maji

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Pwani wanakata sana miti na kusababisha uhaba wa maji

    Rais Samia amesema shida ya maji inayoendelea katika Mkoa wa Dar es salaam imesababisha na athari za kimazingira ikiwemo kukata miti. Amesema mkoa wa Pwani unaongoza kwa kukata miti iliyoko kando ya mto Ruvu unaoleta maji Mikoa ya Dar es Salaam na hivyo wanasababisha uhaba wa maji. Rais...
  2. JamiiForums Tanzania Elon Musk: Watumiaji wa Twitter kulipa ada ya $8 kila mwezi kumiliki blue tick

    "Chief Twit" mpya wa Twitter Elon Musk anaripotiwa kufikiria kufanya blue tick kuwa kuwa kipengele cha Twitter Blue, wakati huo huo akiongeza mara nne gharama ya huduma ya usajili. Hii inamaanisha kuwatoza watumiaji ada ya kila mwezi ya $20 ili kuweka beji yao ya tiki ya bluu. Inaelezwa kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Ukosefu wa maji ni kudra za Mungu wala sio ilani ya CCM. Ilani haiwezi kuleta mvua

    Leo JNICC mkuu wa mkoa wa Dar, Amos Makalla akiwa kwenye kongamano la nishati ya gesi ya kupikia linalodhaminiwa na Taifa Gas ameongelea changamoto ya maji Dar mbele ya Rais Samia. Amos Makala: Mamlaka ya hali ya hewa ilishatabiri, kwamba kutakuwa na kipindi kirefu cha ukame, kwahiyo ni kwamba...
  4. JamiiForums Tanzania Kutegemea maji ya surface (mito, maziwa na mabwawa) kwa matumizi ya kila siku ni hatari sana

    Ukweli mchungu, kama taifa inabidi tubadiri sera zetu na vipaumbele. Kugombea maji ya kutumia na viumbe Kama ndege ilihali tunaweza kuchimba deep well na kupata maji ya kutosha ni jambo lisilovumilika. Tumesikia mto Ruvu maji yamepungua kina na kupelekea hatari ya mamilioni ya wakazi wa jiji la...
  5. JamiiForums Tanzania Tatizo la Maji nchini na hasa jiji la Dar hakuna njia mbadala kumaliza tatizo hili? Mimi napendekeza hili

    Hivi haiwezekani kutumia teknolojia ya maji taka yote kwenye vyoo vyetu kwenye majiji yetu Yale maji taka yarudi kwenye mzunguko kwa kuyatreat ili yawe maji safi na Salama? Kuna nchi moja nilitembelea ughaibuni mwenyeji wangu aliniambia wanatumia system hii ila sikumtilia maanani nilikuwa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Maji: Mto Ruvu hauna maji au ni matengenezo ya DAWASA?

    Ni vema tukaelezwa Ukweli ili tujipangie Siku za kuoga Tatizo ni nini hasa? Ni matengenezo ya Pump za Dawasa au Mto Ruvu hauna Maji?! Msema Ukweli ni mpenzi wa Mungu wa mbinguni!
  7. JamiiForums Tanzania Ratiba mgao wa maji: Aweso na watendaji wako punguzeni uongo

    Waziri wa maji majuzi mlitoa ratiba ya mgao wa maji. Ratiba yetu ilikuwa leo tupate. Kulikoni mpaka muda huu hapaeleweki na ulijifanya kusisitiza kuwa mgao utekelezwe as planned? Punguzeni janja janja mbele ya camera na uwongo, watanzania siyo wajinga siku hizi. Kujiuzulu pia ni option.. Kama...
  8. JamiiForums Tanzania Tafadhali wakazi wa Maeneo haya hebu tupeane 'updates' za Maji kutoka ili angalau Leo tuoge tusinuke

    1. Masaki 2. Kawe 3. Oysterbay 4. Mikocheni 5. Mbezi Beach 6. Mwenge 7. Kijitonyama Nasubiri kwa hamu tu updates zenu.
  9. JamiiForums Tanzania Kuna mtu anaponesha kwa maji mkuranga anaitwa sokwe je huyu mtu ana ukweli kiasi Gani

    Kuna habari ya mtu mmoja ambaye yupo mkuranga anaponesha watu kwa kutumia maji je ina ukweli kiasi gani
  10. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo yashauri Serikali ikope Tsh. Trilioni 10 kumaliza kero ya maji nchini

    Chama cha ACT Wazalendo kimependekeza Serikali ichukue mkopo wa Sh10 trilioni kwenye benki za maendeleo ili kusambaza maji nchi ili kumaliza kabisa changamoto ya upatikanaji wa maji Chama hicho kimetoa pendekezo hilo wakati kukiwa na mgawo wa maji katika mkoa wa Dar es Salaam pamoja na mikoa...
  11. JamiiForums Tanzania Kutatua changamoto ya maji nchini

    March 11, 2022. Mwenyekiti wa Taasisi ya ushirikiano uwekezaji katika sekta ya maji Kusini mwa Afrika (Global Water Partnership) ambaye pia ni Rais mstaafu wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete; Benki ya Maendeleo ya Afrika imesema kwamba dola za Kimarekani bilioni 64 zitahitajika kila mwaka...
  12. JamiiForums Tanzania Suala la Maji kukosekana: Tusimlaumu mama Samia, yeye hakuleta ukame!

    Sasa hivi nchi nzima tuna ukame ambao haujakuwpo kwa miaka kama kumi hivi. Ukame huu unaleta athari mbili kuu, ukosefu wa maji ya matumizi ya binadamu na hvile vile kukosekana kwa maji ya kutosha kusukuma mitambo ya kutengeneza umeme. Sasa, ukame unatukosesha maji mijini na umeme kwa pamoja...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini tokea Mgawo wa Maji uanze Dar es Salaam Hotuba nyingi za Hayati Rais Dkt. Magufuli zinasikilizwa sana?

    Au labda kuna dalili za yeye kufufuka ili GENTAMYCINE nianze Kufurahi na Kurukaruka nikiamini kuwa anakuja Kuinyoosha tena nchi, Kushikisha adabu mafisadi na Kutupigania Sisi Watanzania Masikini ( Wanyonge ) wakiongozwa nae GENTAMYCINE na wengineo baadhi.
  14. JamiiForums Tanzania DAWASA: Vituo rasmi vya kuchota maji kwa magari

    Kauli Mbiu: Maji yakitoka ni kama yametoka na yasipotoka ni kama yametoka
  15. JamiiForums Tanzania Maji yakitoka ni kama yametoka na yasipotoka ni kama yametoka

    TANGAZO LA UFAFANUZI Ndugu wateja tunapenda kuwafahamisha ya kwamba tangu Juni mosi 2022 bili zote za maji zilianza kutolewa kwa kutumia kikokotoo kipya kinachojulikana kwa jina la kitaalam MANDONGA- NDOIGE CALCULATOR (Maji yakitoka ni kama yametoka na yasipotoka ni kama yametoka) Ukipata...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Kigamboni haina maji inakuwaje yaliyopatikana yapelekwe mjini kabla ya wanakigamboni kupewa maji?

    Ifike sehemu viongozi muwe na aibu jamani na wakazi wa kigamboni hata kama niwapole! 1. Wananchi wa kigamboni wanaishi kama digidigi kwenye pantoni na hakuna kiongozi hata mmoja anaeguswa na hilo 2. Mabanda ya abiria kwenye pantoni hayana viti lakini hakuna anaejigusa Si Temesa, Si LATRA, Si...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Wale wa vijijini, tunamshukuru Mungu watu wa mijini kukosa maji, acha tuwe sawa!

    Maeneo mengi sana ya vivijini, mvua zikikata tu, na maji ya kunywatayari yanakuwa ya taabu saana tokea Uhuru Katika jimbo la Chalinze Kwa mfano, yapo maeneo Kwa kiangazi hiki, hawaogi mwezi mzima, wana kunywa maji Kwa kupangiana, kwamba mtu anywe Mara moja tu Kwa siku zaidi ya hapo, hakuna maji...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Miaka 60+ ya CCM, hakuna uhakika wa kula, Maji wala umeme

    Toka tupate uhuru ni miaka zaidi ya 60 chini ya utawala wa CCM lakini watanzania hatuna uhakika wa kula, kuoga wala kuona usiku. Nikimaanisha kwamba hakuna chakula cha kutosha, hakuna uhakika wa maji wala umeme. Leo unga wa sembe kilo ni zaidi ya shilingi elfu 2, maharage yako shilingi elfu 4...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Jiji lina mayfly over ya hatariiii lakini maji hamna

    Ni aibu kubwa sana kutumia matrillion kujenga mayfly over wakati wananchi hawana maji. Je wangeacha tu kwa mda kujenga daraja la Tanzanite na iyo hela zaidi ya billion 500 kuwekeza kwenye maji si ingekuwa maendeleo zaidi? Wananchi wamebaki kunywa na kuoga maji ya chumvi gizani. Aibu kweli kweli.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya mbao wa maji

    hii ratiba ya mgao wa maji iliyotolewa na dawasa mbona hawaifuatilii au ni usanii wa kisiasa maana ratiba ya maji waliyosema jana yatatoka Mbezi juu ikiwemo lakini hola
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…