Habari wadau, naomba msaada wenu kwa kitu kinachonichanganya kidogo. Nyumbani kwangu sijamaliza ujenzi so kwa suala la choo na bafu familia nzima tunatumia kile cha public. Hiki cha masters tayari wameshaweka matoleo ni kiasi tu cha kununua sinki na shower ila tangu mwaka jana mwishoni maji...