maji

  1. JamiiForums Tanzania Utengenezaji wa sabuni za maji

    JIFUNZE KUTENGENEZA SABUNI ZA MAJI Katika harakati zetu za utafutaji wa pesa leo ninaomba tuzungumzie kuhusu utengenezaji wa sabuni.Sabuni hizi unaweza kuzitumia katika kufulia,kuogea,kuoshea vyombo na kusafishia chooni.Sabuni hizi unaweza kutumia kwa matumizi yako ya nyumbani au kuuza maeneo...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji Juma Aweso fika wilaya ya Moshi ( Mwika) watu watumia maji ya RUWASA wanaharisha , mamia wamelazwa

    Hali ya wananchi wilaya ya Moshi , eneo la mwika mamia ya watu wamepatwa na ugonjwa wa hatari wa kuharisha na kutaapika baada ya kutumia maji ya RUWASA. Kilio hili kimemfikia mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ila hakuhangaika na wananchi Bali amekimbilia kusimamia moto mlima Kilimanjaro. Wagonjwa ni...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi chanzo cha huu mgao wa maji na umeme ni nini?

    Hivi kweli unawezaje kujitembeza bila aibu eti unafanya royal tour, halafu watalii wakija wanakuta nchi ina mgao wa maji na umeme? Huu mgao ulianza lini? Mbona wananchi hatuna taarifa? Au ndio siasa yenyewe hii?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ukabila utaibomoa nchi! Nani karuhusu haya kufanyika katika ardhi ya Tanzania?

    Nani karuhusu huu ujinga kufanyika katika ardhi ya Tanzania? Mamalaka na vyombo vya dola fanyeni kazi yenu kuutokomeza huu ujjnga. Endapo ujinga huu utaachwa usambae hakuna aliye salama.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Law School na kauli za mfa maji haishi kutapa tapa

    Sakata la wanafunzi LST kufeli limeendelea kujipambanua. Kadhia ya Law School "Wasomi Nguli" wasikilizwe Inafahamika kuwa walimu LST nao ni products za vyuo hivi hivi hapa nchini. Kama vyuo vinatoa wanafunzi wasioiva hawa walimu wao walijiivisha namna gani? Kufeli uwakili kilio Afrika...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Geraruma: Sekta ya maji imefanya vizuri zaidi

    SEKTA YA MAJI IMEFANYA VIZURI ZAIDI - GERARUMA Kiongozi wa mbio za mwenge Kitaifa, Sahili Geraruma amesema Kwa siku 195 Mwenge wa Uhuru umekagua na kuweka mawe ya msingi na kuzindua miradi ya Maendeleo 1293 yenye thamani ya Shilingi Bilioni 650.8 Geraruma amesema katika Sekta ambazo Mwenge wa...
  7. JamiiForums Tanzania Shule ya Sekondari Ulongoni A yakabiliwa na uhaba wa maji vyoo vya wanafunzi

    Shule ya Sekondari Ulongoni A iliyopo Kata ya Gongolamboto inakabiliwa na changamoto kadhaa ikiwemo uzio, miundombinu chakavu kwa baadhi ya madarasa na maabara. Imeelezwa kuwa hali hiyo inachangia utoro kwa wanafunzi wengi pindi wanapohitaji haja binafsi na nidhamu ya ufaulu kushuka. Mkuu wa...
  8. JamiiForums Tanzania Hotel ya nyota 5 yenye ghorofa 40 ujenzi wake wakamilika karibu na uwanja wa Kiligolf maji ya chai Arusha

    Mwenye kufahamu mmiliki wa mradi nilioutaja hapo juu aje inbox tafadhali. Hali ya uchumi tunasema ni mbaya ila kuna mradi wa maajabu ulikamilika eneo la Kiligolf Maji ya chai huko Arusha Tanzania. Je ni Lini Mh. Rais wetu mama Samia atakwenda kufungua mradi huo ambao tayari umeshakamilika...
  9. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza dagaa nyama na wengineo

    Wadau habari za leo ! Nachukua nafasi hii kuwatangazia biashara ya dagaa wa maji chumvi kwa sampuli zao: 1. Dagaa nyama, 2. Dagaa wakavu/Lukumbu, 3. Lumbunga , na 4. Ng`onda pia wapo. -Mauzo ni kwa jumla, -Bei ni poa, -Msimamizi wa kila kitu ni mimi mwenyewe, naazingatia ubora na usafi kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Ushahidi unaonyesha daraja lilipigwa na drone ya kwenye maji, sio kama ambavyo Putin analalamika

    Putin analalamika akisema Ukraine walitumia lori kulipua daraja lake Crimea, ila wataalam wanaokagua video za uharibifu huo wanasema lilipua pigo la drone inayosafiria kwenye maji.... Russian officials named a 25-year old Krasnodar man, Samir Yusubov, as the owner of the truck, and said an...
  11. JamiiForums Tanzania Nigeria: Watu 76 wafa maji baada ya mashua kuzama

    Maafa hayo yametokea katika Jimbo la Anambra katika boti iliyokuwa imebeba watu 85 kutoka Onukwu kuelekea Nkwo Ogbakuba. Watu hao walikuwa wanahama kutokana na ongezeko la maji maeneo yao yanayotokana na mafuriko ambayo pia inadaiwa yamechangia watu wengine watatu hawajulikani walipo katika...
  12. JamiiForums Tanzania Hii ni tabia ya kishenzi, mtu anapoomba mchange ili mpate huduma ya maji au umeme mnamwacha peke yake ila akishapambana mnakuwa wa kwanza kujaza fomu

    tabia sio ya kiungwana ni ya kishenzi sana..unakuta makazi ya watu fulani wanamiaka zaidi saba na zaidi hawana huduma ya maji wala umeme. Ila unakuta huduma hii haiko mbali na makazi yao ni kama mita 2000 tu,unawaomba kwamba jamani wenye shida ni sisi tuisitegemee sana hawa watu wa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Maji ni huduma ambayo Serikali inafeli vibaya mno, uhaba na mgao karibu kila mkoa japo mabilioni yanatumika. Rais Samia anashindwa wapi?

    Nilitegemea kwamba serikali inayosema inapigana na kupambana sana kuhudumia watu wake ingefanikiwa sana katika suala la kutoa maji kwa watu wake. Lakini inasikitisha sana kwamba hadi leo Tanzania inafeli sana katika kutoa huduma hii kwa wananchi. Na kinachosikitisha hata zaidi ni kwamba hii ni...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Maji ya kujaza Bwawa la Nyerere yatatoka wapi?

    Tanesco wametutaarifu kuwa vyanzo vyote vya mabwawa yanayofua umeme yamepatwa na upungufu wa maji na hivyo uwezo wa kuzalisha umeme ni mdogo. Consequently jana tulikuwa hatuna umeme (total blackout) kuanzia saa 4 usiku hadi saa 2 asubuhi ya leo. Sasa hizo hela kwanini tunaziharibu na kuharibu...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso aibua shangwe wananchi pembezoni vyanzo vya maji Mbinga; aagiza usanifu wa mradi kuanza

    AWESO AIBUA SHANGWE WANANCHI PEMBEZONI VYANZO VYA MAJI MBINGA; AAGIZA USANIFU WA MRADI KUANZA MBINGA-RUVUMA Waziri wa Maji Mhe Jumaa Hamidu Aweso amekagua na kuzindua shughuli za uhifadhi wa vyanzo cha maji vya Lupembe A, B, C, na D ambavyo ni tegemeo kwa usambazaji maji Safi kwa mji wa Mbinga...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kumaliza changamoto ya huduma ya maji mjini Mtwara

    RAIS SAMIA KUMALIZA CHANGAMOTO YA HUDUMA YA MAJI MJINI MTWARA Serikali imetoa shilingi bilioni Kumi na Tisa kwa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira mjini Mtwara (MTUWASA) ili kufumua mfumo wa usambazaji wa maji ambao ni chakavu na kuweka mpya. Hatua hiyo itataua kero ya upatikanaji wa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kamati ya bunge na Wizara ya maji kazi mpaka usiku kushuhudia jitihada za upatikanaji maji Dodoma

    KAMATI YA BUNGE NA WIZARA YA MAJI KAZI MPAKA USIKU KUSHUHUDIA JITIHADA ZA UPATIKANAJI MAJI DODOMA Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso na timu ya Wizara ya Maji pamoja na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji wameshuhudia...
  18. JamiiForums Tanzania DAWASA: Matengenezo ya bomba la Maji yanaendelea, huduma kurejea baada ya kumaliza

    DAWASA YAWAHAKIKISHIA WAKAZI HUDUMA BAADA YA MATENGENEZO Na Crispin Gerald Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Dar es Salaam (DAWASA) imewahakikishia wananchi wanaohudumiwa na Mtambo wa Ruvu chini kuwa huduma ya maji itarejea ndani ya muda uliopangwa kufuatia matengenezo ya bomba kubwa la inch 54...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini kitunguu maji kinamaliza makali ya visu?

    Hamjambo wapenzi wenzangu wa misosi? Binafsi mimi ni mpenzi mno wa chakula yani napenda sana kula chakula kizuri, kisafi, kitamu, ambavyo vinajenga mwili na akili kama sote tujuavyo dhamira kuu ya chakula mwili.. Nimekua nikijiuliza sana kwa nini visu vyangu kila nikikatia vitunguu geto...
  20. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar watadharishwa kukosa huduma ya Maji Septemba 23

    TAARIFA KWA UMMA KUZIMWA KWA MTAMBO WA UZALISHAJI MAJI RUVU CHINI 20.9.2022 Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia Wateja na wananchi wanaohudumiwa na mtambo wa kuzalisha maji Ruvu Chini kuwa Mtambo utazimwa siku ya ijumaa tarehe 23/9/2022 kuanzia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…