maji

  1. JamiiForums Tanzania EWURA yazitaka mamlaka za maji nchini kutoa taarifa sahihi za huduma ya maji na usafi wa mazingira

    MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji ( EWURA) Mhandisi Modestus Lumato,akizungumza wakati wa kikao kazi cha Watendaji wa Mamlaka za Maji za Mikoa na Miradi ya Kitaifa kilicholenga kuhakiki taarifa za utendaji wa Mamlaka hizo kwa mwaka 2021/22 kilichofanyika leo...
  2. JamiiForums Tanzania Suala la maji wanyonge hatuna pa kusemea

    Hata nguvu ya kusalimia sina. Mji mzima kila mtu analalamika maji hakuna. Hatuogi, hatufui, hatupiki....maji yamekuwa kama madini.....mtaani hayapatikani, na watu wa magari wanaosambaza hawauzi tank moja la lita 1000 ni kuanzia lita 3000 tena kwa 120000 hizo lita 3000. Hivi kweli sisi...
  3. JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri la serikali ya Tanzania limepokea taarifa ya awali ya ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Novemba 6, 2022

    Baraza la Mawaziri la serikali ya Tanzania limepokea taarifa ya awali ya ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Novemba 6, 2022, Bukoba mkoani Kagera na kugharimu maisha ya watu 19. Kauli hiyo imetolewa hii leo Novemba 14, 2022, jijini Dodoma na Msemaji Mkuu wa serikali kufuatia maelekezo...
  4. JamiiForums Tanzania Ubungo waandamana ofisini kwa DC kudai Maji

    Wakazi wa eneo la Luguruni Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam wameandamana hadi ofisi ya mkuu wa wilaya ya Ubungo (DC), Kheri James kudai huduma ya maji waliyoikosa kwa miezi mitatu sasa huku wakiletewa bili. Wakazi hao wakiwa wamebeba ndoo zao zikiwa tupu walikuwa wakiimba nyimbo...
  5. JamiiForums Tanzania Angalizo kwa DAWASCO kuhusu Bill yangu ya Maji Oktoba na Novemba 2022

    Nisingependa tuharibu mahusiano yetu Mazuri, nasema hivi sijawahi kupata Maji yenu kwa zaidi hata tone. Wallah mkiniletea bill hata ya buku Tano tu mtaniona mkorofi. Niko Wilaya ya Kinondoni, Mabibo Mwisho.
  6. JamiiForums Tanzania Maji ya Bowser yamepanda bei mara mbili zaidi

    Japo Rais alizindua visima kule Kigamboni, hali huku kijijini kwangu bado ni tete. Maji hayatoki. Wiki kadhaa zilizopita nilinunua maji ya chumvi kwa Tsh. 20,000 tofauti na bei iliyozoeleka ya Tsh. 12,000 kwa lita 1,000 Baada ya maji kuisha nimewacheki tena wauza maji, wametaja bei mara mbili...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari andaeni Makala kuhusu changamoto ya Upatikanaji wa Huduma za maji

    Habari za Leo wapendwa Binafsi nina familia na ninaona namna familia yangu jinsi inavyopitia kipindi kigum kutokana na hii changamoto ya Maji. Mimi nilikuwa nashauri Media zote nchini waandae Makala kuhusu upatikanaji wa Maji wazunguke mitaa yote jiji la Dar es salaam wahoji wananchi na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mnaposema Dar es Salaam itapata maji 100% ni ipi hiyo? Ile ya Mabwanyenye wa CCM na washirika wao? Vipi madongo poromoka kama Buza na Mbagala?

    Nina hakika mtandao maji ya Dawasa haujtandaa Dar yote. Ni baadhi ya maeneo tu ndio kuna mtanado huo Sasa hao wanaokaaa madongo poromoka mnawafikiria vipi na wao? Mtakuwa mnajaza waterbowser na kuwapelekea? Ndiyo kusema mnaposema Dar mna maanisha mnapooshi nyie mabwanyenye?
  9. JamiiForums Tanzania Shaka: Pamoja na Ukame unaondelea nchini ambao haujasababishwa na CCM wala Chama chochote Rais Samia anatekeleza miradi ya maji 1,194 kuukabili

    SHAKA HAMDU SHAKA ASEMA NI HAKIKA WATANZANIA WATAMPA RAIS SAMIA TUZO YA HESHIMA MWAKA 2025 KWANI ATAPATA KURA ZA MAFURIKO === Ampongeza kwa namna anavyochapa kazi bila mbwembwe wala zogo Asisitiza Chama kuridhishwa na juhudi hizo kwani matokeo yanaonekana Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Wahitimu vyuo Vikuu uzeni maji mtaani

    Ni fursa kubwa imejitokeza kutokana na uhaba wa maji. Ningeshauri muanze biashara ya kutembeza maji mtaani ndoo/dumu 5,000 TZS huku Bonyokwa. Kwa siku ukiuza 100x5,000=500,000 X siku 30 = 15,000,000 TZS. Mtaji: Mkokoteni, Madumu 6 na nguvu zako.
  11. JamiiForums Tanzania KWELI Mafuta ya taa, kitunguu na ndulele huweza kutibu tatizo la mdudu wa kidole (paronychia)

    Yapo madai ya kuwa dawa za asili kama ndulele, alovela na vitunguu swaumu ni dawa ambazo huweza kutibu tatizo la mdudu wa kidole. Aidha, wengine wanadai mafuta ya taa au maji ya betri pia huweza kutibu mdudu wa kidole. Ukweli ni upi?
  12. R

    JamiiForums Tanzania Lita 1,000 za maji kuuzwa mpaka Tsh 60,000 mgao wa maji mradi wa ‘watu wakubwa’ Serikarini?

    Kadri siku zinavyoenda mgao wa maji unazidi kuwa mkali, na kwa sehemu kubwa maji hayatoki kabisa zaidi ya wiki mbili na wengine mpaka tatu. Bei ya maji tunayouziwa mtaani inatisha, kwa jinsi gharama za maisha zilivyopanda tutafika kweli? Dumu moja la lita 20 linauzwa 1,000 mpaka 2,000, lita...
  13. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea hapa Dar es salaam sio mgao wa maji, ni kwamba Dawasa imeshakufa

    Walianza kwa kusema kutakuwa na mgao wa maji na wakatoa ratiba lakini maeneo mengi ambayo nina ndugu jamaa na marafiki hapa Dar sasa ni zaidi ya wiki mbili hakuna maji. Ni vyema sasa serikali isitishe kulipa mishahara kwa wafanyakazi wa Dawasa kwasababu huwa wanalipwa kwa kutoa huduma ambayo...
  14. JamiiForums Tanzania Dubai: Maji yana bei kubwa kuliko mafuta

    "Kama imewezekana kutengeneza bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga inawezekana kabisa kutoa maji Ziwa Victoria kupeleka Mbeya, Morogoro na maeneo mengine sababu ni suala la bomba tu, nimeenda Dubai nimekuta maji yana bei kuliko mafuta. Kwanini tusitafute bomba kubwa linaloweza kutoa maji...
  15. JamiiForums Tanzania SI KWELI Maji ya madafu yanasababisha ugonjwa wa Mabusha

    Inaaminika kuwa ugonjwa wa mabusha husababishwa na unywaji wa maji ya madafu. Madai haya hupata mashiko makubwa zaidi kwa kuwa tatizo hili huwapata wanaume wengi wanaoishi Mwambao wa Pwani ya Bahari ya Hindi, ambako madafu hupatikana kwa wingi. Madai haya yana ukweli kiasi gani?
  16. N

    JamiiForums Tanzania Ninaomba shida ya maji Dar iongezeke mara dufu zaidi

    Dar ni Tanzania, Tanzania ni Dar. Hutaki hili basi utakuwa una matatizo makubwa ya kijinsia!!! Ukitaka kuona watu wa makabila yote Tanzania hapa basi fika Dar, Ukitaka kuona watu wa dini zote (unazozijua na usizozijua) basi nenda Dar, Ukitaka kuona ofisi zote kuu za vyama vya siasa basi nenda...
  17. JamiiForums Tanzania Kama watoto wadogo wanaweza piga mbizi na kwenda na kasia mpaka kwenye ndege ilozama wakati wana maji wakiogopa kusogelea Je tubadili mfumo wa Elimu?

    Nimejiuliza sana juu ya hivi Kwanini lisiwepo somo la self defense Kama Ulaya mtu ajue kuogelea na kujikinga na baadhi ya majanga? Simaanishi waliopata ajali ndo waogelee namaanisha mfumo wetu wa elimu wa ku kalili mambo ya kinjekitile kichwani bila msaada wowote bora Liwepo somo la uokoaji...
  18. JamiiForums Tanzania Morogoro: Hospitali yaikataa bili ya maji "hatujatumia maji ya milioni 1.8

    Mbunge wa Jimbo la Ulanga, Salim Alaudin Hasham amemtaka Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Ulanga kuangalia miundombinu ya maji katika hospitali ili kurekebisha maeneo yenye mivujo ya maji. Salim amesema hayo baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika hospitali hiyo na kuoneshwa bili ya...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namba za simu za Magari ya kuuza maji, Ubungo

    Mgao wa DAWASCO ni balaa, mwenye namba ya wauza maji na magari wanaopaki jirani na Ubungo anisaidie. Sina maji kabisa leo sijui nyumbani wanaishije.
  20. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM inatufanyia mbaya watanzania. Inatumia bil 733 kununua ndege wakati maji ya kunywa vijijini na mjini ni hakuna

    Hizi ndege haziwezi kumsaidia mwananchi wa kawaida. Hapa kuna siasa za kiswahili na uhuni uliokubuhu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…