maji

  1. JamiiForums Tanzania Je, ni taratibu gani zinatakiwa kufatwa kabla ya DAWASA kumkatia maji mteja?

    Kumekuwa na utaratibu wa Dawasa kufika eneo la nyumba na kukata maji bila hata kutoa taarifa kama wanakata maji ilhali wenye nyumba wapo na namba za simu wanazo kwenye karatasi zao. Je, hii ni sawa?
  2. JamiiForums Tanzania DC wa Ubungo, Lazaro Twange azungumzia uhaba wa Maji na ubovu wa Barabara Kimara, asema kuna Mkandarasi amekimbia 'site'

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Lazaro Jacob Twange amewataka wataalam wanaosimamia miundombinu ya barabara kufanya kazi kwa haraka na kukamilisha kwa wakati ili wananchi wapate huduma. Mh. Twange ametoa maelekezo hayo katika ziara yake ya kusikiliza na kutatua changamoto mabalimbali za wananchi ...
  3. JamiiForums Tanzania Mirija Ya Uzazi Kujaa Maji.

    Mirija ya uzazi kujaa maji ni hali ambapo mirija ya uzazi hujaa majimaji na kuvimba, jambo ambalo linaweza kuzuia mimba kutungwa na kusababisha ugumba kwa mwanamke. Tatizo la mirija ya uzazi kujaa maji hujulikana kwa kitaalamu kama Hydrosalpinx. Leo katika mada yetu ya blogu hii tutazungumzia...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Mbele ya Rais Samia, Mbunge wa HandenI atangaza kuoga hadharani pindi mradi wa maji wa jimboni kwake utakapomalizika!

    Wakuu, Harakati za ku-please wananchi katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye kampeni zinaendelea. Mbunge ambaye alikuwa ana miaka 5 ya kuwaletea maji wananchi leo hii anasimama mbele ya Rais anasema kabisa kuwa siku maji yakija ataoga hadharani. Mbunge wa Handeni akiwa anaongea mbele ya Rais...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi kutoka Vijiji 112 kutoka Ushetu, Shinyanga wanatarajia kuanza kunufaika na Mradi wa Maji kutoka Ziwa Viktoria, mabomba lukuki yashushwa

    Wananchi kutoka Vijiji 112 katika Halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga wanatarajia kuanza kunufaika na Mradi wa Maji kutoka Ziwa Viktoria ambao kwa sasa utekelezaji wake unaendelea kwa Awamu ya kwanza. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ushetu Gagi Lala wakati akizungumza...
  6. JamiiForums Tanzania Usingomaza unaongezeka kwa maana wadada hawataki tena kutii mabwana zao ila wakienda makazini hata boss akimtuma maji ya kunywa anasema "yes sir"

    Najua mnaweza kuja na claim ya kuwa unakuta bwana ni mkorofi, aaah waapi!? Ebu jaribu kuwa mpole wa kupitiliza uone jinsi gani mwanamke atakavyokuendesha. Tatizo kuwa hamtaki tena role ya "traditional woman" iliozoeleka katika mapenzi, mnataka mapenzi ya instagram, ukweli ni kuwa mwanaume...
  7. JamiiForums Tanzania Wenyeviti serikali za mitaa watakiwa kuhamasisha wananchi kujiunga na mtandao wa maji ili kuvutiwa maji majumbani

    Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar Es Salaam(DAWASA), Mhandisi Mkama Bwire ametoa wito kwa wenyeviti wa serikali za mitaa kutoka wilaya ya Kigamboni kuhamasisha wananchi kuweza kujiunga na mtandao wa maji ili waweze kuvutiwa maji majumbani kwao. Mhandisi...
  8. JamiiForums Tanzania Kero ya ukosekanaji wa maji

    Kumekuwa na ukosekanaji wa waji katika baadhi ya nyumba eneo la tabata mtaa wa migombani (tembomgwaza) yaan maji yanatoka kwa kuchagua nyumba baadhi, takribani wiki tatu sasa. Wananchi hawaelewi ni Dawasco au kuna uhuni wa ukataji wa mabomba. "Tunaomba serikali itusaidie kufuatilia kwa kuihimiza...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Hungary kuimarisha ushirikiano katika sekta ya nishati itokanayo na Rasimali Maji.

    . Tanzania na Hungary kuimarisha ushirikiano katika sekta ya nishati itokanayo na Rasimali Maji. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ametembelea Wizara ya Nishati ya Hungary na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania na Hungary kushirikiana kujenga mradi wa maji Biharamulo

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmound Thabit Kombo(Mb.) akiambatana na Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb.) na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mhandisi Mwajuma Waziri, ameongoza ujumbe wa Tanzania kutembelea Mradi wa Kutibu Maji wa wilayani Csepel jijini...
  11. JamiiForums Tanzania MWAUWASA: Ujenzi wa matanki ya Maji kwa Wananchi umeanza ili maeneo ya milimani yapate maji kwa uwiano sahihi

    Baada ya hoja za Wanachama kadhaa wa JamiiForums.com kuelezea kuhusu changamoto ya huduma ya maji katika baadhi ya maeneo Jijini Mwanza, ufafanuzi umetolewa na Mamlaka husika... Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maji na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira...
  12. K

    JamiiForums Tanzania KERO Kero: Kuna shida kubwa sana ya maji jiji la Mwanza (Nyamagana)mitaa ya Igoma, Machinjioni, kwa Kibeshi, Mhandu

    Sijui ni viongozi wa MWAUWASA wanataka kumgombanisha mama na wananchi kwa makusudi au ni vipi.Yaani maji yanaweza kukosa mwezi mzima na viongozi wapo tu ofsini. Wizara ya Maji chini ya AWESO em fatilia hili limekuwa kero inayojirudia mara kwa mara.Mama anamwaga fedha nyingi sana kwenye MAJI ila...
  13. JamiiForums Tanzania Tena msifuate maji nikirudi nitakuja na mvua!! Mama zetu wa kiafrika

    Mama zetu wa kipindi cha nyuma walikuwa hawaachi maagizo Moja kwa moja.Lazima aseme kwa mafumbo Mfano akitaka kutoka anataka kuwaambia mfanye kazi fulani utasikia. Msiende kusanga hayo mahindi nitakuja na wali. Naenda kusuka Msiwape ng'ombe maji nitakuja na soda. Na mtembee mtaa wote wajue...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Aweso awataka DAWASA kushirikiana na wenyeviti wa Mitaa ili kutatua changamoto za maji na kurahisisha utoaji wa huduma

    AWESO AITAKA DAWASA KUSHIRIKIANA KWA KARIBU NA WENYEVITI WA MITAA Waziri wa Maji, Jumaa Awesso ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA) kushirikiana kwa karibu na wenyeviti wa mitaa ili kuweza kutatua changamoto za maji pamoja na kurahisisha ufikishaji wa huduma...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 DAWASA: Usambazaji wa maji Kinondoni wafikia 97%, Je, ulipo bado kuna shida ya maji?

    Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar Es Salaam(DAWASA) @dawasatz Mhandisi Mkama Bwire amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusaidia upatikanaji wa maji katika Wilaya ya Kinondoni kufikia asilimia 97%. Akizungumza katika Kikao Kazi cha DAWASA na...
  16. JamiiForums Tanzania DAWASA yawafunda wenyeviti wa mitaa usimamizi huduma za Maji

    Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe Saad Mtambule amezitaka taasisi zinazofanya kazi ndani ya wilaya hiyo kuiga mfano wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ya kuwashirikia viongozi wa Serikali za mitaa kwenye utekelwzaji wa majukumu yao. Amesema hatua hiyo itawasadia...
  17. JamiiForums Tanzania Iipofika topic ya Kinjekitile tulimcheka sana na kumuona mshamba lakini hatukujua hata sisi tulikuwa tushapakwa dawa na kuambia risasi zitageuka maji

    Manipulation: Ni jinsi gani unaweza kumshawishi mwanadamu mwenzako?, its simple, mfanye akuamini zaidi ya nafsi yake, mfanye aamini ya kufikirika yana special connection na wewe. Confusion: Tulimshangaa sana ngwale lakini kuna upande mwingine ulituambia alifanya ushujaa ili ashawishi vijana...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aweka rekodi ya Dunia. Tuna uwezo wa kuzalisha umeme hata mvua isiponyesha miaka 3. Lita bilioni 2 za maji bwawa la Nyerere zakusanywa

    Ndugu zangu Watanzania, Ni Neema na Baraka kubwa sana kwa Taifa Kuongozwa na Mtu kwenye kibali kutoka kwa Mungu Mwenyewe. Kwa sababu Taifa na Nchi inakuwa na baraka na kupata Neema kwa Mambo mbalimbali na kulifanya Taifa kuwa lenye amani, utulivu,umoja na mshikamano wakati wote. Mungu akimpa...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Dr. Janabi hujaliona hili? chuo chetu kikuu hakiruhusu wanachuo kuingia na maji ya kunywa maktaba

    Kuna taratibu zingine ukizikuta unaanza kujiuliza hawa waliwaza nini? Kwa aina ya viongozi waliopo pale chuoni kwetu sina shaka wote wanajua umuhimu wa kunywa maji kila wakati ili Ubongo ufanye kazi vizuri. Sasa inakuaje mwanafunzi anaingia maktaba anakatazwa kubeba maji ya kunywa na kule...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wizi wa mita za maji ni janga jipya Dar na Pwani. Nani analipa fidia?

    Tufahamishwe hizi mita zinazoibwa hutumika kwa ajili nini tena? Kama mamlaka husika hawawezi kuzilinda kwa matumizi mengine kwa nini zifungwe nje? Mamlaka za maji wanawajibu wa kutafakari na kuzima kabisa matukio ya wizi wa mita za maji. Wananchi hawawezi kuwa walinzi wa mali zenu. Wenzenu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…