maisha

  1. JamiiForums Tanzania Salim Kikeke mbona umelambishwa Asali na 'Mama Fulani' mapema sana? Nilijua ukiwa Ulaya na kurudi Bongo huwezi kuwa Chawa au Muoga wa Maisha mapya!!

    Halafu acha Kutudanganya kuwa umerejea Nyumbani kwakuwa Mama fulani Kakushawishi na kwamba sijui Baridi Kali la Uingereza pia ni sababu, bali ukweli ni kwamba kwa ilivyokuwa BBC na kwa Umri wako (huku ukiwa huna jipya tena) waliamua Kukumwaga mapema. Wewe ni mwana Simba SC Mwenzangu na nilikuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Hawa China ambao raia wake wanahangaika na Maisha ndo mlikuwa mnawahita Super Power?

    Nchi ambayo inajiita Super Power inakuaje na Raia ambao wana maisha magumu Maana sio rahisi umkute raia wa marekani akija Africa na kufungua Madube na kisha kujiita mwekezaji.
  3. JamiiForums Tanzania Ni vigezo gani hutumika kusema kuwa China ni nchi ya pili kiuchumi duniani ikiwa raia wake wanahangaika na Maisha kufika hatua ya kukimbilia Afrika?

    Ikiwa nchi Ina uchumi mzuri kidunia je inakuaje watu wake wanakuwa wanahangaika na maisha ? Mfano angalia raia wa kichina wanavyoangika na Maisha kufika hatua ya kufanya Kazi ambazo wanafaa wafanye waswahili. Je kuna siri gani hapa ? Maana hauwezi kuwakuta raia wa marekani wanaishi Kama hivi...
  4. JamiiForums Tanzania Ni jambo gani ambalo umekua ukilifanya katika maisha yako na hujawahi kufundishwa shuleni wala nyumbani?

    MIMI👇 1. Kutemea mate pale nilipokojolea 2. ..........
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya watu wanaridhika na maisha duni wakati wengine wanapambana hadi mwisho?

    Kuna uwezekano mkubwa wa kuishi maisha mazuri na yenye raha hapa duniani. Lakini ajabu kuna watu wanaridhika kuishi maisha duni. Wasiokubali kuishi maisha ya kimaskini wanapambana hadi mwisho. Wanaoridhika kubaki maskini huamini kwamba walizaliwa kwa bahati mbaya na hawana uwezo wa kubadilisha...
  6. JamiiForums Tanzania Mapenzi matamu jamani

    Ndugu zangu mbali nanyoote ila hakikisha una mpenzi anaekupenda na wewe unampenda kiufupi mpendane kweli kweli maisha yanakuwa rahisi na matamu yenye furaha ukiwa na mwenza mnaeendanda, furaha ya kweli inatokea hapo. Kama una kazi nzuri ,pesa na na kila kitu ila kama huna mwenza maisha kwako...
  7. JamiiForums Tanzania Tucheke kidogo na haya maisha ya ukimani.

    …mji wa saba nchini Brazil 🇧🇷, Manaus, ulipoishia, kuupisha msitu wa Amazon… Wenzenu wanaheshimu misitu yao… Sio Ukimani, mnaojenga ovyo ovyo tu… Siku moja nipo Mikumi, nikasema wacha nipige misele kidogo… Nikaenda nafuatilia makazi ya watu… Bila kujua, nikajikuta tayari nipo mbugani…...
  8. JamiiForums Tanzania Storia fupi J.K. ROWLING mwandishi nguli wa Harry Potter. Nimejifunza "its never too late" kubadirisha maisha yako

    Katika umri wa miaka 17, alikataliwa kujiunga chuo kikuu. Katika umri wa miaka 25, mama yake alikufa kutokana na ugonjwa. Akiwa na umri wa miaka 26, alihamia Ureno ili kufundisha Kiingereza. Katika umri wa miaka 27, aliolewa. Mumewe alimnyanyasa. Akiwa na umri wa miaka 28, alitalikiana na...
  9. JamiiForums Tanzania Yajue maajabu 20 ya maisha ya "walokole"

    Hapa duniani kuna watu wanaishi maisha ya ajabu sana. Watu hao ni wale wanaokiri kwamba wametubu dhambi zao, wanaamini kuwa Yesu ni Bwana, na wanaishi maisha matakatifu. Wanaowabeza na kuwadharau watu hao huwaita “walokole.” Haya ndiyo maajabu 20 ya maisha ya “walokole:” Hawalogeki. Wachawi...
  10. JamiiForums Tanzania Maisha ya msanii wa kikongo "Lady Isa" yupo wapi na anafanya nini kwa sasa

    Jamani wakulungwa hatujambo humu! Natumai wote mko powa kabisa, jamani kuna uyu mwanadada anaitwa Lady Isa nakumbuka kuna kibao chake kimoja nilikuwa nakipenda sana kama sikosei ni tamaa iliua fisi, kiukweli nikisikiliza hii Ngoma huwa napata hisia fulani hivi. Hivi uyu mdada kwa sasa yupo wapi...
  11. JamiiForums Tanzania Maisha baada ya kifo, dini, filosofia na sayansi vinasemaje?

    Swali kuhusu "maisha baada ya kifo" ni swali la kifalsafa na kidini ambalo limekuwa likijadiliwa kwa karne nyingi. Jibu linategemea sana imani na msimamo wa kila mtu. Hapa kuna baadhi ya mitazamo kuu: 1. Dini za Kikristo: Zinasisitiza kuwa kuna maisha baada ya kifo, ambapo watu wanaweza kuishi...
  12. JamiiForums Tanzania Vijana wa bongo, Tuishi kwa kuendana na hali halisia ya maisha yetu vinginevyo tunajitia katika maisha ya stress au kufanya maamuzi yatakayo tucost.

    Yule mwingine alikamatwa na ngada kwenye manywele yake. Huyu mwingine ni anatepeli watu. Alafu wakija mitandaoni wanawaonesha marenji rova ili kuwaumiza roho. Hii yote ni malue lue ya maisha ya TV, kushindana, hurka za misifa sifa, upendaji wa anasa, kutokubali ukweli wa uhalisia, etc. Sawa...
  13. JamiiForums Tanzania Maisha yako yanausikiliza wimbo gani?

    Tunaweza kuona hali yetu ya nje kupitia muziki tunao usikiliza sio kuusikia, yaani maisha yametupa kusikiliza na kusikia. Je maisha yako yana usikiliza Muziki wa aina gani Kuna baadhi ya nukuu za muziki zinazo elezea uwezo wa maisha ya kibinadamu ya sasa mfano Dizasta Vina anaposema "...
  14. JamiiForums Tanzania Ni aibu gani umeshawahi kupata kwenye maisha yako??

    Mimi niliwahi kuitwa mahali na mtu nikaenda hiyo sehemu nikakutana na marafiki zake, sasa huyo mmoja niliwahi kudate nae aisee hii aibu ilikuwa kubwa sana na huyu jamaa niliekuwa nae akawa ananiintroduce mimi mtu wake nini ana furahia😁😁 After hapo yule jamaa nadhani alipewa taarifa na rafiki...
  15. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akutana na Dr Mpoki aliyeogonza jopo la madaktari Dodoma Hospital kuokoa maisha yake 2017; Dr Mpoki amwaga chozi kumuona jamaa anadunda.

    Hapa anaandika Tundu Lissu mwenyewe kwenye ukurasa wake wa X/Twitter👇🏻👇🏻 ".....It's taken seven years and six months and the passing of a great Tanzanian for me to meet the man who led the team of doctors who saved my life on 7 Sept. 2017. Dr. (now Prof.) Ulisubisya Mpoki, then Permanent...
  16. JamiiForums Tanzania Waliopelekwa Jela kujifunza wapi kuna maisha Marahisi

    Waliopelekwa Jela kujifunza wapi kuna maisha Marahisi Jela au Uraiani Tunaweza kupata sababu ya kuelendelea kupambana No election no Reforms https://youtu.be/E42aCOaTDIQ?si=r_QmNOTi6iT5Mxzr
  17. JamiiForums Tanzania Kwenye haya Maisha kuna watu ni untouchable , hii nimejifunza kwa njia ngumu.

    Nilichojifunza sio kila mtu anagusika . Kuna jirani yetu ukimjaribu basi lazima mpoteane . Nilimfata na kumuuliza inakuaje kila anayetaka kukufanyia ubaya au anayekufanyia anapoteana Alinijibu kuwa hiyo hata yeye hajui na wamezikwa watu wengi na kupoteana tangia zamani. Mimi mwenyewe...
  18. JamiiForums Tanzania Falsafa ziongozayo maisha ya Wayahudi

    Falsafa inayowaongoza Wayahudi imechangiwa na mafundisho ya kidini, kitamaduni, na wanafalsafa wakuu wa Kiyahudi kwa historia yao. Baadhi ya falsafa na mawazo yanayowaongoza Wayahudi ni kama ifuatavyo: 1. Uungu na Uumbaji: - Wayahudi wanaamini kwa Mungu mmoja aliyeumba ulimwengu na kuwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Haya ndio Maisha halisi ya huyu mwanadada ameamua kuubadili mwili wake na kujiweka muonekano wa kivampire

    Haya ndio Maisha harisi ya huyu mwanadada ameamua kuubadili mwili wake na kujiweka muonekano wa kivampire na ndio chaguo lake na anajiona mrembo kuliko awali
  20. JamiiForums Tanzania Nyie weekend mnaenjoy wapi?

    Leo nimeona mambo yasiwe mengi nimeamua kutoka bar ya jirani na kwangu hapa weekend hii, nyie wenzangu mnaenjoy wapi mimi naenjoy mbezi😎🙈😝
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…