maji

  1. R

    JamiiForums Tanzania Sisi tuliochagua wapinzani tumekatiwa umeme na maji. Vipi upande wenu huko majimbo yanayopendwa na serikali?

    Hahahahahaa!! Inabidi nianze uzi kwa kicheko. Tumepitia kipindi kigumu kama nchi. Licha ya kuwashauri kwa muda mrefu kwa kurudia rudia tukidhani wanatuelewa wakashupaza shingo. Leo Rais Samia, Makamu wa Rais na makundi yake yote hawawezi kukwepa mdororo huu wa maji na umeme. Tumerudi mwaka...
  2. JamiiForums Tanzania Chemsha bongo: Kama uzalishaji umeme umepungua kwa 21%, je, maji yamepungua kiasi gani?

    Kama Tanzania inazalisha umeme kwa 65% gesi na kwa 35% maji, hivyo jumla ni 100%. Na ghalfla Tanesco akasema uzalishaji umeme umepungua kwa 21% kutokana na kupungua kwa kiwango cha maji; Je, maji kwenye mabwawa yamepungua kwa asilimia ngapi? Nitatoa jibu baadae kidogo TANESCO...
  3. JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa maji kumenisabisha kujisaidia haja kubwa mbali na ofisi

    Kwa kweli kuna kipindi tulikuwa na maisha mazuri mpaka tukasahau matenki ya maji. Sasa wale tuliopo na ofisi ambazo vyoo vyetu vya kuflash na plan za ofisi swala la tank la maji hakuna. Kila mwanadamu lazima kutoa taka mwili. Nipo ofisini mara nasikia hali si nzuri, kwenda chooni hakuna maji...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nashauri Pesa za Sherehe za Uhuru 9 Disemba, 2021 zisitishwe na Pesa zielekezwe katika Changamoto za Umeme na Maji nchini

    Kusheherekea kwa Mbwembwe zote miaka 60 ya Uhuru huku Taifa likiwa na Changamoto muhimu za Maji na Umeme huenda Kikatafsiriwa kuwa ni Kielelezo tosha cha Uzuzu ( Ujuha ) mwingi unaopatikana Afrika na kwa Waafrika wengi ( japo siyo Wote )
  5. JamiiForums Tanzania Je, mgao wa maji ni wilaya ya Kinondoni na Ubungo?

    Sikutegemea kuna mwana JF anaweza kulalamika kuwa kuna mgao wa maji Dar es Salaam. Sijawahi sikia wakazi wa Temeke, Mbagala au Kigamboni wakiongelea hadithi za mgao wa maji Kigamboni ni wilaya mpya watu wanaishi wao na visima vyao vya maji Mbagala na Temeke wao wanaishi na Maji yao ya kununua...
  6. JamiiForums Tanzania Tatizo la Maji na Ukame: Lawama zangu zote ni kwa Waziri Lukuvi na Waziri wa Mazingira

    Kuna muda ni lazima ukweli usemwe maana usiposemwa lazima kumbukumbu zitakuwa za upotoshaji Mkubwa Kwenye Tatizo linaloikumba Tanzania la ukame na ukosefu wa Maji kwa sasa lawama zangu zote nazipeleka kwa watu wafuatao 1. William Lukuvi Akiwa Waziri wa Ardhi kuanzia Awamu ya Tano, nchi yetu...
  7. JamiiForums Tanzania Safari ya Egypt kwa Mkandarasi mkuu, mgao wa ajabu wa umeme na maji

    Kwa kawaida, operation kubwa huanza na ganzi, or sindano ya nusu kaputi kumlaza mgonjwa nusu-kifo au hili na lile kumtayarisha mlengwa kisaikolojia. Je, ni kweli ndicho wanacholenga kufanya??
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania mnalo! Jua na joto kali, mgao wa maji na sasa mgao wa umeme

    Poleni sana, halafu kwa namna huwa mnabanana kwenye madaladala, mbona mnalo. Tanzanians should brace for more pains as power rationing looms after Tanzania Electric Supply Company Limited (Tanesco) revealed that water levels in many of their dams have reduced. According to a statement issued...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Umeme wa Maji Tanzania ni 36.64% tu ya umeme wote

    Watanzania ni wagumu sana kufuatilia data hata zile ambazo ziko wazi. Kuna Watanzania wengi wanaamini umeme wetu mwingi ni wa maji! hii sio kweli . Ukienda kwenye mtandao wa Tanesco umeme wa maji ni 36.64% tu. Hivyo hata maji yakipungua kwa 50% nzima umeme kwa ujumla wake unatakiwa kupungua...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Tunapofunga kwa ajili ya maombi ya mvua ilete maji tunamshangaza sana Mungu

    Mungu alitupa vitu kisha akatupa akili ya kuvitumia vile vitu. Nchi hii tuna mito mikubwa sana tuna Mto Ruvuma Mto Kagera, mto Mara mto Maragarasi nk. Sanjari na hayo tuna Ziwa Eyasi, ziwa Rukwa ziwa Burigi, ziwa Nyasa ziwa Tanganyika na kubwa lao ziwa Victoria. Hizi ni baraka tayari ambazo...
  11. JamiiForums Tanzania Ni mji gani mkubwa hapa Tanzania una bwawa kubwa kwaajili ya maji yake?

    Kwenye miji mikubwa maji ya uhakika huwa ni kuwa na bwawa (reservoir). Sasa kwa hapa Tanzania, ukiachana labda na Moro, ni mji gani mkubwa wenye reservoir kubwa ya maji? Je, Dodoma wana bwawa kwaajili ya matumizi yao ya maji?
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza vyanzo vikuu vyote vya maji kuwekewa ulinzi. Asema, "Hatuwezi kuweka rehani maisha ya Watanzania"

    Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza Wakuu wa Mikoa yote pamoja na Kamati za Ulinzi za Mikoa na Wilaya kuhakikisha Ulinzi unawekwa kwenye Vyanzo vyote vikuu vya Maji, na kutosita kuchukua hatua za Kisheria Amesema, "Utekelezaji wa Agizo hilo unaanza mara moja, hatuwezi kuweka rehani maisha ya...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia ameshindwa kutolea tamko matatizo ya Umeme na Maji yanalolikumba Taifa?

    Ukimya sawa na pengine ana kazi nyingi ambazo kwalo huenda wasaidizi wake wanamjazia mafaili ili kumzubaisha na ili asitambue changamoto za hapa na pale ziwahusuzo Watanzania. Lakini kwa changamoto ya umeme na maji inaloikumba Taifa kwa sasa si kitu kilichojificha na ni ukweli kwamba Samia...
  14. JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe; Mgao wa Umeme na Maji: Pengo la Upinzani bungeni laonekana

    Nchi iko gizani, hakuna maji na mbaya zaidi hata mikoa ambayo inazalisha umeme jenereta na wenyewe kuna mgao! Mafuta tuliambiwa last week kuwa reserve iliyopo ni ya kutufikisha siku 14 tu. Raha sana. Leo huenda zimebaki siku nane tuingie kwenye mgao wa mafuta. Nionavyo, Wabunge wa Upinzani...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dar kuna shida ya maji wakati bahari ipo hapo hapo?

    Nimetanguliza neno sielewi kwamaana hiyo nimeuliza ili mnieleweshe. Dar kuna bahari ya Hindi imeizunguka sasa inakuaje mkoa huo unakua na shida ya Maji? Kama maji ya bahari labda yanahitaji kuchakatwa sana kuondolewa chumvi na kama ni ghali sana kununua mitambo hiyo, kwanini tunapoteza hela...
  16. JamiiForums Tanzania Tunakoelekea ndoa nyingi kuvunjika sababu hakuna maji na umeme

    Habari wandugu Seriously nimeshuhudia jamaa analalamika mke wake amesitisha kutoa chakula Cha usiku sababu hawana uhakika kuoga, ndani kunakuwa joto sababu fen haifanyi kazi jamaa anafikiria Leo asirudi nyumbani mapema apitie bar kwanza ....
  17. B

    JamiiForums Tanzania Tathmini: Shida ya maji hadi ziwa Victoria?

    Ni wazi kuwa kama nchi tunapita wakati mgumu sana uliohitaji busara zaidi kuliko maguvu. Kuna shida ya maji Dar tuliyoaminishwa kuwa ni kupungua kwa maji mto Ruvu japo unaendelea kumwaga yake baharini. Hivi kiwiano, maji kiasi gani yanavunwa Ruvu kulinganisha na yanayoishia baharini? Kwamba...
  18. JamiiForums Tanzania Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni. Kumeanza Mgao wa Umeme na Maji

    Jamaa yangu anasema ameambiwa aagize China Majenereta 500 kwa kuanzia. Na mtaji kapewa kuongezea. Wameandikishana na mchakato umeshafanyika mtu mkubwa mmoja kamwambia hawezi agiza kwa jina lake so atamtumia yeye. Umeme mgao haukuwepo kwa muda mrefu sana. Ilikuwa umeme hauwezi katika kila siku...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Mgao wa DAWASCO ni balaa, mwenye namba ya wauza maji na magari Ubungo anisaidie

    Habari wadau Naona tumerudi enz zile. Sina maji kabisa leo sijui nyumbani wanaishije Mwenye namba ya magari ya kuuza maji maeneo ya Ubungo naomba anisaidie
  20. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta tenda ya maji safi

    Habari zenu, Mimi ni kijana nimeingia katika biashara ya maji safi, nina malori yangu ya maji safi ya kutosha, changamoto ni kupata kazi au tenda Mjini Dar. Hivyo basi nachukua fursa hii kutangaza fursa kwa vijana ambaye atanitafutia tenda nitamlipa per trip moja. Gharama zetu za huduma ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…