maji

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kama Maji Maji au Mau Mau ilikuwa halali, iweje lawama kwa wapalestina?

    Kulikoni? Au ni yale ya mkuki kwa nguruwe? Izingatiwe: 1. Binadamu wote ni sawa. 2. Suala la dini ni binafsi na la hiari. 3. Dini Kwa wenye nazo, kila mtu ana yake japo na wasiokuwa nazo pia wapo. 4. Unaongelewa je mgogoro kidini wakati kila mtu ana yake na imani disjoint, yaani zisizokutana...
  2. JamiiForums Tanzania Hii Ndo sababu Ziwa Natron lilioko Kaskazini mwa Tanzania kuonekana na "Rangi na Rangi ya Damu" (Nyekundu) Badala ya kuwa na maji meupe au blue

    Waswahili wanasema Tembea Uone! Tanzania Hasa katika Mkoa wa Arusha Na Hasa katika Hifadhi ya Ngorongoro kuna Ziwa Natron ambalo Asili ya ziwa hilo Ni Nyekundu mpaka Kufikia huko Duniani watu kuliita ziwa Hilo Deadly Lake. Kama unapanga kufanya utalii wa ndani Ngorongoro kwa kipindi hichi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Meli ya kivita ya USA yafukuzwa baharini na jeshi maji la Iran

    Jeshi la wanamaji la Irani limeiamuru meli ya kivita ya Marekani iliyobeba ndege za kivita zaidi ya 20 iondoke karibu na eneo la bahari la Iran na pia ishushe chini helcopter yake ya kivita ambayo ilikua ikifanya doria baharini. Baada ya ubishi kidogo,wakatii amri. Tazama tukio Zima la...
  4. JamiiForums Tanzania Watu wa Gaza wala nyama ya punda na kunywa maji ya chumvi kwa njaa. Misri ikipeleka misaada bila ruhusa ya Israel itapata hasara gani

    Tajiri mmoja wa Gaza ya kaskazini amesema wameishiwa na chakula na maji kiasi kwamba kuna baadhi ya familia zimelazimika kuchinja punda na kula nyama yake ili wabaki hai. Mbali na ushahidi huo picha nyingi za moja kwa moja zinawaonesha wananchi hao wakipanga foleni ndefu na kugombea mikate kitu...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tunavumilia tunachoka, hatuna umeme, maji, barabara mbovu, maisha juu, wapo busy na siasa safi

    watanzania wengi we are tired, tumechoka sana, . hii SERIKALI ya awamu hii is the worst government ever. EVERYTHING IS BROKEN, BADO SOCIETY TU, 2025 MBALI SANA WE ARE RUNNING OUT PATIENCE. SOME THING MUST BE DONE. WE CANT GO ON THIS WAY. WE NEED THIS GOVERNMENT OUT, BY ANY MEANS. WE NEED...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Tatizo la mita za kusoma maji, DAWASA toeni ufafanuzi wa kueleweka, mnawanyonya na kuwaibia wananchi

    Wakuu kwema? Suala la mita za DAWASA limekuwa ni changamoto na kero kubwa kwetu watuamiaji, na si kwamba ni watu wachache, malalamiko ni mengi ikiwemo na kwangu mdau lakini DAWASA wanakaza shingo. Nilishangazwa na mhudumu wa DAWASA kuona ni jambo la kawaida kwa familia ya watu watatu kuletewa...
  7. JamiiForums Tanzania Video: Maji yanayotoka leo baadhi ya maeneo Dar. Asante CCM!

  8. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mahundi: Zaidi ya Watu 233,000 Kunufaika na Mradi wa Maji wa Mugango - Kiabakari - Butiama

    NAIBU WAZIRI ENG. MAHUNDI: ZAIDI YA WATU 233,000 KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI WA MUGANGO- KIABAKARI-BUTIAMA. Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi amewataka wakandarasi wa mradi wa maji wa Mugango - Kiabakari - Butiama waweze kukamilisha utekelezaji wa ujenzi wa mradi huo ili wananchi...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza, kwanini bei maji ya Uhai 1.6L na Afya 1.6L ipo juu kuliko Masafi 1.6L na Pangani 1.6L

    Mwenye kufahamu sababu ya tofauti ya bei ya maji ya Uhai 1.6L na Afya 1.6L kuuzwa 700.00 wakati ujazo huohuo kwa Masafi 1.6L na Pangani 1.6L yanauzwa 500.00. Pia kwanini maji ya Pangani 1.6L hayana Stempu ya kieletronic juu ya mfuniko?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Prof Kitila Mkumbo amekuwa muongo sana. Mijini tu hakuna maji sembuse vijijini?

    Alichosema Kitila Mkumbo kwenye Sherehe za Uhuru Dodoma. Wakati tunaanza utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 mwaka 2000, ilikuwa ni 32% pekee ya Watanzania waishio vijijini walikuwa wanapata huduma ya maji safi na salama, tukajiwekea lengo kuwa ifikapo 2025 tuwe tumesogeza hadi...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kinyerezi kuna mgawo wa Maji iwe mvua iwe jua?

    Naomba kuuliza nini kinasababisha kuendelea kuwepo kwa mgao wa Maji Kinyerezi? Mfano mimi nnapoishi sijaona maji ya DAWASA zaidi ya miezi 3 pamoja na mvua zote hizi zinazonyesha.
  12. P

    JamiiForums Tanzania Picha: Tupatie update ya eneo lako husika- El nino 2023/2024

    Wakuu, tujuzane huko ulipo hali ikoje kwa picha na video, na kama kuna sehemu ina changamoto toa taarifa haraka kwa mamlaka husika kuepusha athari kubwa. Bila kusahau, tuchukue tahadhari kipindi hiki chote cha mvua. Mzazi, kama mtoto wako anasoma mbali na miundombinu ni mibovu ni bora...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Ishara za tukio la Hanang zinaashiria kubomoka kwa bwawa la maji kulikoni

    Kama mtaalamu niliyeshiriki kujenga vyanzo vya maji mbalimbali pamoja na mabwawa ninapata shida kuamini kuwa killchotoea Hanang ni natural land slide Kiwango kikuubwa cha maji kikifuatiwa na tope mda mfupi tena vinatiririka njia ya mto ni kuashiria storage ya maji upsteams kubomoka. Sasa...
  14. JamiiForums Tanzania SI KWELI Mafuriko ya maji yametokea leo Disemba 5, 2023 Mlima Kitonga, Iringa

    Salaam Wakuu, Nimeona taarifa imepostiwa na Boniface Jacob kupitia ukurasa wake wa X ikiambatana na video inayoonesha maji mengi ya mvua yakitiririka katika barabara ya Mlima Kitonga. Video hii imepostiwa pia na Change Tanzania pamoja na MwanaHabari. Je kuna ukweli wowote kwenye hili?
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kuzuia gypsum isiharibike na kuvuja kwa matone kiasi ya maji kutoka kwenye paa

    Habarini wadau. Nimemaliza kuezeka ila kwa hizi mvua zikinyesha sana na ikiwa na upepo, kuna dalili ya matone ya mvua /maji naona yanadondoka kwa ndani. Japo mvua ikiwa sio ya upepo hio kitu siioni. So nataka kuanza kufunga gypsum board nawaza nifanyeje kabla sijaanza hio kazi. Ili kama mvua...
  16. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuweka maji badala ya coolant kwenye gari yako?

    Habari za masiku wakuu bila shaka mko salama, hakika kwanza nakiri kupotea hasa kwa wale waliokuwa wanafaidika na makala zangu kuhusiana na elimu ya magari, Mambo yalikuwa mengi na changamoto za maisha lakini kikubwa ni uzima na tupo pamoja tutaendelea kupeana elimu pale unapopatikana wasaa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Dulla Mbabe na Ibra Class kwa kupoteza pambano dhidi ya Katompa ni sawa na mfa maji

    Nimeskitika sn Dulla na Ibra Classic kulalamikia chama Cha ngumi Tanzania eti Dulla alikuwa ameshinda. Kibaya zaidi Ibra Classic anaongea bila aibu eti majaji wameshindwa kumbeba Dulla kwa sababu hata wao wanapoenda Ulaya huwapiga wazungu lakini majaji huwabeba wazungu wenzao...
  18. JamiiForums Tanzania Kunywa maji baada au kabla ya kula?

    Habari za sahizi. Naomba ufafanuzi wa kina!! Hivi Ni wakati gani sahii/mzuri wa KUNYWA MAJI? KUNYWA mdji KABLA ya Kula? Au KUNYWA MAJI BAADA ya Kula? Elezea na sababu za kisayansi kabisa
  19. JamiiForums Tanzania Hivi MWAUWASA wanatuuzia maji ya mvua?

    Habari za mchana huu wana jukwaa? Kuna kitu kimekua kinaendelea kwa muda sasa jijini Mwanza kinanishangaza. Kwa muda mrefu sasa kuna baadhi ya maeneo jijini Mwanza yanapitia mgao mkali wa maji kwa sababu wanazozijua. Kinachoshangaza sana ni kwamba pamoja na kwamba chanzo cha maji ya bomba...
  20. JamiiForums Tanzania Mvua zinazonyesha haziingizi Maji kwenye Mabwawa ya Umeme, acheni kulaumu kuhusu Mgawo

    Hii ndio Taarifa mpya kutoka Tanesco , kwamba hizo mvua mnazoona zinanyesha haziwezi kupunguza mgawo wa umeme kwa vile maji ya mvua hizo hayaingii kwenye mabwawa hayo , haijulikani kama mabwawa hayo yamepigwa Bati juu yake au La Na mnaambiwa zaidi mvua hizo zinaharibu miundo mbinu na kuongeza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…