Igweeeeeeeee! Tetesi ni kwamba Watanzania tujiandae kisaikolojia na kama vile wahenga walivyowahi sema "Ukiona mwenzako ananyolewa basi wewe zako tia maji".
Ndugu za Watanzania, hapo nchi jirani pametokea jambo la kushangaza kidogo. Jambo ambalo kama ukiliangalia kwa jicho la tatu huwezi kusita...