maisha

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuna dhambi waliyoamua kuifanya baadhi ya waliokuwa viongozi wa CHADEMA wakishirikiana na CCM kumtoa sadaka ya mateso Lissu, itaamua maisha yao badaye

    Sisi watu wa hali ya chini (kwa muda) huwa tunafurahia sana maisha yetu licha kwamba tuna maisha ya kawaida sana Hatudhulumu, hatunyongi watu, hatuteki na hatuuwi watu, na tunakula kile kilichopo kwa furaha kabisa na amani ya Mioyo yetu, na sadaka zetu kwa Mungu ni za haki hazina hatia yoyote...
  2. JamiiForums Tanzania Maisha ya Waafrika hayana thamani kwa Waafrika wenzao? Nigeria watu wamechinjwa kama kuku na magaidi ila kimya tu!

    Wakati dunia nzima imejikita katika vita vya Iran na Israel huko Nigeria kwa mashemeji zetu katika jimbo la Benue watu zaidi ya 200 wamechinjwa kama kuku na magaidi wiki hii ila hizo habari hazipewi uzito wowote hata na Waafrika wenyewe! Mzungu wa huko Vatican Roma ndiye amezipa umuhimu na...
  3. JamiiForums Tanzania Kwasasa kuanza maisha kwa kufanya Biashara ili ufanikiwe unahitaji Nguvu ya ziada

    Nataka niwafungulie kodi kidogo vijana mnaochipukia kwa sasa huku kwenye harakati ni pagumu sana na pahitaji Nguvu nyuma ya kukusaidia... Hatuwezi wote kuajiriwa serikalini ni ukweli usiopingika, kama Ujuzi ambao zamani ulionekana ukiwa wa muhimu na pekee (yani ajira nje nje) kwa sasa zote...
  4. JamiiForums Tanzania Kubali Umekataliwa Maisha Yaendelee

    Kkkm
  5. JamiiForums Tanzania Maisha bila makusudi ni safari isiyo na Ramani

    "Duniani ni mahali pa furaha na kutimiza makusudi yako. Ukiishi nje ya hayo, utahangaika, utawewesuka hadi siku unaondoka bila mwelekeo kama ulivyokuja."— Alloyce, P.R.
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini watu husema siasa siyo maisha yao, lakini kila wakilalamika kuhusu maisha yao, huwa ni mambo ya kisiasa?

    Hii ni hali ya mkinzano (conflict) kati ya kutoelewa kiundani nafasi ya siasa katika maisha, na athari halisi ya siasa katika maisha ya kila siku. Sababu Kuu Kwa Nini Watu Husema “Siasa Siyo Maisha Yao”sababu ya Kutoelewa Siasa kwa Maana Halisi ambayo Wengi hudhani siasa ni Vurugu na mabishano...
  7. JamiiForums Tanzania Baraka Zinazoumiza, na Laana Zinazojenga: Umezaliwa na Kipi Kinachokuletea Faraja? Na Kipi Kinakubebesha Huzuni?

    Katika utulivu wa usiku, peke yako, kabla hujalala, kuna sauti ile ya ndani inayokuuliza: “Ningekuwa nani kama singezaliwa hivi nilivyo?” Sauti hii haijibu kwa haraka, haipigi kelele, lakini huacha mdundo fulani moyoni—wa tafakuri, wa uchungu, wa kukiri kimya kuwa maisha hayakuwahi kuwa meza...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Deni la Taifa limefikia Tril 107 lakini hali ya maisha ya watanzania wa hali yanazidi kuwa mabaya.

    Hii inaleta tafsiri gani? Mbona hizo pesa nyingi zinazokopwa mbona hazileti mzunguko wa pesa mitaani ili kusisimua uchumi wa taifa. Tembelea biashara za mama ntilie, wafanyabiashara wadogo wadogo , kwenye mabaa na vilabu vya pombe za kienyeji hali ni ngumu. Hii dhahiri kuwa tunakopa matrilion...
  9. JamiiForums Tanzania Huwezi kutoboa maisha kwa betting

    Kumekuwa na Wimbi kubwa la Watoto,vijana na wazee kuwa Waraibu wa Kamali kwa kutafuta mkato wa kufikia mafanikio kirahisi", Wewe una shillingi 500 au 1000 unataka uwe milionea uliona Wapi Maisha Ni Probability Game Lazima Chochote Unachofanya uangalie Gain Ratio na Lose Ratio", Lose ration...
  10. JamiiForums Tanzania Muamuzi wa maisha ya Binadamu ni Mungu, Maisha ni ubatili

    Yaliyomkuta Mfalme Daudi. Mipango ya Mungu na Udhaifu wa Binadamu: Hadithi ya Daudi na Absalomu Katika safari yetu ya maisha, mara nyingi tunajiuliza ni kiasi gani cha hatima yetu kimepangwa na ni kiasi gani tunatengeneza sisi wenyewe. Imani ya kwamba Mungu hupanga kila kitu ni jambo lenye...
  11. JamiiForums Tanzania Mnahangaika kuzungukazunguka bila ya sababu, zikeni maisha yaendelee

    Kati ya vitu vyenye utata duniani KIFO ni kimojawapo. Mpaka sasa duniani kuna mabishano juu ya uhai ni nini ili ikijulikana watu wazuie KIFO. Na utata juu ya kifo umekuja kwa kuwa watu hawajui uhai ni nini. Je uhai ni pumzi, ubongo, moyo, au nini? Watu wa falsafa nao hawapo nyuma, wanadai uhai...
  12. JamiiForums Tanzania Huyu fundi umeme kaacha alama kwenye nyumba hii

    Sija jua jina la fundi ila nimeona kaacha alama ndani ya jengo.
  13. JamiiForums Tanzania Kanuni kuu zinazoongoza maisha ya watu wote ulimwengu

    Muumbaji wa hii dunia aliweka kanuni zinazojiongoza zenyewe kupitia matendo yetu ili kuibalance Dunia. Hizi si kanuni za dini fulani, Kwani zinafanya kazi kwa watu wote duniani bila kujali rangi, utajiri, jinsia, dini,madaraka,kwa anaeamini na asiyeamini nk. Ukienda kinyume nazo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Maisha yanatazama Yana zungumza na yanawajibika

    Kuna msanii wa hapa kwetu Tanzania Alisha wai kusema maisha Yana ubongo wake Sasa ndugu yangu Kama wewe sio mtu wa kuchunguza Mambo unaweza mwona aliandika hivyo au kuimba hivyo ili tu kuvi weka sawa vina vyake au ili kuufanya ujumbe uifikie jamii kwa usahihi lakini sivyo. Kiukweli maisha...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Nimepokea maoni yenu, Lakini naomba nikatae. Mtakuwa mnahatarisha sana Maisha yangu

    Najua baadhi yenu bado mpo ambao mnapenda muongozwe na mtu mwenye akili na uwezo mkubwa. Binafsi huwa najitahidi sana kuficha kuwa nina akili na uwezo wa kifedha. Sipendi kabisa watu wajue. But kuna wachache huwa wananishtukia. Naishi tu maisha ya kawaida sana na najitahidi kujichanganya nikiwa...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanadamu Haharibiki Ghafla, Anateleza Polepole: Mambo 7 Yanayotia Kutu Roho

    Mwanadamu haharibiki kwa ghafla. Huanguka polepole — si kwa kuruka shimoni, bali kwa kuteleza kimya kimya. Na hilo ndilo jambo la kutisha zaidi. Tunaishi zama za uongo wa ndani: Tabasamu ni kinga ya huzuni. Ibada ni kimbilio la matatizo yasiyotatuliwa. Mafanikio ni mashindano ya...
  17. JamiiForums Tanzania Maisha ni siasa

    Katika maisha haya ya dunia, tunaishi kwa haraka, tukikimbiza ndoto na matarajio yasiyoisha, lakini mara nyingi tunasahau jambo moja muhimu: Maisha ni sasa, sio kesho, wala si jana. Tunatumia sehemu kubwa ya muda wetu kuishi kwa kusubiri—kusubiri kitu fulani kiwe sawa kabla ya kuanza kuishi kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta mutoto moja swafi, kienyeji msafi tukakule maisha mwishoni mwa wiki hii

    Eh bana eh muhindi amekubali kutoa pesa jana, no risk no story. Japo si pesa mingi lakini inatosha kutumbua maisha na musichana moja ya kienyeji. Burudani tutalianza ijumaa jioni mpaka jumapili alfajiri. Vigezo: uwe dar es salaam, uwe mtoto wa kienyeji sitaki slay queen. Amount to be spent in...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Sasa ni mwendo wa kujitokeza wazi wazi

    Naona kwa sasa nchi inaelekea kwenye uponyaji wa kweli baada ya watu wengi kuondokana na tabia ya kuogopa na sasa wanaongea wazi-wazi. Watekaji wasiojulikana wanakazi ya kuteka wananchi wote wanaopenda haki, mabadiliko ya sheria za uchaguzi, tume huru ya uchaguzi, nk.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…