    Hii ni turufu nzuri kwa mwanasiasa, natamani kusikia Mgombea yeyote wa Urais akilizungumzia hili, licha ya baadhi ya maeneo kukosa maji, haiwezi kuhalalisha maeneo yenye maji ya bomba kuuziwa Tsh 1200/= kwa unit ilhali tukijua maji ni uhai lazima yatumike Kila muda. Rais ajae alimulike hili...
  5. JamiiForums Tanzania RC Kunenge: Mvua zimesababisha vifo vya watu 12, nyumba 107 zimesombwa na maji na nyingine 800 zimezingirwa!

    Mvua yaacha vilio Dar WATU 13 wamefariki dunia, wakiwamo wanane ambao vifo vyao vimetokana na mvua kubwa iliyonyesha juzi jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Jeshi la Polisi, watu watano ambao ni wa familia moja wamefariki dunia baada ya nyumba waliyokuwa wakiishi kuungua moto...
  6. JamiiForums Tanzania Leo nimekumbuka shairi la Moto na Maji

    Kwa wale wazee mliosoma kipindi tunabeba maji, kidumu na mfagio kwenda shule mtakuwa mnakumbuka lile shairi moto na maji wakijibizana kuwa nani ni bora. Nyie vijana wa siku hizi sijui kama lile shairi bado lipo au ndio mnasoma mashairi ya Zuchu. Jamani kama kuna aliyemeza lile shairi hebu...
  7. JamiiForums Tanzania Nauza vitunguu Maji, Shamba lipo Arusha 17km kutoka Arusha Mjini, Cash customer anicheki Kwa namba 0717329393

    Mjini, Cash customer anicheki Kwa namba 0717329393
  8. JamiiForums Tanzania Zile fly-over tunazosimangwa nazo zimejaa maji

    Mungu ni mwema kutufumbua macho, Yale maendeleo ya vitu hali yake ndiyo hii.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mshana Jr acha uongo wachawi hawaivi na aina ya maji na sio kila maji

    Ipo hivi wachawi hawapatani na baadhi ya aina za maji na sio kila maji, nitaelezea hapa chini. Maji ya mvua!!! Sote tunajua kuwa mvua analeta Mungu sasa maji ya mvua na uchawi ni balaa tupu haviivi hata kidogo na ndio maana kuna baadhi huenda angani kuzuia mvua isinyeshe. Maji ya bahari!!! Hii...
  10. JamiiForums Tanzania Wananchi, Wanafunzi na Zimamoto washirikiana kuzima moto Mlima Kilimanjaro

    Mkuu wa Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Mweka (CAWMSO) amewaomba wanafunzi waliopo chuoni kushiriki kikamilifu katika kuzima moto katika hifadhi ya Kilimanjaro. Mamlaka za Hifadhi za Taifa ilisema sehemu ya msitu wa mlima Kilimanjaro ilianza kuungua tangu jana mchana na waliendelea juhudi za...
  11. JamiiForums Tanzania Mvua Kubwa inanyesha Dar tangu usiku wa manane

    Mvua Kubwa inanyesha Dar tangu usiku wa manane. Hii mvua itasaidia kupunguza vumbi kwa muda mrefu Jiji hili halikua na mvua. Lakini pia Mvua hutuonyesha kwamba Mji wa Dar na miji mingine Mikubwa inatakiwa ipangwe hata kama Sio mji mzima lakini Maeneo yotr ya Miji hii Mikubwa Yanatakiwa kuwa Na...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kulikoni mamlaka ya maji jiji la Mwanza (MWAUWASA)

    Kwa muda mrefu sasa utendaji wa Mamlaka ya Maji Jiji la Mwanza umekuwa hauridhishi hata kidogo na hii imetokea tangu Mhandisi Sanga ambaye kwa sasa ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji kuondolewa kutoka Mamlaka hii na kupewa wadhifa mwingine. Mfano hai ni pale kila kukicha kuna shida ya maji...
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu Dodoma na Singida

    Hatimaye adhabu aliyopewa Tundu Lissu imemalizika Jana. Mgombea huyo anayeungwa mkono na mamilioni ya Watanzania leo ataendelea na Kampeni yake katika mikoa ya Dodoma katika maeneo ya Chamwino na Singida katika maeneo ya Ikungi na Manyoni. Tume ya Taifa ya Uchaguzi imekuwa ni kichekesho Cha...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kuhusu meter ya Maji

    Wakuu naomba kuuliza Jana nimefunga meter ya Maji baada ya kuchukua bomba toka kwa jirani yangu nyumba anaishi kijana tu sasa tumeamka asbh meter inasoma unit moja wakati jana tulichota ndoo mbili tu
  15. JamiiForums Tanzania Je, Dunia ipo chini ya maji??

    Nimesoma kitabu Cha Mwanzo (Genesis) na kwa Tafsiri yake naona kama vile tunaishi chini ya maji. Mwanzo 1 :6-10, inasema; "Then God said, let there be a firmament in the midst of the waters , and let it divide the waters from the waters. Thus God made the firmament and divided the waters which...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutokwa na maji yenye harufu sehemu za siri

    Habari, Mimi ni binti nasumbuliwa na maji kutoka sehemu zangu za siri yenye harufu sana. Nilienda hospitali mara 4 kwa vipindi tofauti tofauti nikafanyiwa vipimo wakakuta nina vivimbe maji kwenye mirija ya uzazi. Nikapewa dawa, baada ya miezi mitano hali imerudi upya. Nakosa amani kabisa...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Tunduma hatutaki maji Yenu! kura zetu ni chadema!

    Habari wangu? Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the way????? Sisi ni watu wazima, huwezi kutupangia cha kufanya, ww subiri tu tarehe 28!!
  18. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tunduma hatutaki maji yenu! Kura zetu ni CHADEMA!

    Habari wangu? Hivyi ulisikia wapi, Mtu anaomba kura kwa vitisho?? Wanatunduma wameishi miaka 60 bila Maji alafu Leo wanatishwa eti wasipomchagua silinde, hawatapata Maji! Who is silinde by the way????? Sisi ni watu wazima, huwezi kutupangia cha kufanya, ww subiri tu tarehe 28!!
  19. V

    JamiiForums Tanzania GE2020 Magufuli akiwa Songwe: Msipomchagua Silinde sileti maji Tunduma

    Kuna methali ya kiswahili inasema mfupa wa kulazimisha ukivunja chungu. Kwa kila aliyefatilia hotuba ya Dr. Magufuli pale Tunduma atagundua kuwa CCM haikubaliki kama Chadema, mbaya zaidi ni kutokana na mgombea CCM inayomnadi, maana haaminiki tena kwa wananchi wa Tunduma, kwa tabia yake ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutokwa maji kwenye uume

    Samahani naomba kuuliza, Nimepatwa na hili tatizo yapata mwezi sasa. Maji yanatoka kwenye uume wangu hayana harufu na wala sio usaha. Nikikojoa hapaumi, ila kuna muda yanachuruzika na muda wote sehemu ya kutolea mkojo inakuwa mbichi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…