maisha

  1. JamiiForums Tanzania Vita Huwa haipiganwi Huwa inachezwa,Na hata mafanikio katika maisha yanatafutwa kama mchezo tu hivyo usifuate sana sheria ichezee hela upate hela.

    Ukiwa mpiganaji na upo Frontline utagundua kwenye majibizano ya risasi Huwa ni kama mchezo Fulani wa kutoana wazimu yaani watu wanafyatua risasi ovyo kuelekea kwa adui sio kila risasi eti lazima uzingatie target nyingine unazipoteza tu juu yaani kiufupi unachezea risasi na kumbuka zote hizo ni...
  2. JamiiForums Tanzania Unamsaidiaje mtu anaetaka kujiua?

    Habari za wakati huu wakuu. Wakubwa shikamoo, madogo wozah niaje. Kuna ongezeko kubwa la kesi za watu kujiua kwa mambo mbalimbali, hata huku kuna dogo alimaliza la 7 akakataa shule, wazazi wakaforce sana akagoma, siku hio mzee wake akadamka akampiga biti dogo kama nikirudi hujaenda shule uhame...
  3. JamiiForums Tanzania Haya maisha yanapotea kwa kasi. Kuna wakati yatabaki kwenye vitabu vya simulizi tuu

    Maisha ya kijijini.. Mandhari za kuvutia sana.. Changamoto kiduchu.. Wote mnafamiana.. Hakuna gesti za wageni au ni chache na hizo chache hazina shorttime na hazina vibao vya vyumba vimejaa😀
  4. JamiiForums Tanzania Mke au Mume ni ufunguo wa maisha

    Mke au Mume ni ufunguo wa maisha,hivyo msidanganye,vijana wa kiume na wa kike oaneni na sio lazima mfanye sherehe
  5. JamiiForums Tanzania Maisha yanabadilika muda wowote, be humble

    Habarini za wakati huu wana jamii forums, ni matumaini yangu mu wazima, kwa wale wenye changamoto za kiafya Mungu awafanyie wepesi. Kuna kisa kilitokea miaka kadhaa iliyopita, nimekikumbuka nimeona nishee hapa jukwaani. Shule ya msingi niliyosoma, mwalimu wetu mkuu ndiyo alikuwa anatufundisha...
  6. JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson: Wanaume wasaidieni wanawake kiuchumi

    Spika Wa Bunge La Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini Dk Tulia Ackson amesema licha ya kuwepo kwa Juhudi mbalimbali za kuwainua Wanawake Katika Nyanja Mbalimbali Ikiwemo Uchumi na uongozi lakini bado kundi la Wanaume wana wajibu wa kuendelea kuwasaidia Wanawake ili...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Trump maisha yake yapo hatarini. Sababu amechagua amani Ulaya na kukataa 'uliberali'

    Kwa ilivyo sasa Raisi Donald Trump maisha yake yapo hatarini mara kumi zaidi ya wakati wa kampeni za kugombea uraisi wa Marekani kwa awamu ya pili. Viongozi wengi wa nchi kadhaa za bara la Ulaya hawataki amani kati ya Ukraine na Russia. Wanataka vita sababu nchi zao nyingi ni maskini wa...
  8. JamiiForums Tanzania Kitu gani uliamua kukifanya toka mwaka umeanza, ambacho kimezaa matunda au kimekusogeza mbele?

    Tupe uzoefu wa mwaka 2025 kwa siku hizi siku 64 za mwanzo. Toka january mpaka leo, vitu gani vya manufaa au tabia gani mpya zimekusaidia / zimebadili maisha yako. Binafsi ni ku prioritize afya yangu, kufanya mazoezi na kula vizuri.
  9. JamiiForums Tanzania Kijana uliyechapwa na maisha usipanic kwenye uwanja wa vita. Hao marafiki zako wanaorusha picha mtandaoni huku wameegemea magari makali wengi si yao

    Mtu dhaifu hujitutumua ili asionekane dhaifu. Mtu maskini hujitutumua ili asionekane maskini. Mtu asiye na fedha hujitutumua ili asionekane hana pesa. Pia ni tabia za Kiafrika kila mtu kutoka kujionyesha si mnyonge. Hizo picha za maeneo mazuri zisikupagaishe, hapo ni bar, restaurants, hotel...
  10. JamiiForums Tanzania Madokta mnacheza na maisha yetu?

    Wakuu najiuliza swali hapa, hivi miandiko ya Madoctor hadi leo imeshasababisha vifo vya watu wangapi kutokana na uzembe wa kutokuandika vizuri, Kila doctor mwandiko wake anaweza kuusoma yeye mwenyewe! Muda mwingine hata yeye mwenyewe anasahau ni kitu gani amekiandika! Kwa uzembe huu wa kurush...
  11. JamiiForums Tanzania Naelewa kabisa tunatafuta Maisha mazuri ila waafrika wenzetu ni kama wamefyatuka akili

    Huwa ninapokuwa napata muda na nimepumzika mara nyingi huwa napenda kufuatilia kipindi kimoja kinaitwa AIRPORT SECURITY ambacho kinapatikana katika channel ya NATIONAL GEOGRAPHIC kutoka king'amuzi Cha Dstv Kipindi hiki mara nyingi kinaangazia masuala ya usalama katika Viwanja tofauti tofauti...
  12. JamiiForums Tanzania Dar: Askari wa Usalama Barabarani kagongwa na kupoteza maisha

    Habari Mbaya sana. Askari Polisi wa Uslama Barabarani kagongwa huko Gongo la Mboto na kupoteza maisha hapo hapo barabarani. Picha haitazamiki mara mbili kwani Ubongo upo nje. Huwa aka yake anaitwa Mzee wa Busara. Taarifa kamili watatoa polisi wenyewe. Apumzike kwa amani.
  13. JamiiForums Tanzania Je, Kweli Umenasa au Umezoea Hali Ulionayo? Tafakari Kuhusu Maisha na Mabadiliko

    Katika safari ya maisha, kuna nyakati tunajikuta tukihisi kama tumekwama mahali fulani—bila mwelekeo, bila maendeleo, na bila matumaini. Ni hali inayoweza kukufanya ujisikie kama dunia inasonga mbele bila wewe. Unafanya kazi kwa bidii, unafuata ratiba ile ile, lakini hakuna dalili za maendeleo...
  14. JamiiForums Tanzania “Watanionaje” neno hili linaweza kukufanya ukaishi maisha magumu sana

    Watu wengi hasa wasiokuwa na ajira wameshindwa kutoka ndani na kujaribu kufanya baadhi ya shughuli za kujiingizia kipato kwa kuwaza kuwa “watamuonaje” Ukijaribu kuangalia kuna vitu vingi vya kufanya kwa waliohitimu vyuo mbalimbali huku mkiendelea kusubiri ajira. Vitu hivyo ni kama...
  15. JamiiForums Tanzania Zingatia haya mambo 10 katika maisha ( Ten commandments of life )

    1. Usimsaidie mtu bila kuombwa msaada. 2. Lazima ujue kuwa adui wako makubwa ni miongoni mwa ndugu yako. 3. Rafiki wa kweli zaidi ni wewe mwenyewe tu. 4. Ukiwa maskini utadharaulika mpaka na watoto wadogo 5. Mtoto mdogo ndiye pekee anayependwa bila sababu. Ukiwa mtu mzima utapendwa kwasababu...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Ukiwa Dar es Salaam unaweza kudhani maisha umeyapatia, kumbe umechelewa sana bila kujua

    Yaani Haya Maisha Bwna. Yanaweza kuwa yamekupiga Chenga ila bado ukawa unaamini umeyapata. Hasa hasa kama una ishi Dar kuna kaimani kanakujia kichwani kwamba huko Mbeya hakuna kitu, kuna kasumba inakupumbaza kichwani kwamba huko Mtwara kumejaa maskini tu na hakuna hela. Yaani Kichwa kinajaa na...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Usiwe pumziko la mtu aliyecheza na maisha yake

    Mwanaume ni kiongozi wa maisha yake, mwenye maono na anayepambana kujenga kesho iliyo bora. Lakini katika safari hii, kuna changamoto—moja wapo ni mzigo wa wale waliochezea maisha yao na sasa wanatafuta pumziko. aise Niseme wazi: Mwanaume usiwe pumziko la mwanamke aliyechezea maisha yake...
  18. Y

    JamiiForums Tanzania Natafta Room yakuanzia maisha bukoba

    Habari Wana JF Nashukuru kwa wote walio changia ushauri katika harakati zangu zakutaka kwenda kutafta maisha bukoba katika Uzi uliopita na majibu nikwamba naenda kuuza senene.🙏🙏 Naam Sasa ninaomba kwa alieko bukoba naomba anisaidie nipate room Moja yakukaa 🙏🙏
  19. JamiiForums Tanzania Wilaya ya Chalinze haina Mpinzani kwenye ajali za Barabarani. Ni eneo hatarishi sana kwa Maisha. Mamlaka zichukue hatua.

    Nadhani hii ndo wilaya pekee Tanzania inayokunywa damu.za kutosha. Ukiingia youtube au google uka search Chalinze Taarifa 3 za kwanza ni ajali ajali miaka nenda rudi ni eneo hatari sana na watu wanapaswa kuwa makini. Check hii ni ya leo leo Bwilingu nadhani na ufinyu wa barabara unachangia...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna maisha watu wanapitia kushinda njaa kuliko kipindi cha Ramadan ila ikifika ramdan wanashindwa kutekeleza au kuzidiwa.

    Unaweza kukuta mtu siku nzima kashinda na njaa na kupata chakula ni mara moja. Kuna wengine hata uhakika wa msosi hana lakini huwezi kuona wanatetereka. Ramadan ikifika wengi hulegea na wengine hujiona wanapitia kipindi kigumu cha mateso. Hivi kwa ndugu zetu waislamu shida inakuwa nin?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…