maisha

  1. JamiiForums Tanzania Kisa katika sehemu ya maisha halisi

    Mtale Kwanini unaomba ndoo kwa huyo bimkubwa huku ndoo zimejaa ndani?. Ni swali aliniuliza mfanyakazi mwenzangu niliewahi kuishi naye kwenye nyumba moja. Kisa katika moja ya maisha halisi ya A.Mtale. Wakati nimemaliza masomo yangu ya shahada ya kwanza huko Dodoma niliajiriwa na shirika moja...
  2. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Dhana ya kusoma uwe upate kazi na uwe na maisha mazuri inapotea na kufutika kabisa

    Mzuka Wana jamvi.... Mika ya nyuma na kipindi nipo mdogo kulikuwa na wimbi kubwa la Wazazi na Jamii kwa ujumla wakihamasisha watoto wasome ili waukimbie umasikini wapate kazi na wawe na maisha mazuri , na ilikuwa unatishwa kweli kweli kuwa ukizingua tu maisha yatakushikisha adabu. Baada ya...
  3. JamiiForums Tanzania Nimekuwa mtu wa kuumizwa, kutopewa thamani na kusalitiwa kwa wale wote niliowaamini na kuwapenda

    Habarini ndugu zangu. Niende Moja kwa Moja kwenye mada. Maisha ya mwanadamu ni mjumuisho wa vitu vingi sana, tunapambana Kila kukicha kuhakikisha tunakuwa Bora zaidi ya tulivyokuwa Jana. Lakini kwa sasa kwangu hii imekuwa tofauti. Najua wengi tunapitia changamoto lakini tunapambana na...
  4. JamiiForums Tanzania Ukifanikiwa kupata tobo la maisha ruksa kuwavimbia wabaya wako

    Maisha mpaka mtu kufanikiwa anakuwa amepitia mambo mengi kuna stages , kuchekwa , kupuuzwa , kusemwa vibaya , kudharauliwa . Ukiona mtu ana roho mbaya haijaja bure amefundishwa na walimwengu wenyewe. Wanadamu ni wakatili sana kwa mtu asiye na kitu . Ukifanikiwa kuyapata maisha vimba ...
  5. JamiiForums Tanzania Nini maana ya maisha?

    Wakuukwanza niseme nakushukuru sana kwa JamiiForums haswa inaleta exposure watu tunapona kimya kimya kwa maana siku niliyojiunga sikulala ni kama nilikesha natafuta hizi parts nasoma mpaka nikajikuta najiahidi kujileta kwako Kitu niligundua tangu nikufatilie ni uko very so down to earth not...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta Mwenza wa Maisha — Mwenye nia ya dhati tu

    Habari zenu wanajamii, Natumaini mko salama. Nimeamua tena kuweka tangazo hili kwa lengo la kukutana na mwenza wa maisha mwenye nia thabiti na malengo ya dhati. Mimi ni mwanamume mwenye umri wa miaka 38, naishi Dar es Salaam. Natafuta mwanamke Mkristo mwenye umri wa miaka 25 hadi 35, mwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Katika maisha yangu sikuwahi kutegemea kuna kitu kitaanzishwa na chama cha walimu wasio na ajira

    Sikutegemea ipo siku kuna chama kitaanzishwa na walimu waliokosa ajira Basi nakiri kusema kuwa tupo katika unemployment crisis. Kuna wakati waalimu hawakubaki mtaani kwa maana walikuwa on demand. Kwa wewe graduate, kama baba yako ni apeche alolo, sura ngumu kama mimi, hauna connection tafuta...
  8. JamiiForums Tanzania Mstari gani wa BIBLIA umegusa maisha yako?

    Binafsi kwa siku ya leo, mstari huu wa BIBLIA umegusa maisha yangu nazidi kuutafakari na kuomba neema nipate kuuelewa zaidi na kuyaishi mafundisho hayo. Galatians 5:22-23 Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole, kiasi; juu ya mambo kama hayo...
  9. JamiiForums Tanzania Hali ngumu ya maisha ya nyumbani ndo ilisababisha mwanafunzi kutaka kuacha shule

    Baada ya kufuatilia tukio zima la mwanafunzi wa darasa la sita kuchapwa na mwalimu wake hadi kuumia mkono, huko mkoani kilimanjaro nimegundua mambo kadhaa toka kwenye familia yake Familia anayotoka ni duni sana ,mama yake anafanya vibarua vya kufua kwa watu japo sio mara zote hupata kibarua...
  10. JamiiForums Tanzania Lipi ni sawa, kumfukuza kijana wako hapo kwako ili akaanze maisha yake au kumwacha azeekee hapo kwako?

    Kwa jamii nyingi kijana akishapata umri basi anaonekana ameshakuwa mkubwa na hastahili tena kuwepo hapo kwako mzazi na mara ingine kama ataendelea kuwepo, basi atakereshwa almradi aondoke akaanze kujitegemea na s'tyms haya yanafanyika bila hata kujali kama mhusika ana ajira au la. Wengi...
  11. JamiiForums Tanzania MAISHA NI SAFARI NDEFU

    Kumekuwa na msemo mmoja mali utaipata shambani,, siju moja nilikua katika safari ya kikazi japo ni kazi ya muda hapo mkoani geita,, wale wenyeji wa geita mnaelewa unakuta kikosta (daladala) kina makonda zaidi ya sita wapiga debe 6 kuna mzee akasema mnatupotezea mda shida vijana wamejazana hapa...
  12. JamiiForums Tanzania Barua ya 50 kwa ulimwengu kupotea kwa maisha ni njia nyingine ya kufa

    Unahitaji nini katika maisha yako? umefahamu ni nini unapaswa kufahamu ili upate unacho kihitaji? umefahamu jinsi ya kufanya katika unacho kifahamu?. Ni muhimu sana ujue nini uhitaji, kufahamu unacho kihitaji kwa mapana yake na kufanya kwa vitendo kwasababu maisha yana upepo kila pande,upepo...
  13. JamiiForums Tanzania Najihisi kuchoka na haya maisha ila nigerudisha siku nyuma ningefanya hivi.

    Wakuu I'm fed up with life Nimechoka na haya maisha Familia yangu ilikuwa sawa even my kids Ila wamei-block Biashara zangu wame-block Everything is down now. Kwa mtu yeyote anayejijua ni mchapakazi na mtu anayejitambua don't expose ur progress to anybody. hasa familia yako. Maaumzi yangu...
  14. JamiiForums Tanzania Maisha ni magumu lakini sio kukimbia familia (Damu Yako)

    Habari wakuu wangu. Hapa mtaani kwangu Bana Kuna jamaa kakimbia watoto wake wawili pamoja na mama mtoto wake. Kwa Sasa namuona dada anapitia hali mbaya Sana ya kiakili. Wee jamaa kama upo humu umezingua Sana unaacha vipi watoto wako? ni afadhali ungewaaga Tu Kwamba unaenda kutafuta Maisha...
  15. B

    JamiiForums Tanzania CTI Yatoa Wito wa Hatua za Haraka za Sera na Utekelezaji ili Kulinda Maisha na Mapato katika Sekta ya Viwanda

    Obinna Anyalebechi (Mkurugenzi Mtendaji wa SBL) akizungumza katika warsha ya siku moja iliyokutanisha wadau wa sekta binafsi na wadau wa maendeleo kutoka mashirika mbalimbali kuzungumzia mikakati ya kupambana na biashara haramu ya pombe nchini Tanzania. Kuanzia kulia ni Khadija Ngasongwa...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Kwa kijana anayeanza kujipata jijini Arusha, ni mazingira gani rafiki au mitaa gani rafiki anaweza anzia maisha ikiwezekana kujenga kabisa?

    Kama mada inavojieleza, kijana anaeanza kujipata jijini Arusha, ni mitaa gani rafiki kuanzia maisha na kujenga kabisa Urafiki ninaoongelea namaanisha upatikanaji wa viwanja, huduma za kijamii, na unafuu kidogo wa maisha
  17. JamiiForums Tanzania CHIMBO LA VIFARANGA TANZANIA

    🐓S&Q_GROUP_INTERNATIONAL LIMITED🐓 AGIZA NASI VIFARANGA BORA KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA 0781647066 ____________________________________________ 📠☎️ 0781647066 WAZALISHAJI WAUZAJI NA WASAMBAZAJI WA VIFARANGA BORA VYA KUKU WA NYAMA PAMOJA NA KUKU WA MAYAI TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM , DODOMA NA...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Maisha ni siri

    Maisha yana siri Kubwa sana asimilia 99.99% aliyekuzidi mafanikio kakuzidi zambi hata kama nikiongozi wa dini
  19. JamiiForums Tanzania Ndoa ya Aziz Ki ni maisha yake binafsi, lakini Wacha nitie neno kidogo

    Binafsi nampongeza Aziz ki Kwa kupata jiko, ila Nina haya 1. Wazee wanasema kuwa anayeona laZima aulize, Sina uhakika kama kijana wetu Aziz ki aliuliza na kuchakata kuhusu mkewe. Au alikutana na machawa wakamjaza akajikuta ameingia cha kike. Nadhani Kwa maisha ya football ingekuwa njema akapata...
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kujenga nae maisha

    Nina uhitaji wa mwanamke umri usiozidi miaka 30. Awe na uwezo wa kusimamia biashara, asiwe single Maza, nipo serious. Karibuni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…